askofu

  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Walioitwa kwenye kazi hii [ya kusimamia Uchaguzi siku ya kupiga kura] asilimia kubwa ni makada wa CCM

    ASKOFU AELEZWA NA 'RAIA MWEMA' KUHUSU NJAMA ZA KUHUJUMU UCHAGUZI MKUU! Baba Askofu Mwamakula! Nimekutafuta sana. Nimeingia gharama kubwa kuhakikisha nakueleza haya chini ya kiapo. Mimi nipo katika 'kazi maalum' kuhusiana na Uchaguzi Mkuu! Kinachoendelea huku in kama ifuatavyo: 1.Walioitwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Unaweza kujibu maswali haya magumu ya Askofu Bagoza kuhusu Uchaguzi 2020?

    1. Ukiiba fedha za umma unaitwa mwizi/ fisadi. Ukiiba kura uitwe nani? 2. Ukilazimisha kufanya mapenzi kwa mtu unaitwa mbakaji. Ukilazimisha kututawala tukuiteje? 3. Ukichaguliwa kihalali unaitwa kiongozi. Ukichaguliwa kwa Ujanja, kwa kura za ujanja, kimagumashi tukuiteje?
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

    Kama watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Watawala, Wasimamizi wa vituo na mtu yeyote anayehusika na uchaguzi wanataka waendelee kuishi kwa baraka katika maisha yao, basi wajichunge sana namna watakavyoendesha na kusimamia uchaguzi huu. Wawe makini kwa sababu kuna dua nzito sana imeombwa na...
  4. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Bagonza: Ujumbe kwa vyombo vya Ulinzi

    KWA VYOMBO VYA ULINZI Askofu Mkuu Oscar Romero wa El-Salvador ana ujumbe kwa vyombo vya ulinzi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28/10/2020. Baba Mtakatifu Papa Francis alimtangaza kuwa Mtakatifu tarehe 14/10/2018. Askofu Romero alizaliwa 15/8/1917 na kufariki 24/3/1980. Alipadrishwa kuwa Padre...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwamakula: Uchaguzi uwe wa haki na uhuru

    Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye vituo, huyo atakuwa amekosa kibari kwa watu na Mungu! Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Siasa ni kipaji siyo akili za darasani. Ya siasani hayapelekwi kwenye dini ila kinyume chake ni sahihi

    Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na Huduma za afya na kuyaweza hayo siyo lazima uwende darasani, amesisitiza. Askofu Gwajima pia amesema...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Sijaacha utumishi wa Mungu bali nimepanua Huduma na kuwafikia watu wengi zaidi

    Akijibu swali kwanini anagombea ubunge wakati huko nyuma aliwahi kusema hawezi kugombea vyeo vya kisiasa kwa sababu atajishusha hadhi, askofu Gwajima amesema yeye hajaacha uchungaji bali atafanya kazi mbili kwa pamoja yaani mchungaji na mbunge. " ni kwamba nimepanua tu Huduma ili kuwafikia watu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Nimewasaidia waislamu nikiwa siyo mwanasiasa nimewajengea visima msikiti wa Salasala na Makuti

    Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti. Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Emaus Mwamakula, wewe ni Mtumishi wa Mungu kweli kweli!

    Mtumishi wa Mungu Askofu, nakusalimu kwa Jina la Yesu Kristo. Amani ya Bwana Iwe pamoja nawe. Napenda kukuandikia barua fupi yenye maneno machache. Napenda kukutambua rasmi kuwa wewe ni Mtumishi wa Mungu kweli kweli. Kazi yako ya upatanishi, haki na imani umeitendea haki, na Mungu akubariki...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Haki ni tunda la utii wa sheria vs Shehe Kishki: Haki ni tunda la uhuru wa binadamu. Ipi ni sahihi?

    Askofu Gamanywa ameitafsiri Haki kama tunda la utii wa sheria na kwamba Sheria ndio hutoa haki. Gamanywa amesema Amani ni muhimu kuliko haki kwa sababu Haki hubadilika badilika kulingana na mabadiliko ya sheria lakini Amani iko pale pale. Naye shehe Kishki ametofautiana na askofu Gamanywa kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kongamano la amani: Wanenaji ni Askofu Kakobe, Askofu Malasusa na Sheikh Abdallah

    Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm. Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah. Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten...
  13. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anatosha Kawe ana vigezo vyote!

    Kiukweli baba askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anastahili kuchaguliwa na kutuongoza wana Kawe. Kama alivyosema Dkt. Kikwete kwamba CCM ni chama cha Dini zote, Makabila yote, Taaluma zote na watu wote Niwaombe wanakawe tusifeli tena kama 2015 tumchague Gwajima, yule Halima Mdee 10...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima. Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali. Kutokana na suala hilo...
  16. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula afikisha sauti ya haki Kilimanjaro

    ASKOFU AFIKISHA SAUTI YA HAKI KILIMANJARO Tarehe 19 Oktoba 2020. Nikiwa na Mheshimiwa Freeman Mbowe (Mwenyekiti CHADEMA), Mheshimiwa Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA), na Mheshimiwa Seif Sharif Hamad (Mgombea Urais Zanzibar kupitia ACT Wazalendo). Ninaendelea na 'Missio...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu, Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula, Mbowe na Maalim Seif jukwaa moja wilayani Hai leo

    Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar maalim Seif. Kipenzi cha Watanzania Dkt. Magufuli akiwa na komredi Polepole wao wanaanzia Bagamoyo...
  18. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Bagonza: Makundi yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu

    VIONGOZI WA DINI (Makundi Yetu) Kama haitapendeza nisamehewe. Katika mchakato kuelekea Uchaguzi Mkuu, tumegawanyika makundi kadhaa: 1. Mitano Kwanza na Mitano tena. Kundi hili linaelekeza wapiga kura wachague mmojawapo kwa kutumia busara . 2. Mitano Kwanza tu. Kundi hili lina upande wa...
  19. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwamakula: Ninakwenda katika msafara wa Lissu pamoja na uwezekano wa kupigwa mawe au kurushiwa mabomu na risasi

    NINAKWENDA KATIKA MSAFARA WA LISSU PAMOJA NA UWEZEKANO WA KUPIGWA MAWE AU KURUSHIWA MABOMU NA RISASI! Wiki iliyopita Jeshi la Polisi lilizuia Msafara wa Mheshimiwa Lissu eneo la Kiluvya jijini Dar es Salaam pasipo sababu za msingi kwani kama kungelikuwa na ukiukwaji wa taratibu za Kampeni basi...
  20. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ni Nyerere tu!

    NI NYERERE TU.. Leo ni siku ya NYERERE. Jina hili ni fursa kwetu sote. Amani na umoja wetu ni matunda ya ubongo na mikono yake. Mapema mwaka 1996 nilifika Kijijini Butiama kwa kazi maalum ya maandalizi ya masomo yangu ya juu nchini Marekani. Majira ya saa 4 asubuhi nilipokelewa na...
Back
Top Bottom