Uchaguzi 2020 Askofu Mwamakula: Tume ya Taifa ya Uchaguzi isitishe zoezi la uteuzi wa wagombea katika majimbo yaliyo na kasoro

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,093
2,000
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ISITISHE ZOEZI LA UTEUZI WA WAGOMBEA KATIKA MAJIMBO YALIYO NA KASORO.

Kanuni ya Dhahabu (golden principle) inasema: "Siyo tu kuwa Haki itendeke, bali Haki ionekane kuwa imetendeka"! Katika mchakato wa Urudishaji fomu kuna vituko na shida mbalimbali ikiwemo baadhi ya Wagombea kutekwa, kuvamiwa, kukamatwa na Jeshi la Polisi, kuporwa Fomu nk. Tume inao wajibu katika kutunza amani na utulivu wa nchi kwa kuhakikisha kuwa haki inatendeka.

Tume haiwezi kuendelea na Uchaguzi katika Majimbo ambayo baadhi ya Wagombea wameenguliwa kimabavu na hila nje ya Mfumo wa Sheria. Tunatoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kusitisha mchakato wa Urudishaji Fomu katika Majimbo yaliyokumbwa na matatizo. Tunapenda kuona Haki inatendeka na ionekane kuwa imetendeka (Zaburi 101).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani
 
Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,737
2,000
Kabisa wagombea waliotenguliwa kwa ujanja ujanja wakate rufaa mapema na kuwataka NEC wasitishe zoezi la uteuzi.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,228
2,000
Kumbuka tume ni ya CCM siyo ya Taifa, kwa hiyo inafanya kazi for the best interest of CCM not the nation at large
 
Fernando Jr

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
2,188
2,000
Hii tume itafanya hata watu wakose mwamko wa kupiga kura binafsi mimi sitapiga kura wewe je?
Piga kura nafasi ya urais, kama jimboni/katani kwako kuna mgombea wa CDM/ACT piga kura pia kwa nafasi hizo.

Tupige kura ziwe nyingi nyingiiiii ili hata wakiziiba sababu ya wao kushughulikiwa iwepo.
 
Blackjew

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
520
1,000
Ni vizuri pia kujua majambazi wahuni na wanaojiita wanasisiemu ndio watendaji halisi wa tume na uhuni wao huo wa kupora fomu ndio utendaji halisi wa tume
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
204
250
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ISITISHE ZOEZI LA UTEUZI WA WAGOMBEA KATIKA MAJIMBO YALIYO NA KASORO.

Kanuni ya Dhahabu (golden principle) inasema: "Siyo tu kuwa Haki itendeke, bali Haki ionekane kuwa imetendeka"! Katika mchakato wa Urudishaji Fomu kuna vituko na shida mbalimbali ikiwemo baadhi ya Wagombea kutekwa, kuvamiwa, kukamatwa na Jeshi la Polisi, kuporwa Fomu nk. Tume inao wajibu katika kutunza amani na utulivu wa nchi kwa kuhakikisha kuwa haki inatendeka.

Tume haiwezi kuendelea na Uchaguzi katika Majimbo ambayo baadhi ya Wagombea wameenguliwa kimabavu na hila nje ya Mfumo wa Sheria. Tunatoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kusitisha mchakato wa Urudishaji Fomu katika Majimbo yaliyokumbwa na matatizo. Tunapenda kuona Haki inatendeka na ionekane kuwa imetendeka (Zaburi 101).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani
Wewe ulikwisha kanwa na kanisa lako rasmi lakin unaendelea kupotosha
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,392

tukishinda na akatangazwa
najua tutakuwa na waubuge wachache kwa sababu ya figisu za NEC,

kitu Cha Kwanza Ni kufungua kesi za kupinga matokea ya wabunge waliopita kwa usanii nchi nzima,

na kurudia upya uchaguzi katika majimbo yaliyonajisiwa ili kufuta Upumbavu na uchafu wa NEC,

mtu Kama Majaliwa atakuwa na ubunge wa muda mfupi tu.
 
  • Love
Reactions: BAK

kipande

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,826
2,000
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ISITISHE ZOEZI LA UTEUZI WA WAGOMBEA KATIKA MAJIMBO YALIYO NA KASORO.

Kanuni ya Dhahabu (golden principle) inasema: "Siyo tu kuwa Haki itendeke, bali Haki ionekane kuwa imetendeka"! Katika mchakato wa Urudishaji Fomu kuna vituko na shida mbalimbali ikiwemo baadhi ya Wagombea kutekwa, kuvamiwa, kukamatwa na Jeshi la Polisi, kuporwa Fomu nk. Tume inao wajibu katika kutunza amani na utulivu wa nchi kwa kuhakikisha kuwa haki inatendeka.

Tume haiwezi kuendelea na Uchaguzi katika Majimbo ambayo baadhi ya Wagombea wameenguliwa kimabavu na hila nje ya Mfumo wa Sheria. Tunatoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kusitisha mchakato wa Urudishaji Fomu katika Majimbo yaliyokumbwa na matatizo. Tunapenda kuona Haki inatendeka na ionekane kuwa imetendeka (Zaburi 101).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani
Huyu askofu anajidhalilisha sana. Ni miongoni mwa viongozi wa dini wa hovyo kabisa wanaotumia mwamvuli wa dini kufanya siasa. Angesema ni wapi huko watu wametekwa na kuporwa fomu. Vinginevyo ni mchochezi ambae analiweka taifa kwenye taharuki isiyokuepo. Hawa ndo wale viongozi wa dini tulioambiwa wanapenda kubweka bweka kwenye media.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,962
2,000
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ISITISHE ZOEZI LA UTEUZI WA WAGOMBEA KATIKA MAJIMBO YALIYO NA KASORO.

Kanuni ya Dhahabu (golden principle) inasema: "Siyo tu kuwa Haki itendeke, bali Haki ionekane kuwa imetendeka"! Katika mchakato wa Urudishaji Fomu kuna vituko na shida mbalimbali ikiwemo baadhi ya Wagombea kutekwa, kuvamiwa, kukamatwa na Jeshi la Polisi, kuporwa Fomu nk. Tume inao wajibu katika kutunza amani na utulivu wa nchi kwa kuhakikisha kuwa haki inatendeka.

Tume haiwezi kuendelea na Uchaguzi katika Majimbo ambayo baadhi ya Wagombea wameenguliwa kimabavu na hila nje ya Mfumo wa Sheria. Tunatoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kusitisha mchakato wa Urudishaji Fomu katika Majimbo yaliyokumbwa na matatizo. Tunapenda kuona Haki inatendeka na ionekane kuwa imetendeka (Zaburi 101).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani
Huyu Askofu atakuwa sio mtanzania, achunguzwe uraia wake.

Watanzania wengi na maaskofu wao uchwara hawajitambui na ni waoga hakuna mfano.
 
waterproof

JF-Expert Member
Aug 14, 2020
356
500
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ISITISHE ZOEZI LA UTEUZI WA WAGOMBEA KATIKA MAJIMBO YALIYO NA KASORO.

Kanuni ya Dhahabu (golden principle) inasema: "Siyo tu kuwa Haki itendeke, bali Haki ionekane kuwa imetendeka"! Katika mchakato wa Urudishaji Fomu kuna vituko na shida mbalimbali ikiwemo baadhi ya Wagombea kutekwa, kuvamiwa, kukamatwa na Jeshi la Polisi, kuporwa Fomu nk. Tume inao wajibu katika kutunza amani na utulivu wa nchi kwa kuhakikisha kuwa haki inatendeka.

Tume haiwezi kuendelea na Uchaguzi katika Majimbo ambayo baadhi ya Wagombea wameenguliwa kimabavu na hila nje ya Mfumo wa Sheria. Tunatoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kusitisha mchakato wa Urudishaji Fomu katika Majimbo yaliyokumbwa na matatizo. Tunapenda kuona Haki inatendeka na ionekane kuwa imetendeka (Zaburi 101).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani
Hii ni sauti ya mungu imekuja duniani,chonde chonde isipuuzwe
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,093
2,000
MAPAMBANO DHIDI YA ASKOFU AU KANISA SIO JAMBO JIPYA!

Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki, Askofu Mkuu Emmaus Mwamakula akiwa katika picha ya pamoja na Wachungaji wapya wa Kanisa la Moravian la Uamsho nchini Uganda mara baada ya kuwabariki na kuwaweka wakfu Wachungaji 19 katika ibada iliyofanyika mjini Lira, Uganda mwezi Novemba 2019.

Wapo watu wakishirikiana na baadhi ya Maaskofu wa dhehebu lingine ni ambalo Kanisa la Moravian Tanzania (KMT) ambalo halina uhusiano wowote na Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania (KMUT) wanaonekana kukerwa na utume unaofanywa na Kanisa hili. Wameanza mikakati ya kutaka kulidhoofisha kwa kulichafua na kushutumu viongozi wake. Nyuma yake kuna nguvu ya fedha inayotumika pia kuwalipa watu na baadhi ya Vyombo vya Habari ili kumchafua Askofu Mwamakula na Kanisa analoliongoza. Hata hivyo, fedha, ushawishi, pamoja na wao wenyewe watapita lakini Kanisa hili litaendelea kubaki na kusitawi zaidi! Hakuna mwanadamu anayeweza kuizuia kazi ya Mungu. Mungu atalitunza Kanisa hili na Maaskofu wake dhidi ya mipango yote miovu (Zaburi 20:7).

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Wewe ulikwisha kanwa na kanisa lako rasmi lakin unaendelea kupotosha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom