DRC: Maelfu waukimbia mji wa Goma kukwepa mlipuko wa awamu ya pili wa volcano ya mlima Nyiragongo

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
536
1,000
Mamlaka mjini Goma nchini Congo DR zimewataka waakazi wa mji huo kuondoa kwa hofu ya volcano ya mlima Nyiragongo kulipuka kwa mara ya pili.

Mji jirani wa Gisenyi,Rubavu Nchi ya Rwanda umeshuhudia mamia ya makumi ya waakazi wa mji wa Goma wakikimbilia hapo kwa minajili hiyo ya kukimbia madhara yatarajiwayo.

---
Tens of thousand of people have fled the city of Goma, in the Democratic Republic of Congo again - due to fears of another eruption of the Nyiragongo volcano.

The governor of North Kivu province ordered the evacuation of ten districts of the city, saying an eruption could take place with very little warning.

At least 31 people are now known to have died when Nyiragongo erupted over the weekend.

Two significant cracks in the ground - several hundred metres long - have appeared in the city which is located just over 10 kilometres from the volcano.

Residents have been told to carry "the bare minimum to give everyone the chance to get on board" vehicles that will be provided by the provincial authority in each district.

"Return to homes can only be done on the recommendation of the provincial authority," said Gen Costant Ndima, the military governor of North-Kivu region.

Mount Nyiragongo last erupted in 2002, killing 250 people and making 120,000 homeless. The volcano's deadliest eruption happened in 1977, when more than 600 people died.

Source: BBC
 

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,199
2,000
Maelfu ya watu wameondoka tena katika Mji wa Goma kufuatia hofu ya mlipuko mwingine wa Volkano. Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini ameagiza wananchi kutoka Wilaya 10 za Mji huo kuondoka kwenye makazi yao

Watu wapatao 31 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya Mlima Nyiragongo kulipuka mwishoni mwa wiki iliyopita. Ulipolipuka mwaka 2002, watu 250 walifariki dunia na wengine 120,000 kukosa makazi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom