awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nini vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita?

    Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mpaka awamu hii kuisha, nadhani Zanzibar itakuwa nchi iliyoendelea zaidi Afrika Mashariki

    Kwanza kwa sasa wana Rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid. Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana. Zanzibar...
  3. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Nini kilimkuta Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji mpaka kuanza kutembelea mkongojo akiwa Ikulu?

    Wamakonde wa Msumbiji wana visa kidogo! Aliyekuwa Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji aliwahi kupatwa na madhila akiwa Ikulu. Akiwa katika siku zake za mwisho za Urais aliwashangaza wananchi wake ghafla alipoanza kutembea na mkongojo huku akichechemea. Ukipata hapa Mitaa ya Maputo wananchi kuna...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Maamuzi matatu ya Serikali ya awamu ya sita yanayolalamikiwa yote yapo sahihi Na Sababu zangu ni kama ifuatavyo

    Kwanza unatakiwa kujua kwamba Serikali inapokuwa inafanya maamuzi yake Inaweza isiwe sahihi Kwa mujibu WA katiba lakini ikawa sahihi kisiasa, kiuchumi, kiusalama wa nchi au kiutawala.( Constitutionally wrong but politically right etc and vice versa). Utaratibu Huu upo katika Serikali zote...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

    Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito: Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema: Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila...
  6. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania HESLB: Awamu ya pili 7,364 wapangiwa mikopo; wengine watapangiwa Oktoba 25

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 Bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi Mtendaji...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

    Amani iwe nanyi wanabodi! Wakati Mama Samia anatangaza mkakati wake wa kuwapanga upya machinga kwenye maeneo mbalimbali, nilibarikiwa kuwa mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kutoa ushauri wangu humu! Ushauri huu niliutoa kwenye Thread hii hapa chini...
  8. Jesusie

    JamiiForums Tanzania FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

    Kwamiezi michache tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika wapya 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi wapya 32,583,God's Good === Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Sabaya yaweza kuwapa wananchi kiburi ya kuibua tuhuma zingine kwa wateule awamu ya 5 na hata ya 6.

    Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida. Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu. Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) wanatokaje awamu hii?

    Awamu ya tano ilikuwa na maupendeleo kibao. Mikopo ikawa inatolewa kwa watoto wanaosemwa ni wa walalahoi. Watoto wa tabaka la wafanyakazi - hata wale ambao mishahara yao ni kiduchu na haijapandishwa kwa miaka sita mpaka sasa, watoto wao wakanyimwa kukopa. Vigezo vya kutoa mikopo vikaangalia...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya umma vya kisheria na haki vimepunguza Kasi katika awamu hii, viongeze kasi

    Binafsi naona kasi ikipungua kwa Kasi ya hali juu kwa mashauri ambayo kimsingi mashauri yake yapo wazi kabisa tena hayana complications za aina yoyote ikimaanisha pande mbili ambazo zinashindana katika mgogoro kutoona umuhimu wa kuendelea na shauri usika na kuona wayamalize kinyumbani hapa Huwa...
  12. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

    Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

    Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania. " Hakuna kama Samaia " Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF)...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa maisha ni magumu awamu ya sita muelewe

    Haya habari ya mjini
  15. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

    Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM. Sielewi tatizo ni nini!
  16. P

    JamiiForums Tanzania Makamba na nongwa za bodi ya TANESCO, ni marudio ya awamu nyingine japo yalifanyika kimya kimya

    Uwezo wa watanzania ni kulalamika kwa vitendo, kwa kutumia ushahidi wa video zilizopita. Yaani ilimradi walalamike, waweke hisia zao wazi ndio huwa furaha yao kuu. Tangu JPM alale usingizi wake wa milele, kuna wanaoishi kwa hasira na majonzi yasiyosemeka. Kila ambacho Mama atakifanya kitaonekana...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

    Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana. Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Siasa za kilaghai za Polepole: Awamu ya Nne aliunga mkono Katiba Mpya; Awamu ya Tano alikataa, Awamu ya Sita anaitaka kwa gia ya Shule ya Uongozi

    Huu ulaghai wa hali ya juu unaofanywa na Polepole, alikuwa anapinga katiba mpya enzi ya mwendazake, alitumia muda mwingi kukata viuno akicheza mabolingo huku akijirekodi katika camera, alishuhudia na akawa sehemu ya tawala ya hovyo kabisa katika historia ya nchi hii,alikuwa sehemu ya tawala...
  19. Mmakedonia

    JamiiForums Tanzania Kuhusu udahili wa kozi za afya awamu ya pili 2021/2022

    Tarehe 17/09/2021 NACTE kupitia ukurasa wao waliweka tangazo na ndani ya hilo tangazo wamesema wale wanafunzi ambao hawakuchaguliwa na ambao hawakuomba nafas za vyuo basi wafanye hivyo katika awamu hii kwani ndio awamu ya mwisho kwa muhula huu wa masomo. Sasa hapa tangu juzi naingia kwenye...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

    Katika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF. Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Gavana wa BOT Florens Luoga, serikali imeahidi matumizi mazuri ya...
Back
Top Bottom