assad

  1. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad ashinda ombi za zuio la kuwa mjumbe ktk Jopo la Wasuluhishi

    Jumanne, 22 Novemba 2022 THREE OIL COMPANIES LOCK HORNS AS EX-CAG REMAIN ARBITRATOR By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary THE High Court has refused to bar ex-Controller and Auditor General Prof. Mussa Assad from serving as an Arbitrator in pending arbitral proceedings between three giant petroleum...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali na Zitto warudishana Mahakamani tena kwa kesi ya CAG Prof. Assad

    Wakati Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akijiandaa kukata rufaa kupinga sehemu ya hukumu ya kesi ya kikatiba ya utumishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Serikali imemtangulia na kuweka kusudio la kukata rufaa. Mahakama Kuu katika hukumu yake ya Desemba 5, mwaka huu chini ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Profesa Mussa Assad: Hasara za Tozo ni kubwa kuliko faida zake, Mawaziri ndio wakatwe kodi

    Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amezungumzia suala la Tozo wakati akihojiwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM. Profesa Mussa Assad amesema anaamini suala la Tozo lina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali. Amesema “Kuna namna...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Assad: Hatutaki Rais anayesikiliza kila mtu na la kila Mtu!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya lolote na kuwa atakuwa analazimishwa kusikiliza mashauri mbalimbali. Prof. Assad ni miongoni mwa...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

    Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

    Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa. Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad mwaka wa kwanza wa Awamu ya Tano alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa, fikiria ndani ya miaka 6

    Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai alimuwashia moto Prof. Assad tarehe kama ya leo

    Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge siku ya Januari 21, 2019 kwa hiari kwa ajili ya kuhojiwa, vinginevyo angepelekwa kwa pingu. Spika...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukimfuatilia Prof Assad utagundua si mtu smart kama ambavyo watu walidhani

    Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. Ukimsikiliza katika maongezi...
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Serikali imelipa zaidi ya 2.9 bilioni kama riba ya ucheleweshaji wa malipo kwa makandarasi, Prof: Assad anajifunza nini hapa?

    Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza kutumika. CAG Charles Kichere alibainisha katika ripoti yake ya miradi ya maendeleo ya mwaka 2019/20...
  11. S

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

    Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga. Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni...
  12. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad ahoji usiri wa uuzaji Nyumba za Serikali

    Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza. Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Kinachokwamisha ukaguzi sekta ya madini ni kukosa umiliki wa Serikali

    "Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali," Prof Assad, aliyekuwa CAG Wiki ya asasi za kiraia
  14. K

    JamiiForums Tanzania Namshauri Professa Assad aende Mahakamani kwa uonevu aliofanyiwa

    Pole sana Professa Assad. Mimi binafsi nilisikitika sana kwa uonevu uliofanyiwa kwa kustaafishwa bado ukiwa hujatimiza umri wako wa kustaafu. Ulisimamia ukweli, ulikuwa mwadilifu na mkweli kwa nchi yako lakini haya yote wakubwa hawakuona na bado wakakukejeli. Kama katiba inavyosema CAG ili...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki. Hili suala la kuniita CAG...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Katiba Mpya ni Muhumu, itamjenga Rais na haitampunguzia chochote

  17. L

    JamiiForums Tanzania Mbona Profesa Assad muda wake wa kuwa GAG ulipoisha hakuteuliwa kufanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa?

    Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa. Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Assad agombee Urais ili awakopee ndege wajasiliamali wadogo

    Natumia theory ya Assad kwamba duniani kote ndege hazinunuliwi kwa cash bali mkopo. Kwa theory hii ni vyema basi tuwakutanishe wajasiliamali wadogo jijini Dar wakope ndege hata 20 hivi za kuanzia.
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Profesa Assad akisifia mradi wa Bwawa la Nyerere

    Mimi sitasema mengi ila asilimia 60 ya msio na uwezo mtasema.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad bado anautamani uCAG? maana anaongea utadhani Kicheere hayupo!

    Prof Assad anaongea sana hana tofauti na Tundu Lisu. CAG Kicheere ameshatufafanulia wananchi kilichojiri katika ripoti yake na watanzania wamemuelewa lakini bado CAG aliyemaliza muda wake anarudia tena yale yale . Assad endelea kusimamia taaluma hapo chuo cha Tanesco mwache Kicheere afanye yake!
Back
Top Bottom