Uchaguzi 2020 Mpaka sasa nafikiria Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe baada ya kuitwa Mrembo

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
888
821
Wana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara.

Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita Askofu Gwajima mrembo.

Mpaka sasa nafikilia Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe anavyoshukia kifaranga cha kuku.

Mimi nadhani CCM hakika walifanya utafiti mkubwa kumchagua gwajima jimbo la Kawe, nasikio la kufa halisikii dawa, maana Mdee naona kachokoza nyuki yeye mwenyewe.

Clip ya mgombea wa CHADEMA H. Mdee inasambaa u-tube kwa kasi akimuita Gwajima mrembo na kumfundisha swaga za kitaa.

Mwe mwe mwe.. Halima huyu huyu ninaemjua au ametoa wapi huo ujasiri wana JF?

Nawaomba wana JF tupashane siku na tarehe ya ufunguzi wa kampeni wa askofu Gwajima najua itakuwa burudani kama ya SIMBA DAY au ya WANANCHI Dar young Africa, nchi itasimama.

Halimaaa nasikia bishop sasa hivi anakusanya data zako zote tangia ukiwa mtoto.

Usilalamike maana umeanza mwenyewe yangu macho.
 
Mengine sijui ila nilichokiona kwako ni uandishi mbovu..... majina ya watu na ya Mwenyezi Mungu tunayaanzia na herufi kubwa. Plus kuchanganya L na R. Jitahidi, ni vitu vidogo vidogo kama hivi hutenganisha wale waliokuwa serious kumsikiliza mwalimu na wale waliopita shule kukua. Ni mtizamo wangu tu
 
Mbowe naona kaamua kuwaachia jumba bovu.
Cjsona kampeni mbovu km hizi za chadema mwaka huu.
Taarifa nilizonazo nikwamba gwajima anaandaa fail la uchafu wte wa halima mdee!
Uchafu wakuanzia utoto mpk hapo alipo.

Hii nivita yakugombania madaraka ndani ya chadema ndio inawaumiza kwa sasa.
Uzinduzi wa kampeni kitaifa kunawatu muhim ndani yachadema hawakuwepo nahawapo mpaka sasa.
1.sugu
2.heche
3.msigwa
4.pr. j
5.pr. A.safari
6.Baregu
Wengine mtaongeza, chama kimetekwa na wachaga na myaturu kichaa.
 
download (6).jpeg
whaaaaaaaaat
 
Naitafta chadema ya kuzungusha mikono E.lowasa.

Naitafta chadema ya Dr w.slaa, pr A.safari,Baregu,
 
Mengine sijui ila nilichokiona kwako ni uandishi mbovu..... majina ya watu na ya Mwenyezi Mungu tunayaanzia na herufi kubwa. Plus kuchanganya L na R. Jitahidi, ni vitu vidogo vidogo kama hivi hutenganisha wale waliokuwa serious kumsikiliza mwalimu na wale waliopita shule kukua. Ni mtizamo wangu tu
Hakuna sijui mungu acha upuuzi
Dini ni upuuzi wa wa wazungu na waarabu
Afu leo mnajiuliza kwa nini waafrika tumeshikwa na wazungu
Wamekuletea ujinga wao wa kiumbe kipo angani kina moto kitakuchoma
Dini ni mbaya kuliko ccm
 
Lakini sio sawa watu wanatakiwa washindane kwa hoja na sio matusi haipendezi mtu kuitwa mrembo je imetusaidia nn baada ya hapo au ndo ujinga tu basi
 
Wana jf kama kunasiku naingojea kwa ham kubwa na ambayo namuomba mwenyezi mungu anijarie nikutwe na afya njema na niwe sehem ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu gwajima au niwe sehem ambayo nitaweza kuona mbashara.

Hii shauku imesababishwa na Halima james mdee kumuita ASKOFU gwajima mrembo.

Mpaka sasa nafikilia gwajima atakavyomshukia harima kama mwewe anavyoshukia kifaranga cha kuku.

Mi nadhani ccm hakika walifanya utafiti mkubwa kumchagua gwajima jimbo la kawe, nasikio lakufa halisikii dawa, maana mdee naona kachokoza nyuki yeye mwenyewe

Crip ya mgombea wa chadema H. Mdee inasambaa u-tube kwa kasi akimuita gwajima mrembo na kumfundisha swaga za kitaa.

Mwe mwe mwe...... halima huyu huyu ninaemjua au ametoa wapi huo ujasiri wana jf?
Nawaomba wana jf tupashane siku na tarehe ya ufunguzi wa kampeni wa askofu gwajima najua itakuwa burudani kama ya SIMBA DAY au ya WANANCHI Dar young Africa, nchi itasimama.

Halimaaa nasikia bishop saivi anakusanya data zako zte tangia ukiwa mtoto.

Usilalamike maana umeanza mwenyewe yangu macho.
Harima mdee kamchokoza mwenyeweee. Ngojaaa wanamwandalia nondoo zakutoshaaa, yaaniiii atajutakumsengenyaaa jamaaa.
Halimaaa ilikuepuka aibuuu hiyooo jiendeee kwenuuu kule Rombo mapemaaaa, maaanaa utatia huruma, umemusengenya mwenyewe na unamfaham.
 
Harima mdee kamchokoza mwenyeweee. Ngojaaa wanamwandalia nondoo zakutoshaaa, yaaniiii atajutakumsengenyaaa jamaaa.
Halimaaa ilikuepuka aibuuu hiyooo jiendeee kwenuuu kule Rombo mapemaaaa, maaanaa utatia huruma, umemusengenya mwenyewe na unamfaham.
Sio burigi
 
Back
Top Bottom