bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba kuuliza ile kauli ya who are you bado inafanya kazi?

    Kuna kauli ilitokewa kwenye kikao Cha genge la wanaccm walioitwa wazee wa daresalama inayosema 'who are you ' sasa swali langu je kauli hiyo inafanya kazi? Hapa zingatia hatua ambazo US, Commonwealth na EU wameshaanza kuzichukua na matokeo ya hatua hizo. Pia soma: PostGE2025 - Balozi wa Umoja...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tufanye unaamini Mungu, huamini Mungu au bado hujafanya uamuzi, unahisi nini hutokea dakika ya kwanza baada ya kufa?

    Wakuu hii ni mada ya kutafakari najua ishajadiliwa sana humu ndani ya forum na huko makwenu..sasa tuweke hitimisho japo najua sio rahisi je tuseme moyo umesimama kabisa na umethibitishwa umefariki.Wewe unahisi nini hasa hutokea dakika ya kwanza baada ya hapo?Unadhani ndiyo mwisho wa kila kitu...
  3. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mtu unanuka njaa, bado unataka watu wakupigie simu. Ili iweje?

    Ciao, Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi. Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti kabisa kisa nimefulia, bro? Sasa akutafute ili iweje? Come on. Mimi nakumbuka enzi izo najitafuta...
  4. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Kama ulidhani umekwisha ona maajabu yote, nakuhakikishia bado kuna mengi hujayaona

    salam wakuu, Duniani kuna mengi ya kushangaza na kustaajabisha tazama mwenyewe. https://vt.tiktok.com/ZSCoTfqm5/
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na lab technician hospitali ambaye ndio ametoka chuo na bado hajachoka kazi ya kukoroga koroga pupu na susu kila siku

  6. E

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa TPDC kuhusu Mafuta: Maswali Bado

    Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta. Nimesikiliza hotuba Yao na kurejea maswali ya ACT kiukweli bado ufafanuzi inahitajika Nakuwekea maswali ya ACT hapa...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hunywi bia na hutumii kilevi chochote lakini bado maisha yako ni magumu shida ni nini mkuu?

    Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema kuhusu mambo ya mtungilei alijichanganya akaenda kuchukua mkopo wa laki nne kwenye taasisi za...
  8. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Je! Unahisi umeshatimiza Malengo yako ya kua hapa duniani au bado?

    Lengo langu limetimia kwa 99.99%. Je! Wewe?
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado kuna kundi kubwa la wajinga na wengi ni wasomi

    Nimekutana na jamaa kafanikiwa kimaisha na kaelimu. Leo ndo nimeelewa watu.Mada ilikuwa hivi. Kanikuta naangalia graph za forex kati ya USD vs GOLD. Kaniuliza naona ushaanzaa utapeli. mi nimemuuliza we unajuwaje leo thamani gold na wote tuko soko la madini.
  10. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tumempata Rais Mzuri anayejali masilahi ya watanzania lakini bado chadema wanaendekeza dysfunctional politics nchini hopeless kabisa.

    Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya mtanzania lakini michadema Bado inaendekeza siasa chafu, Mh. Rais alipoingia madarakani alipandisha watumishi mishahara akalipa malimbikizo, wastaf wakalipwa Hela zao kwa muda mpaka sasa wanapata Hela kwa muda...
  11. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Gen Z Jihadharini na UKIMWI: Bado Upo na Unaua!

    Star mrembo wa Holywood alikuwa na miaka 36 tu kakauka kwa umeme, Kuanzaia mwaka 1985 hadi 1995 Ukimwi ulikupurukitsiha sana vijana lakini baada ya ARV kugunduliwa, inaonekana vijana wengi wamesahahu kuwa ukimwi bado upo.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Magari ya Umeme Mbona Bado Haujashuka?

    Serikali ya Tanzania ilitangaza katika hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuwa imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kwa baadhi ya magari ya umeme kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10. Aidha, ilitangaza pendekezo la kusamehe VAT kwa baadhi ya vifaa vya kuchajia magari ya umeme ili kuhamasisha...
  13. John Sin

    JamiiForums Tanzania Walokole ndo chanzo cha migogoro Ofisi za Umma na binafsi

    Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Its 2026, elon musk anatengeneza kifaa cha kusaidia vipofu kuona meanwhile bongo bado mambo ni haya

    Ukijaribu kusema unaambiwa hata wazungu wana uchawi wao😬 anyway, maisha yaendelee.
  15. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Israel Bado Wanapiga Lebanon. Hivi Ndivyo Viongozi Wa Iran Wanavyowafanya Midoli Wafuasi wao

    Israel bado wanapeleka moto Lebanon, hakuna chochote ambacho Iran wamefanya kama walivyokua wakiahidi na kutoa vitisho huko kwenye Media. Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa mitandaoni, hivyo wakawa wanaenda na biti, wanawageuza Midoli Wafuasi wao: - Israel ikishambulia...
  16. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
  17. Red black

    JamiiForums Tanzania Muda wa Morning Glory huu wakuu mlioko tz na maeneo ya jirani Bado mmelala kizembe 🤣

    😁
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  19. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga bado zinatumia wafanyakazi wa kujitolea

    Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia watumishi wa kujitolea richa ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakiilalamikiiwa wwanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ammbacho...
Back
Top Bottom