bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado kuna kundi kubwa la wajinga na wengi ni wasomi

    Nimekutana na jamaa kafanikiwa kimaisha na kaelimu. Leo ndo nimeelewa watu.Mada ilikuwa hivi. Kanikuta naangalia graph za forex kati ya USD vs GOLD. Kaniuliza naona ushaanzaa utapeli. mi nimemuuliza we unajuwaje leo thamani gold na wote tuko soko la madini.
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tumempata Rais Mzuri anayejali masilahi ya watanzania lakini bado chadema wanaendekeza dysfunctional politics nchini hopeless kabisa.

    Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya mtanzania lakini michadema Bado inaendekeza siasa chafu, Mh. Rais alipoingia madarakani alipandisha watumishi mishahara akalipa malimbikizo, wastaf wakalipwa Hela zao kwa muda mpaka sasa wanapata Hela kwa muda...
  3. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Gen Z Jihadharini na UKIMWI: Bado Upo na Unaua!

    Star mrembo wa Holywood alikuwa na miaka 36 tu kakauka kwa umeme, Kuanzaia mwaka 1985 hadi 1995 Ukimwi ulikupurukitsiha sana vijana lakini baada ya ARV kugunduliwa, inaonekana vijana wengi wamesahahu kuwa ukimwi bado upo.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Magari ya Umeme Mbona Bado Haujashuka?

    Serikali ya Tanzania ilitangaza katika hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuwa imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kwa baadhi ya magari ya umeme kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10. Aidha, ilitangaza pendekezo la kusamehe VAT kwa baadhi ya vifaa vya kuchajia magari ya umeme ili kuhamasisha...
  5. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Walokole ndo chanzo cha migogoro Ofisi za Umma na binafsi

    Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Its 2026, elon musk anatengeneza kifaa cha kusaidia vipofu kuona meanwhile bongo bado mambo ni haya

    Ukijaribu kusema unaambiwa hata wazungu wana uchawi wao😬 anyway, maisha yaendelee.
  7. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Israel Bado Wanapiga Lebanon. Hivi Ndivyo Viongozi Wa Iran Wanavyowafanya Midoli Wafuasi wao

    Israel bado wanapeleka moto Lebanon, hakuna chochote ambacho Iran wamefanya kama walivyokua wakiahidi na kutoa vitisho huko kwenye Media. Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa mitandaoni, hivyo wakawa wanaenda na biti, wanawageuza Midoli Wafuasi wao: - Israel ikishambulia...
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
  9. Red black

    JamiiForums Tanzania Muda wa Morning Glory huu wakuu mlioko tz na maeneo ya jirani Bado mmelala kizembe 🤣

    😁
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  11. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga bado zinatumia wafanyakazi wa kujitolea

    Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia watumishi wa kujitolea richa ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakiilalamikiiwa wwanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ammbacho...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mfanya Biashara Bado Siku 10 Upigwe Penalty

    Habari mjasiriamali, Leo ni tarehe 19 June, Hii Ina maanisha kuwa Bado siku 10 tuu mpaka ufike deadline ya ku submit Audited financial statements kwa mwaka 2026. Deadline ni tarehe 30 June. Kama mmiliki wa biashara au Kampuni unatakiwa ku file na ku submit Audited financial statements kabla...
  13. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mfugo gani naweza kufuga chumbani ninapolala na bado nikapata kipato?

    Naishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
  14. The introvert

    JamiiForums Tanzania Kumbe Profesa Muhongo bado yupo bwana!

    Dakika kadhaa za Profesa Sospeter Muhongo akiwa Bungeni Dodoma juzi, darasa zito sana Profesa kalitoa. Unamkumbuka kwa lipi mzee wetu. Alikuwa kimya kwa muda mrefu kidogo . https://www.facebook.com/share/v/1BHWGfEQhb/
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Saada Mkuya, Waziri aliyehudumu serikali ya Muungano kama Waziri wa Fedha, lakini bado hajastaarabika?

    Dr Saada Mkuya Salum, aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2012 kuwa Naibu Waziri wa Fedha katika serikali yake, na baadaye alipofariki Waziri wa Fedha William Mgimwa 2014, akachukua nafasi ya Waziri wa Fedha , Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Sasa hivi Dr Saada Mkuya ni Kaimu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania FAIDA YA KUWA MUISLAM- KISAYANSI

    Kisayansi, “faida za kuwa Muislamu” zinazotokana na mafunzo ya Qur’an zinaweza kuelezwa zaidi kama matokeo ya tabia na mifumo ya maisha (lifestyle) inayopendekezwa na Uislamu, ambayo imechunguzwa pia kwenye saikolojia, afya ya jamii na tiba ya kitabia. Hizi ni baadhi ya faida kuu...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Swala la umeme africa bado sana kama ili tena kampuni moja inataka umeme wa nchi nzima na bado inakudai.

    Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu. Hapo ni kenya.
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni CEO Mwenye Kampuni ambayo bado haijaanza kazi tangu isajiliwe? yakupasa kufahamu hili

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; 1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? 2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  19. idiomer

    JamiiForums Tanzania Utumwa bado upo au umeisha?

    Visa vya nchi za Ulaya ngumu kupata Wawekezaji ndio wale wakoloni Wamisionari ndio hawa wanasema tujifunze lugha zao kama kiarabu, kichina na kirusi Manamba ndio sisi tunafanya kazi viwanda vyao Wapelelezi ndio hawa mabalozi sasa Viongozi wetu ndio kupewa shahada za heshima
Back
Top Bottom