Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake.
Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual.
Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na...
Zifuatazo ni taasisi za kufanyiwa uçhunguzi wa hali ya juu kwà awamu ya sita:
1. Wizara ya fedha...doto James
2. Tanroads... engineer Mfugale na mameneja wa tanroads mikoa yote
3. Takukuru yenyewe
4. Tamisemi Halmashauri zote
5. ATCL
6. Mamlaka ya Bandari tanzania
7. Wizara ya elimu, ukarabati...
Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea.
Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili...
Kiutawala hapa Tanzania awamu za uongozi humaanisha muda anaokaa madarakani Rais. JPM awamu yake imekuwa ya miaka kama mitano na ushe hivi. Mwinyi, Mkpa na Kikwete awamu zao zilikuwa ni miaka kumi kumi hivi.
Nyerere awamu yake ilichukua zaidi ya miaka 20. Mama Samia awamu yake inaweza ikawa ya...
Miaka mitano hii imeigawanya sana jamii. Ukiwa mfanyakazi Serikalini una nafasi fulani na inakupatia mshahara mzuri basi uliambiwa wewe unatakiwa uishi kama shetani awamu ya tano
Hapo inabidi umlipie feesza chuo mwanao. Mtoto ambaye wazazi wake hawaonekani kuwa na uwezo mzuri kiuchumi wanapata...
Kwa jicho la tatu nauona utawala wa Samia Suluhu Hassan (SSH) ukienda kufanana ama kushahabiana na utawala wa awamu ya pili wa Mzee Ruksa. Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari na Mzee Mwinyi pia alikuwa Mzanzibari. Hata kimuonekano tu na jinsi wanavyoongea, wote hawa wawili wana haiba fulani hivi...
Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
Ndugu zangu habari,
Kila awamu ya uongozi ina mtu mmoja maarufu ambaye anakuwa haendani kabisa na Mtawala aliyopo au waliendana badaye wakegeukana kisha kuathiliwa na matendo ya Mtawala huyo.
1. Oscar Salathiel Kambona, rafiki kipenzi wa J.K.Nyerere waliopendana na kutoshana kabla shetani...
Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini.
Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6?
Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile.
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.