Prof. Lipumba, Dr. Dau na sasa Prof. Assad walijengwa sana na wanasiasa kuliko uhalisia wa utendaji wao kitaaluma

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Ukifanya uchunguzi mdogo tu utagundua katika mazingira fulani watatu hawa Prof Lipumba, Dr Dau na Prof Assad wanafanana sana.

Na lililo kuu wote ni walimu wa Udsm kama ilivyo kwa Prof. Kabudi.

Lakini watatu hawa umaarufu wao " umetengenezwa" zaidi na wanasiasa vijana kwa sababu za kisiasa " zaidi "

Ukiwaangalia katika upande wa taaluma na utendaji ni watu wa kawaida kabisa.

Nadhani nimeeleweka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nina umri wa kutosha sasa, Dr. Dau alinifundisha MK 100 nikiwa UDSM, hali kadhalika Mr. Assad by then akinifundisha AC 100. Lakini ktk post graduate studies Dr. Assad by then alifundisha tena Accounting sikumbuki vyema lkn itakuwa AC 600. Professional
 
Prof. Libumba hajawahi kunifundisha, isipokuwa Dr. Osoro alinipa changamoto nyingi ktk Micro Analysis 1 & 2 na Public Finance nikiwa mwaka wa mwisho wa digrii yangu ya kwanza.

Pamoja ya kwamba mimi ni Mkristo, natambua umahiri wa hivi vichwa vya Dr. Dau na Prof. Assad. Ni watu makini wenye ueledi mkubwa sana, lkn pia ni watu wacha Mungu mno kupitia imani ya dini zao.
 
Binadamu tuna macho mawili Mungu ametujalia na ametupa uwezo wa kuona..

Basi kila mwenye kuona anaona, kama kizuri ni kizuri na kama kibaya ni kibaya hatuhitaji nguvu kwenye hili..
 
Mtoto wa kike akijaaliwa tako au matako hata akivaa dela au akalificha litaonekana tu.

Kuna vitu havihitaji analysis saana kuvijua..

Ukishuka London au New York kutokea angani hupati shida kujua upo nchi ya namna gani..
 
Yaani wewe jamaa hupitwi na jambo kila kitu wewe wajifanya unakijua..

U much know wako, sometimes una boa kwa kuanzisha vinyuzi uchwara hapa jukwaani.

Poa kidogo ndugu, nakuona una moto sana wa kuanzisha viji thread hapa jukwaan visivyo na miguu wala kichwa.
 
The trio wamkula sana pesa pale NSSF. Lilikuwa janga la kitaifa na kuna watu wamekopa mabillioni hawawezi kurudisha kisa hawana hizo pesa. JPM anavyosema nchi hii ni Tajiri anao ushahidi.
 
Ukifanya uchunguzi mdogo tu utagundua katika mazingira fulani watatu hawa Prof Lipumba, Dr Dau na Prof Assad wanafanana sana.

Na lililo kuu wote ni walimu wa Udsm kama ilivyo kwa Prof Kabudi.

Lakini watatu hawa umaarufu wao " umetengenezwa" zaidi na wanasiasa vijana kwa sababu za kisiasa " zaidi "

Ukiwaangalia katika upande wa taaluma na utendaji ni watu wa kawaida kabisa.

Nadhani nimeeleweka

Maendeleo hayana vyama!
Kibaya chajiuza kizuri chajitembeza.

Wanofanya vizuri sana katika kazi zao ni Edward Lowassa, Eikaeli Mbowe na bila kumsahau Crispian Musiba.
 
Unamfananisha Assad na Lipumba, muda mwingne uwe unapretend japo kuwa serious japo kidogo mkuu.
 
Amina ,Mungu akubariki kwa kusema ukweli
The trio wamkula sana pesa pale NSSF. Lilikuwa janga la kitaifa na kuna watu wamekopa mabillioni hawawezi kurudisha kisa hawana hizo pesa. JPM anavyosema nchi hii ni Tajiri anao ushahidi.
 
Prof. Libumba hajawahi kunifundisha, isipokuwa Dr. Osoro alinipa changamoto nyingi ktk Micro Analysis 1 & 2 na Public Finance nikiwa mwaka wa mwisho wa digrii yangu ya kwanza.

Pamoja ya kwamba mimi ni Mkristo, natambua umahiri wa hivi vichwa vya Dr. Dau na Prof. Assad. Ni watu makini wenye ueledi mkubwa sana, lkn pia ni watu wacha Mungu mno kupitia imani ya dini zao.
Hakukuwa na ulazima wala umuhimu wa kusema "pamoja ya kwamba mimi ni mkristo......"
Kwamba muislamu angetoa sifa hiyohiyo uliyotoa kwa hao wataalamu isingekuwa sahihi?
Inapendeza zaidi kutoa compliments from a neutral ground.
 
Watu kama nyinyi inabidi hata JPM awe makini nanyi. Akitoka madarakani..mtamchamba hivi hivi mnavyawachamba waliomtangulia.

Hata huyu Kabudi akiondoka madarakani mtamponda hivi hivi.

Mwisho wa siku maslahi yenu ni ya tumbo Zaidi. I hope hata Ngosha mwenzangu analijua hilo!
 
Hivi unamjua Profesor Lipumba kweli wewe? tunaweza mponda kwenye mambo yake ya siasa ila professional yake.
 
Back
Top Bottom