assad

  1. mr yamoto

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

    Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya Nilipoteuliwa nilipewa barua ya uteuzi iliyoeleza mambo kadhaa ya kisheria...
  2. Albert Einstein

    JamiiForums Tanzania Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

    Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad amemaliza kipindi chake cha miaka mitano kwenye nafasi hiyo. Lakini Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (ambayo ndio sheria mama) haelezi hicho kinachoitwa "kipindi cha miaka...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CAG: Kamati za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti yetu

    CAG Prof. Assad amezipongeza Halmashauri zilizofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato ya Serikali kama ilivyotangazwa na Waziri wa TAMISEMI Mh. Jafo. Prof. Assad amesema pia Kamati za kudumu za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti ya ukaguzi wa taasisi mbalimbali za serikali kama...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Assad Has Used Chemical Weapons 106 Times, Claims BBC

    BBC has completed its investigations in Syria, where they have discovered that Syrian President Assad has gassed civilians 106 times. I used to support Assad, lakini kama hii habari ni ya kweli, basi ni vizuri serikali yake ipinduliwe. Marekani, kazi kwako. Ama wewe waonaje? How chemical...
Back
Top Bottom