awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

    Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano. Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita. Ukitazama safu ya uongozi katika...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa alituvusha salama kutoka Awamu ya Tano, nashauri daraja la Tanzanite liitwe Samia

    Ni shauri wangu Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili. Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri likibadilishwa Kalemani aondolewe kwa hoja ya Tanesco kutokaguliwa, Mwanasheria Mkuu kusimamia awamu ya 5 kuvunja sheria

    Nasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri. Namshauri mama asimuache Kalemani, kwa muda wote ameacha Tanesco bila kukaguliwa hesabu wakati anajua Tanesco inameza zaidi ya trilioni ishirini za nchi kwenye mradi wa bwawa la Stiegler's, mabilioni mengine pia. Kuna uwezekano huko kuna...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili ya Operesheni Haki kutikisa tena, itaanzia Kanda ya Pwani

    Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani na baadaye Zanzibar na Pemba , Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika...
  5. JF Member

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri teuzi za Awamu ya Sita ni za wa Social Media

    Kila zama na wakati wake. Tukianza awamu ya Nne teuzi zake zilitegemea sana watu walio ndani ya chama na watu walio kuwa nje ya nchi (Wenye exposure zao). Awamu ya Tano: Watu wenye PhD zao na Profs walilamba Teuzi. Awamu ya Sita tunaona watu wanaoteuliwa ni watu wa social media. Mdau mmoja...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tuache kuwalaumu wateule wa awamu iliyopita, hali ilikuwa ngumu sana

    Namnukuu mwanajamvi mwenzetu white wizard: "Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Rais Samia mpaka 2030 wanajua maana ya demokrasia? Je, somo la Awamu ya Tano halikueleweka?

    Wakuu wameanza tena, Wanasema mama mpaka 2030 na atakayempinga atakiona. Najaribu kuwaza hawa watu tunaposema "Kila amtegemeae mwanadamu amelaaniwa" hawaelewi? Awamu ya Tano walianza hivihivi, wakamtia kibri JPM wakakufuru na mwisho laana ikawa juu yao. Ameanza Kigwangala, jana tukamsikia tena...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mafanikio Makubwa ya Kitabibu Yafanyika. Hongera Serikali Awamu ya 6

    Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee? Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

    Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
  10. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania Kuna watu walichonga majeneza yao wenyewe Serikali ya Awamu ya Tano

    Wasalaam wadau, Wakati fulani katika awamu ya tano, kiliibuka kikundi cha kusifu na kuabudu viongozi hata kufikia kutaka kubadili katiba ili kuwaongoza muda viongozi walio madarakani, sio nia ya bandiko langu kutweza utu au legacy ya hayati mwenyekiti wangu Dkt. JPM bali kuwakumbusha waabudu...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Dhihaka na dharau kwa viongozi wa dini na anguko la Serikali ya Awamu ya 5

    Nikimnukuu mwanajamvi Pythagoras ktk comment yake: [Askofu Emmaus B. Mwamakula alikamatwa wiki ya mwisho ya mwezi Februari. Mapolisi wa Jiwe wakamdhihaki eti "Yule anayejiita Askofu" tunamhoji. Niliposikia vile nikajua sasa Meko ame cross red line. Meko Hakumaliza hata wiki mbili tena...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Awamu ya Nyerere Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana. Awamu ya Mwinyi Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya kisiasa kwa awamu hii ya sita yanaashiria furaha ya Watanzania kuongezeka zaidi

    Ninakumbuka kuwa huwa kuna Taasisi zinapima furaha ya wananchi kwa kila nchi. Kuna wakati yule Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar-es-Salaam aliyepita Prof. Mukandara aliwahi kuongea kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere kuwa furaha kwa wananchi wa Tanzania imepungua kwa kiasi Fulani. Sasa hizo Taasisi za...
  15. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Mwendazake na kipenga uwanjani, nimekumbuka kauli ya kata miwa badala kupuliza kipenga. Awamu ya mwendazake panahitajika kitabu Cha somo tosha darasan

    Wana ndugu. Habari zenu? Nimeyasoma ya Sabaya nimesikitika sana Kama ni kweli. Kama ni kweli shutuma zinazosemwa basi watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha tuwape pole. Lakini najiuliza alikuwa anajiamini namna gani? Je lilikuwa ni kosa la watanzania, Katiba na sheria zilizondani yake...
  16. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa. Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi...
  17. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania DRC: Maelfu waukimbia mji wa Goma kukwepa mlipuko wa awamu ya pili wa volcano ya mlima Nyiragongo

    Mamlaka mjini Goma nchini Congo DR zimewataka waakazi wa mji huo kuondoa kwa hofu ya volcano ya mlima Nyiragongo kulipuka kwa mara ya pili. Mji jirani wa Gisenyi,Rubavu Nchi ya Rwanda umeshuhudia mamia ya makumi ya waakazi wa mji wa Goma wakikimbilia hapo kwa minajili hiyo ya kukimbia madhara...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Spika umenena kweli kuhusu Bunge kufuatilia ajira lakini kwanini ni baada ya awamu ya tano?

    Awamu ya tano ndiyo iliyoasisi ajira za kifichoni. Taratibu hazikufuatwa kabisa kabisa. Awamu hiyo ilipoingia tu Taasisi za Serikali kwa kiasi kikubwa ziliacha kushindanisha wafanyakazi. Ikawa ni kuchukua tu mtoto wa dada weka pale. Ndugu yake Spika weka pale, nk. Ndugu yangu alisafiri na Mkwe...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Biashara zimeanza kuchangamka katika awamu hii ya sita

    Leo nimebahatika kuwatembelea wajasiria mali hapa Mwanza hasa biashara hizi ndogo ndogo kama viwanda vya mbao, vyakula nk. Wengi niliongea nao walinieleza afadhali kidogo kuna ahueni. Wanaendelea kusema hatujui tungefanya nini kama Utawala wa Awamu ya Tano ungekuwa bado uko madarakani kwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mabeberu na Uongozi wa Awamu ya Tano

    Mabeberu nini maana yake halisi: - hili neno liliweza kupata tafsiri yake halisi katika kipindi cha miaka ya sitini late baada ya nchi nyingi za Africa kupata uhuru kutoka katika ukoloni wa nchi za ulaya. Hapa tunaweza kupata picha halisi kipindi ilipoanza sera za imperialism yaani kwa tafsiri...
Back
Top Bottom