assad

  1. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Unashauri Assad agombee urais kupitia chama gani?

    Tumshauri Assad ambae kwa sasa amejipambanua kama jabali jipya la siasa za Tanzania. Assad kwa muda mrefu alikuwa amejifunika kwa mwamvuli wa “kufanya kazi kiweledi “ na alifanikiwa kutuaminisha ilo. Tumpe ushauri agombee urais 2025 kwa chama mnachoona kitamfaa. Twende kazi.
  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

    Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi. Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

    Kama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

    Hii ni tweet inayoombatana na video huko twitter: Prof. Assad anasema "..You can't buy airline by cash, hakuna yeyote anayenunua ndege kwa cash...wapi umeona?..hakuna mtu ananunua ndege kwa cash. Watu wajinga sana ndio wanaweza kufanya jambo hili..."
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Wanaounga mkono kila kitu ni wasaka fursa

    Dar es Salaam, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi. Profesa Assad amesema hayo leo Jumamosi Aprili 10, 2021 katika uzinduzi wa mfululizo wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vijana, wekeni nadhiri ya kuzeeka mkiwa na heshima Kama Prof. Assad

    Wazee wengi wameshindwa kutunza heshima yao, wameshindwa kuridhika na umri waliopewa na Mungu, wameshindwa kuwa kioo cha jamii, wamekuwa ndumilakuwili, hawana msimamo na awaridhiki na kile walichokwisha chuma.wapo tayari kuishi kwa unafiki ila wasitolewe kwenye nafasi zao. Kwa sifa hizi wazee...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo

    Dar es Salaam. Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya kuanza na safu mpya ya viongozi serikalini, kwa kile alichokidai kuwa waliopo wengi hawana uwezo mzuri kiutendaji. Profesa Assad amesema hayo leo Aprili 10, 2021 wakati wa uzinduzi...
  8. mngony

    JamiiForums Tanzania Nini kilifanya CAG aliyepita, Profesa Assad kuondolewa katika nafasi ile?

    Kama tunakumbuka vizuri, ripoti ya kwanza ya CAG Assad baada ya kuingia kwa awamu ya 5 pamoja na ubadhirifu mwingine ilionesha ufisadi wa kiasi cha pesa 1.5 Trilioni ambacho hakikuoneka wapi kilienda. Baada ya ripoti hiyo, CAG alishambuliwa sana na serikali na Chama wakiwemo mawaziri, Spika...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Mipango ateuliwe Profesa Musa Assad

    Ikimpendeza Mheshimiwa Rais, anaweza kumteua Prof. Assad kuwa Mbunge na kisha kuteuliwa Waziri wa Fedha na Mipango. Sina shaka na utendaji wake hasa akiwa CAG, alisimama imara hali iliyompelekea kukumbwa na mizengwe ya wachumia tumbo. Umri hauwezi kuwa kikwazo sababu tuna Mawaziri wengi wenye...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Prof. Assad ateuliwe Ukurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari

    Kutokana na wizi na ubadhirifu wa bandari yetu napendekeza Profesa Assad ateuliwe nafasi hiyo
  11. Lyaka Mlima Jr

    JamiiForums Tanzania Majasusi wa Mossaid ya Israel walivyoiba mkojo wa Hafez al Assad Rais wa Syria

    Rais wa zamani wa Syria bwana Hafez Assad (Baba yake na Bashar, rais wa sasa) alikuja kugundua ya kuwa idara ya ujasusi ya Israel (mafundi wa Mossad) walimtengenezea choo cha bandia kwa kutumia yeye tu pale alipoudhuria mazishi ya mfalme Hussein wa Jordan. Ilikuwa si rahisi kwa walinzi wa Hafez...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Job Ndugai ilivyowasambaratisha Prof. Assad, Makonda, Tundu Lissu, Mbowe na Mpina!

    Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua. Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful. Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa...
  13. The Boss

    JamiiForums Tanzania CV za Profesa Assad na Profesa Mbarawa

    Nimepitia CV ya Proffesa Makame Mbalawa nikaikumbuka CV ya Proffesa Assad ..former CAG.. Hebu mwenye CV za watu wengine impressive atuwekee. Ya Mbalawa hii.. WASIFU WA PROFESA MAKAME MNYAA MBARAWA Prof. Makame Mnyaa Mbarawa alizaliwa mwaka 1961 Chokocho Kisiwani Pemba na kupata elimu ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Zitto Kabwe kutumia " ubunge" wake kuikosesha serikali mkopo wa WB kimethibitisha kauli ya Prof Assad kwamba Bunge si Imara

    Bunge limemtaka AG ambaye pia ni mbunge kuchunguza kama kitendo cha mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto kutumia nyaraka za bunge kuishtaki serikali huko benki ya dunia hakina chembe chembe za Jinai ndani yake. Hapa nina maswali mawili: Mosi, Jinai inachunguzwa na mwanasheria mkuu wa serikali...
  15. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Professor Assad Asimulia alipokuwa

    Kuna siku niliwahi kuwaambia kuwa tujifunze kukaa kimya, sasa waliozusha habari za kutekwa Prof Assad sijui wataficha wapi sura zao, kwenye video hii anasimulia alipo kuwa.
  16. CHEF

    JamiiForums Tanzania Profesa Mussa Juma Assad agombee urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Profesa Mussa Assad ni mtu sahihi kuwa Rais wa Jamhuri Ya muungano wa Tanzania, kwa weledi aliouonesha ni kweli Tanzania tuna wasomi na watu makini sana na wasiogopa mtu, Kauli ya Baba wa Taifa ya kwamba tunahitaji vijana jeuri basi huyu ni miongoni mwa zao la baba wa taifa. Ukimtathimini huyu...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

    Hiki ni kitendo kilichofanyika bila kuchelewa , hajataka kuleta longolongo ili waseme kuna mafaili yametoroshwa . Kila la heri Profesa Assad ****** Prof. Assad: "Hii ni taasisi na makabidhiano ya taasisi yanaenda kwa maandishi, kwa hiyo makabidhiano kwa maandishi yatafanyika Dodoma kwa sababu...
  18. Papaa Muu

    JamiiForums Tanzania Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

    Prof Assad alitumika kimkakati kuidhoofisha serikali ya Rais Magufuli hakuwa mzalendo kama ambavyo wengi waliaminishwa. Juma Assad (Personal) aliamua kukitumia kitu chake cha kuwa CAG Katika kutekeleza mipango mikakati ya wanasiasa na ndiye mtu pekee aliyebakia kama target muhimu ya kuibua...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni Wanaoapishwa ni pamoja na; 1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba, Dr. Dau na sasa Prof. Assad walijengwa sana na wanasiasa kuliko uhalisia wa utendaji wao kitaaluma

    Ukifanya uchunguzi mdogo tu utagundua katika mazingira fulani watatu hawa Prof Lipumba, Dr Dau na Prof Assad wanafanana sana. Na lililo kuu wote ni walimu wa Udsm kama ilivyo kwa Prof. Kabudi. Lakini watatu hawa umaarufu wao " umetengenezwa" zaidi na wanasiasa vijana kwa sababu za kisiasa "...
Back
Top Bottom