Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

Wacha watu watapike watakavyo dhidi ya mwendazake, kwa kuwa alivyokuwa hai watu hawakuthubutu kuyatamka hayo kutokana na jamaa alivyokuwa mlipaji visasi kwa yeyote anayeonekana anampinga kutokana na jinsi anavyoiendesha nchi yetu shaghala baghala
 
Kauli hii ya kizalendo imetolewa na Profesa Musa Assad alipokuwa akiongea kwenye kongamano la chuo kikuu cha Kiislam Morogoro.

"Kwenye miradi hii ya muda mrefu mikopo ni sahihi , cash ina kazi yake na mikopo ina sehemu yake "

Nini maoni yako kwenye hili?
 
Prof.Mussa-Juma-Assad_768_972shar-50brig-20_c1_c_t.jpg

Huu Mwamba! Haujaokotwa jalalani kama yule Mbwiga.​
 
46 Reactions
Reply
Back
Top Bottom