robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 539
- 1,532
kampuni nyingi bado kufuatilia laptop, printer, furniture au vifaa vya kazi kwa makaratasi au Excel.
Changamoto inaanza vifaa vinapopotea au kukosekana kwa taarifa nani anatumia kifaa gani.
Asset Management System inasaidia,
1. Kufuatilia vifaa vyote kwa urahisi
2. Kujua nani amepewa kifaa gani
3. Kuona history ya matengenezo
4. Kupata report kwa haraka
5. Kupunguza upotevu wa vifaa
Nimeunda mfumo huu kwa ajili ya kampuni, shule, hospitali na taasisi mbalimbali.
Ukihitaji kuona demo au screenshots unaweza kunicheki inbox.
Karibu utueleze, Taasisi uliopo inasimamia vip Assets?