awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Miradi yote ya awamu iliyopita itatekelezwa

    Baada ya hoja kadhaa wiki hii kuibuka za kumuacha Rais Samia Suluhu aidha Kuandika kitabu chake au aendelee na kilichopo, waziri mkuu wakati akihitimisha hoja yake ya bajeti, amesema serikali ya awamu ya sita itaendelea kukamilisha ahadi zikizotolewa wakati wa kampeni zilizopo kwenye ilani ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

    Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya. Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano nchi ilijengwa zaidi upande mmoja

    Ninaingalia Tanzania na na idadi ya Mikoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Vijiji na Vitongoji vyake na idadi ya miradi ya maendeleo inayoguza moja kwa moja mikoa, wilaya, tarafa, kata na vijiji kama vile maji ya kunywa, barabara, madaraja, shule, hospitali, umeme, ujenzi wa huduma za benk. viwanja vya...
  4. Kimbakuli

    JamiiForums Tanzania Hivyo viwanda 4000 vilivyojengwa awamu ya 5 mbona sivijui, nafahamu kiwanda cha Dangote tu cha awamu ya 4

    Kelele nyingi sana zilipigwa kwamba kuna viwanda vingi vilijengwa awamu iliyopita lakini hivyo viwanda mbona hutuvifahamu au ilikuwa ni habari ya guantity sio quality! Kiwanda kimoja tu cha kuzalisha saruji cha tajiri Dangote kilichojengwa awamu ya mkwere kule umakondeni si tu kinajulikana Tz...
  5. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania namshauri Spika Ndugai kuwa huu si muda wa vijembe na utani kwa kina Mbowe. Tujibu hoja chafu za awamu iliyopita

    Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea! Nimejiuliza mengi kama Mtanzania kuwa tunataka kujenga nchi ya aina gani? Tutaendelea kuudanganya Ulimwengu...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda binafsi: Awamu ya tano niliishi kwa hofu

    USHUHUDA BINAFSI: AWAMU YA TANO NILIISHI KWA HOFU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Nikiri wazi kuwa, licha ya kuwa mimi sio mwoga lakini siwezi ongopa kuwa sina hofu au wasiwasi. Hakuna binadamu asiye na mashaka, hofu na wasiwasi, labda kutofautiana kiwango cha hayo. Moja ya mambo ninayoyapenda...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ina maana ripoti zilizopita za CAG zilizokuwa zinawasilishwa ndani ya utawala Wa awamu ya 5 zilikuwa zinafanyiwa "editing"?

    Inasikitisha sana tena inahuzunisha kuona ripoti ya CAG ya safari hii baada ya mwendazake kuzikwa, ikiibua madudu mengi mno, tofauti na ripoti zilizokuwa zikiwakilishwa hapo nyuma wakati wa utawala huu wa awamu ya 5 ambazo zilikuwa zinampamba sana mwendazake na kueleza Taifa letu linapaa sana...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu ukweli - Mawaziri na Wabunge wa CCM wa awamu ya tano walikuwa na roho mbaya kwa watumishi wa umma!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu na ukweli Mawaziri na Wabunge wa CCM waliokuwepo awamu ya tano walikuwa wakatili!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

    Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana? Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika. Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Magumu yamkabiliyo Rais Samia katika awamu ya Sita

    Mabibi na mabwana ni wazi kuwa awamu ya sita imepokelewa vyema na wapenda haki wote. Hata hivyo ni wazi kuwa kwa waliokuwa na maslahi yao binafsi katika awamu ya tano, awamu ya sita imekuwa ni mwiba mchungu kweri kweri. Walipo wanatweta hawaamini kuwa hii ni awamu ya sita na bendera ziko...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya baadhi ya Wana-JamiiForums kwa Utawala wa Awamu ya 6

    Wasalam...! Kwanza lazima tukubali tu kuwa kwa sasa tuna Rais mwingine na ni Awamu nyingine kuanza kutafuta kuokoteza maneno maneno na kuyaanzishia thread za kukosoa Utawala wa Awamu ya 6 chini ya mama shupavu SSH ni kukosa hoja na kuonesha kuwa kuna watu walikuwa wanafaidika moja kwa moja...
  14. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano ya urais wa Hayati Magufuli iliwachelewesha sana vijana

    Habari wadau, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, licha ya mazuri ya awamu ya tano lakini kosa kubwa liliofanyika ktk awamu hiyo ni kuwachelewesha maisha vijana. Vijana wengi hususa graduates walikuwa wanaishi kama mashetani hakukuwa na ajira wala viwanda vipya vilivyoanzishwa na hata miradi...
  15. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Wanyonge hatuna chetu awamu hii

    Siku za karibuni watu wamepotosha maana ya wanyonge na kusema Tusijite wanyonge. Guys wanyonge ni wale watu wa hali ya nchi ambao mara nyingi wanakosa wa kuwaseme,kama vile boda boda nk. Rais JPM alijitahidi sana kuwa karibu na watu hawa na kwa uhalisia kundi hili lina watu wengi. Nimereview...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita si awamu ya tano, hongera mama Samia

    Mabibi na mabwana inatia moyo kuwa tuna mwanzo mpya. Katika awamu ya 6: 1. Urasimu uliokuwapo sasa unapigwa vita. 2. Upigaji mkubwa wa pesa uliokuwapo unapigwa vita. 3. Ugonjwa wa Corona uliopo sasa unakabidhiwa tume ya wataalamu waliobobea kwa ajili ya kushauri nini cha kufanya. 4. Tunatambua...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mapema sana Mimi kuanza Kucheza Ngoma inayopigwa na Serikali ya Awamu ya "Sita" Nitasimama pembeni.

    Mh. Rais Samia Suluhu ni kama Rais wa Serikali ya Awamu ya 6. Huyu mama hakuwepo kabisa awamu ya 5. Ni Rais mpya ambaye hakuwahi kuwepo katika Serikali iliyopita. Kama alikuwepo haya anayoyashangaa leo na kuyakosoa akinanga Serikali ile yalifanyika yeye akiwa kwenye Coma? Hakujua kabisa...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa awamu ya tano haikuwa sikivu kusiliza ushauri wa Mawawaziri, ilipobainika hivyo waliamua kufunika kombe

    Ibara ya 54(2) imetanabaisha wazi kuwa baraza la mawaziri ndio kitakuwa chombo kikuu cha kutoa ushauri kwa rais ili aweze kutekeleza majukumu yake. Hata kabla ya kumaliza maombolezo tangu afariki hayati Dkt. John Pombe Magufuli tunasikia kauli za kushangaza toka kwa baadhi ya waliokuwa mawaziri...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

    1.Mkuu wa wilaya ya Tabora-Erick Kitwala 2. Mkuu wa wilaya ya Ilala- Mwilabuzu Ndatwa. 3. Mkuu wa wilaya Chunya- Sgt Simon Mayeka. 4.Naibu Waziri wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi- Angelina Mabula. 5.Mkurugenzi wa Tcra- James Killaba 6.Mkurugenzi wa Pssf- Hosea Kashimba. Mdau na wewe...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mpango na Bajeti ya Mwaka 2021/2022 kufumuliwa na Awamu ya Sita

    Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza ya mishahara. Vyama vya wafanyakazi kwa kupitia TUCTA walishakuwa kimya kama wamenyeshewa mvua kwa...
Back
Top Bottom