assad

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wapiganaji waliompindua Assad hawaishambulii Israel iliyoingia ndani mwa nchi walioyoiomboa

    Israel imeingiza vifaru kwenye eneo la kijiografia la Syria. Kinyume cha utaratibu. Inashambulia uti wa mgongo wa jeshi lililoshindwa la Syria. Kana kwamba wanataka serikali itakayokuja hata kama ni yawa wanamgambo wasiwe na kifaa chochote cha kijeshi cha maana. Kwa nini hawa waasi...
  2. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kaburi la hafez al assad baba yake bashar al assad limelipuliwa leo na waasi walioteka nchi

    Kaburi hilo limelipuliwa na kuharibiwa vibaya mno na waasi waliochukua nchi kwa kumfurusha bashar al assad Ikumbukwe hafez al assad aliwaua wasunni wengi sana wakati akitawala syria kwa mkono wa chuma ilibidi afanye hivyo sababu madaraka aliyapata kwa mapinduzi ya kijeshi Hii habari...
  3. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video clip: Suleyman Al-Assad Jenerali wa Serikali ya zamani ya Syria anyongwa mubashara

    Binamu wa rais wa zamani wa Syria, Bashar al-Assad aliukiwa kwa kunyongwa na baada ya kupandishwa juu na crane. "Baada yakuwasili kwa vikosi vya waasi wa Syria katika mji wa Latakia, ilitangazwa kuwa Suleiman al-Assad, ambaye alikuwa kiongozi wa Vikosi vya Ulinzi wa Kitaifa, aliuawa. Kwa...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Magari ya Assad

    Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad! Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari. Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda mwingi alikuwa mafichoni. Popote alipokuwa anaenda alikuwa alikuwa anaendeshwa. Ni lini alikuwa...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania Assad kawatesa Sana Wasyria kwenye gereza la Sednaya

    Nina fuatilia hapa Al Jazeera kuhusu yaliyokuwa yanafanyika kwenye gereza la Sednaya nadhani Assad alikuwa mtu katili Sana. Ndio maana wasyria wameshangilia Sana. Leo halaiki ya watu walifika kwenye gereza la Sednaya kuona kama ndugu zao bado wapo. Ila kwa masikitiko wengi hawapo aidha walikufa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Bashar Assad

    Mzuka wanajamvi! Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion. Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waliosaidia Assad apinduliwe ni Russia ama Marekani?

    Kuna watu huwa wanawaona waarabu kama hawana akili za kujitegemea. Sasa Bashir Assad kaondolewa madarakani. Jee kaondolewa na Wasiria peke yao ama hao Wasiria wamesaidiwa na Marekani au Russia? Kama Russia kwa maslahi gani na kama pia na Marekani, pia ni Kwa maslahi gani?
  8. bahati93

    JamiiForums Tanzania Bashar al Assad, daktari wa macho aliyeshindwa kuona mbali

    Mwaka 1994 Bashar aliitwa nyumbani kutoka Uk alipokuwa akipata doctorate katika fani ya ophthalmologist. Mwito huu ni kutokana n kifo cha kaka yake Bassel katika ajali ya gari, Bassel ndio aliyekuwa akiandaliwa kupokea madaraka. Baba yao dictator aliyebadilisha jina la ukoo wake kuwa al Asaad...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

    Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem. Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa. Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa utawala wa Assad kumeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Iran na Urusi

    Utawala wa bashar al assad umeanguka Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote huo Syria wengi ni wa-sunni na ndo wanaounda vikundi vingi vya waasi hata hawa waliochukua nchi ni...
  11. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania After the fall of Assad ,the evil U.S. and Israel governments bombing Syria to remove all evidence and kill any one who can testify against them

    The United States Air Force has begun bombing Syria. After the fall of the Syrian government, and the resignation of President Bashar al-Assad, who fled to Moscow, Russia earlier today, the United States has commenced bombing targets inside the defenseless country. This is the true nature of...
  12. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

    Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Assad na familia yake wamewasili Moscow, Urusi

    Assad na familia yake wamefika salama Moscow. Serikali ya Urusi yawapa hifadhi kuishi humo kwa muda wote. === Syria’s Bashar al-Assad and his family have arrived in Moscow and have been granted asylum by the Russian authorities, Russian news agencies report, citing a Kremlin source. The...
  14. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Inasemakana ndege aliyokuwa amepanda Bashal Al Assad tokeka Damascus imedunguliwa

    Dakika chache baada ya ndege hiyo kupotea katika rada, hichi ndicho walichoposti jeshi Israel katika ukurasa wao wa X.
  15. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Assad, je anayefuata ni Ayatollah Khomenei!

    Kuna kila dalili kuwa kituo kinachofuata baada Syria ni Iran. Baada ya kusoma komenti kadhaa za waajemi masaa machache yaliyopita katika mtandao wa X, nimebaini ya kuwa utawala wa kifamle ulioangushwa katika mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979- mapema sana Januari mwakani (2025) utarudihswa kwa...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Rais Assad yavamiwa, Samani zaporwa

    Tumesimama kando ya ikulu ya rais, moja ya jumba alimokuwa akiishi Assad. Watu wengi, wengi wakitoka vijijini, walivamia ikulu na wamekaribia kuharibu kila kitu. Kufikia wakati tunafika, mahali hapo palikuwa karibu patupu isipokuwa vipande vya samani. Wafuasi wa kundi la waasi la HTS wamefika...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuanguka kwa utawala wa Bashar al-Assad huko Syria ni kushindwa kwa Russia na Iran?

    Honestly, kuanguka kwa huyu mwamba kiboko ya mataifa ya magharibi kumenihuzunisha sana. Was it coincidence or planned. Mbona imekuwa haraka sana wakati jana tu nimeskia Hezbollah wametuma maelfu ya wapiganaji kumsaidia ASSAD. Wasiwasi wangu ni hii nchi kuangukia kwenye machafuko ya kila mara...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

    Wakuu, Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo. Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara wanaonekana wakiwa wanamtoa Waziri Mkuu wa Syria kutoka kwenye ofisi yake ambayo ilikuwa ipo kwenye Hotel ya...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Baada ya Assad kukimbia nchi, waasi watua kwenye kasri lake la kifahari na kuanza kusheherekea

    Wakuu, Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka. Huyu jamaa alikuwa anakula maisha kweli kweli na pengine ndo maana walikuwa wanataka kumtoa. Video hizi zinasambaa sana X...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Assad amekimbia nchi. Ni muda wa Putin na Zelensky kuachana na ukichaa unaoendelea; wakae chini wayamalize

    Wakuu, Muda mfupi baada ya kuwepo kwa taarfa kuwa Bashar Al Assad amekimbia nchi na kwenda kusikojulikana, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa tamko Trump amesema kuwa moja ya sabu ya Assad kuanguka ni kwa sababu hakupata msaada kutoka kwa Urusi na kuongeza kuwa ni muda muafaka sasa...
Back
Top Bottom