bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je bado Kuna tumaini

    “Kwa nini umeinama, nafsi yangu? … Nailila Tanzania.” Tunaishi katika kipindi chenye changamoto nyingi. magonjwa, umasikini, migogoro ya vyama, ukosefu wa ajira, uhalifu, rushwa, vifo visivyo na msingi na majanga vinaweza kumfanya mtu ajiulize:JE, BADO KUNA MATUMAINI? Kupiga Hatua Katika siasa...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu bado anajitafuta, nimepata kazi kabla yake. Je, nikope hela nimpe mtaji tuoane kama tulivyopanga tukiwa chuo?

    Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  4. K

    JamiiForums Tanzania Taifa bado lipo kwenye majanga na maombolezo

    Jumla ya hawa wabunge 404 ni wahaini hata ndani ya mioyo yao na nafsi zao wanajua ya kuwa hawakuchaguliwa na wananchi Oct 29.2025
  5. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania CCM yatikisa Iringa, maelfu wajitokeza, Watanzania bado wanaimani kubwa na CCM

    CCM inazidi kujidhirihisha kua ndio chama kikubwa Africa hii ni ziara ya mwenezi mkoani iringa Karibuni sana Chama kubwa
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa majimbo ni mzuri kama tutafuata mfumo wa majimbo wa marekani Makabila makubwa bado yatazuiwa kuhodhi madaraka

    Nimeona watu wanajadili kuhusu mfumo wa majimbo na kusema ukija makabila makubwa yanaweza kuhodhi madaraka na hivyo makabila madogo yakawa hayana uwezo wakutoa viongozi wakubwa. Mfumo wa majimbo wa marekani naupenda kwa sababu hata yale majimbo madogo bado yana nguvu kwenye kuamua raisi ukitoa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana waandaliwe kuvamia mataifa mengine. Bado muda tunao.

    Hamjambo wote! Hili nitaendelea kulisema kila nikipata nafasi. Kwa sababu najua kile ninachokisema. Nakijua kwa sababu ndio usalama wa nchi yetu na future yetu. Niliitambulisha sera ya uvamizi miaka kadhaa iliyopita. Nikiwasihi viongozi na wale wenye mpango wa kuwa viongozi waitafakari, kisha...
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwa dalili zote hizi, bado tu huamini kuwa Yesu Yu karibu kurudi?!

    Tunaishi katika kizazi ambacho dalili alizozitaja Yesu za kuja kwake zinadhihirika mbele ya macho yetu wazi wazi. Yesu alipoulizwa kuhusu ishara za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alitaja mambo yafuatayo: 1. Watu wengi watakuja kwa Jina lake wakisema wao ni Kristo. Katika nchi mbalimbali...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunashukuru HESLB kuongeza muda, lakini button ya Application bado haionekani kwenye mfumo

    Kwanza, napenda kuishukuru sana JamiiForums kwa kutupazia sauti sisi waombaji wa mikopo ya HESLB. 🙏🏽 Post yenu ya tarehe 14 Septemba ilisaidia suala hili kuwafikia wahusika, na hatimaye HESLB ikaongeza siku nne za maombi. Tunawashukuru sana kwa hatua hiyo. Hata hivyo, bado kuna changamoto...
  10. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Tangu 2012 napambana ila bado bado

    Tangu 2012 Nimekuwa Nikijaribu Kusimama Tena — Changamoto Niliyonayo Sasa Wakuu, nimeona leo niandike kitu ambacho kwa muda nimekuwa nikikifikiria sana. Mwaka 2012 nilifeli masomo. Tangu wakati huo nimepitia vipindi mbalimbali vya maisha—wakati mwingine nikiwa na matumaini, wakati mwingine...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mumias Sugar Bado Iko Supermarket - Lakini Sukari Hii Inatoka Wapi?

    Mkenya mmoja ameibua maswali kuhusu Mumias Sugar inayopatikana katika baadhi ya supermarkets, akitaka kujua ni nani hasa anayezalisha sukari inayouzwa chini ya brand hiyo. Swali lake ni rahisi: Ikiwa sukari hii haikuzalishwa na Mumias Sugar, kwa nini packet inabeba jina la Mumias? Swali hilo...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kwa udongo bado haitoshi, kuna la kufanya zaidi

    Ili kuwakatisha tamaa wale viherehere waisoutakia mema muungano wetu ipo haja ya dhati na thabiti ya kuona ni jinsi gani tutafanya ili muungano huu,tuupigilie msumari wa mwisho ili nia na akili za wale wachache wasioutakia mema muungano,nia zao za hovyo zisiweze kufikirika kwa namna yoyote ile...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado unatafuta ajira wakati tayari una biashara au umejiajiri ?

    Kwanini unatafuta ajira wakati tayari unafanya biashara au umejiajiri? Si mlisema ajira ni utumwa, na kujiajiri ndio uhuru? 🤔 Sasa wewe mhitimu umejiajiri, una biashara yako, boss ni wewe mwenyewe… lakini kila siku uko kwenye magroup ya ajira na JF kwenye jukwaa la ajira ukitafuta nafasi za...
  14. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Ethiopia wameingia 2019, nikienda kule nakuwa bado mtoto sana ki umri, msinizeeshe, ebhoooo!

    Unaambiwa Ethiopia ndio WAMEINGIA 2019, kama una 30 bongo ukienda Ethiopia unakua na 23 ebwana ehhh huko ndo pakwenda kula pensheni, mi kuanzia sasa ni muethiopia
  15. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu bado anazipuuzia English medium schools?

    Tundu lissu Alisha wahi kulalamika, mawakili Fulani kingereza chao hakikua vizuri, mwingine akaenda mbali kumbe zile international case zinatubwaga huenda lugha, ukiona mzazi anatoa mamilioni fedha ana maana yake Mtu anataaluma ya habari, lakini hawezi kuhoji Kwa kingereza lakin huyu mtu ana...
  16. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr umeokoka au bado upo kwenye hii fani, kuna jambo nataka tumfanyie mtu mmoja humu ndani

    MSHANA JR UMEOKA AU BADO UPO KWENYE HII FANI,KUNA JAMBO NATAKA TUMFANYIE MTU MMOJA UMU NDANI Mtu wa vizinga secretarybird Tumfute alafu tumchole Tena Kisha tumueke na tutitiii sa 6 palipo bak tuachie masela kumsumbua full approach aloo 😂😂😂😂😂🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️ Niachen jaman msinikalipie NALUD...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Haki ya "AKWILINA AKWILINI" na maswali ambayo bado yananiumiza kichwa

    Kuna mambo ambayo jamii inaweza kuyasahau kadri muda unavyopita, lakini kuna maumivu ambayo hayawezi kufutwa kwa kupita kwa miaka. Kisa cha Binti Akwilina ni miongoni mwa mambo hayo. Leo nimeona mjadala huu ukirudi tena baada ya Bwana Heche kuzungumzia suala hili. Imenifanya nitafakari tena...
  18. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Suala la Mabasi bado linahitaji mjadala tusipelekeshane kama misukule, kuna hoja zinahitaji majibu.

    Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa. Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi wafanyiekazi. 1. Huduma zinazotangazwa za mabasi ya luxury coach hazipatikani kwa ukamilifu hasa Wi-Fi...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanadhani bado DSM, ARS na MWZ ndio sehemu pekee zenye maisha ghali sana TZ, mnakosea, joto lisha sambaa kote, mikoani napo ni expensive

    Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mungu bado hajapiga panapouma, tunamuomba Mungu apige kwenye mshono. Wamalawi hilo ndio ombi letu

    Haya ndio maombi ya Wamalawi wengi. Aguse lile kinda maarufu la kiume, watu washerehekee. Na yeye aonje uchungu wa wale wamama zaidi ya 10'000 wa Lilongwe, Blantyre, Karonga na Muzuzu waliopotelewa na wapenzi wao kwa amri ya Kiranja Mkuu
Back
Top Bottom