awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi huru: Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya Aprili 22, 2021

    Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen. Nina hakika siku...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita wekeni taa Uwanja wa Ndege wa Bukoba, msisubiri vifo na majanga

    Chonde Chonde Serikali ya Awamu ya 6 wekeni taa katika uwanja wa ndege wa Bukoba, msisubili vifo na majanga yatokee ndiyo taa hizo ziwekwe. Tatizo hili limekuwa la muda mrefu na sijui tatizo liko wapi, ambapo uwanja wa ndege wa Bukoba ni kati ya viwanja vichache nchini vyenye habiria wengi na...
  3. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    Kutokana kifo cha JPM, leo nilipata muda wa kutafakari mambo kadhaa. Tafakuri yangu imenipa jibu kwamba Tanzania tumevamiwa na maadui kila kona. Kitendo cha taarifa nyeti za Ikulu kuvuja mitaaani kabla ya taarifa rasmi maana yake kwamba kuna mamluki wengi wamejaa Ikulu. Picha ya jeneza la JPM...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano iliua UDART, hili tuliseme wazi si kumung'unya maneno

    Uache siasa za changa la macho, Serikali ya JPM ndiyo imeua utendaji wa UDART. Barabara za UDART kweli ni mali ya serikali lakini mradi wa mabasi mwendo kasi ulikuwa toka mwanzo ni mradi binafsi (private investment) uliowekezwa na mtanzania, Nd Kisenha. Serikali ilifanya kila njia kumnyima...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mabasi ya mwendokasi (UDART) ikadhibiwe Sekta Binafsi kabla haijafia mikononi mwa Serikali na kuitia aibu kubwa

    Waziri mkuu wa JMT leo ametembelea biashara ya UDART katika eneo la Gerezani amekuta mfumo wa kutoa tiketi na kuhakiki wa kielektroniki hautumiki badala yake tiketi zinaprintiwa, zinawekwa pembeni, abiria akigaiwa tiketi hakuna uthibitisho kama ni ya serikali kweli au za wajanja nje ya Serikali...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taarifa juu ya Miradi ya Mendeleo iliyotekekezwa awamu ya tano ilijaa upotoshaji mkubwa kwa Wananchi

    Wananchi wengi walikuwa hawaambiwi ukweli na uhalisia wa miradi iliyotekelezwa awamu ya tano. Kiasi cha Wananchi kuwa taarifa zisizo sahihi juu ya miradi hiyo huku wengi wakidhania ilikuwa imekamilika kwa 100%. Mfano ni kweli vituo vya afya 460+ na Hospitali za Wilaya zaidi ya 65 zilijengwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Prominent COVID conspiracy theorist dies of virus

    Mabibi na mabwana yamesemwa mengi na hata yamerushwa matusi mengi. Uzuri ni kuwa wapigania haki za watu kuishi hawana tuzo wala utambulisho wanaotaka kibinafsi hapa duniani wala huko juu mbinguni. Hapa yupo mwingine alikuwa mshupavu kweri kweri: Wajameni haka kaugonjwa kana tabia mbaya ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

    Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa) Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?" Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? " Ramadhan Kareem!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunasema hii ni awamu ya sita na si ya tano?

    Kuna moja ya thread jukwaa hili, imeandikwa humu ikiwa na hoja ya kwamba awamu ya Sasa serikali ya Mama Samia ni ya awamu ya tano yaani muendelezo wa mtangulizi wake. Yafuatayo ni maelezo mafupi juu yakijibu hoja hiyo. Ni vyema kutofautisha kati ya awamu na muhula ili usipate mkanganyiko; 1...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

    Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha. Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutaendeleza yale mazuri ya awamu ya 5

    Rais Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo? Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia. Wewe unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: Wale wote waliopotea awamu ya 5 na hawakuonekana hadi sasa, waliuawa ama tuendelee kuamini kwamba wako hai ipo siku watarudi?

    Maana mpaka sasa hatujaambiwa lolote la maana na Jeshi la Polisi wala viongozi wa serikali , kwamba ni nini kimewatokea watanzania wenzetu hawa akina Bernard Saa Nane , Kanguye aliyepotezwa Kigoma , Azory Gwanda wa gazeti la Mwananchi na wengine wengi waliopotea kwenye mazingira ya...
  13. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kachero mbobezi yupo wapi? Ameshindwa hata kutoa pongezi kwa awamu ya 6?

    Katika pitapita mitandaoni sijafanikiwa kukutana na mahojiano au hata tweet ya Mr Benard Membe l. Akizungumzia chochote juu ya kifo cha Magufuli wala ingizo jipya la raisi Samia Suluhu. Huyu ndugu amesua? Yuko wapi? Au ameachana na siasa uchwara kama Rostam? Wengine walioko kimya. Mzee...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Pamoja na kuteswa sana awamu ya 5 lakini viongozi wa Chadema hawakujali kitu , roho zao kwatu kabisa

    Hii ni moja ya shughuli iliyosheheni viongozi wa juu kabisa wa Chadema , wakisakata rumba bila hata kinyongo na mtu , Hakika Chadema ni furaha tele . Jionee mwenyewe .
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Miradi yote ya awamu iliyopita itatekelezwa

    Baada ya hoja kadhaa wiki hii kuibuka za kumuacha Rais Samia Suluhu aidha Kuandika kitabu chake au aendelee na kilichopo, waziri mkuu wakati akihitimisha hoja yake ya bajeti, amesema serikali ya awamu ya sita itaendelea kukamilisha ahadi zikizotolewa wakati wa kampeni zilizopo kwenye ilani ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

    Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya. Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano nchi ilijengwa zaidi upande mmoja

    Ninaingalia Tanzania na na idadi ya Mikoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Vijiji na Vitongoji vyake na idadi ya miradi ya maendeleo inayoguza moja kwa moja mikoa, wilaya, tarafa, kata na vijiji kama vile maji ya kunywa, barabara, madaraja, shule, hospitali, umeme, ujenzi wa huduma za benk. viwanja vya...
  18. Kimbakuli

    JamiiForums Tanzania Hivyo viwanda 4000 vilivyojengwa awamu ya 5 mbona sivijui, nafahamu kiwanda cha Dangote tu cha awamu ya 4

    Kelele nyingi sana zilipigwa kwamba kuna viwanda vingi vilijengwa awamu iliyopita lakini hivyo viwanda mbona hutuvifahamu au ilikuwa ni habari ya guantity sio quality! Kiwanda kimoja tu cha kuzalisha saruji cha tajiri Dangote kilichojengwa awamu ya mkwere kule umakondeni si tu kinajulikana Tz...
  19. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania namshauri Spika Ndugai kuwa huu si muda wa vijembe na utani kwa kina Mbowe. Tujibu hoja chafu za awamu iliyopita

    Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea! Nimejiuliza mengi kama Mtanzania kuwa tunataka kujenga nchi ya aina gani? Tutaendelea kuudanganya Ulimwengu...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
Back
Top Bottom