arusha

  1. L

    JamiiForums Tanzania Biashara gani yenye faida Kwa mtaji wa Tsh 10 milioni mkoani Arusha

    Wanajamvi naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara itakayonipatia faida mtaji 10M, location - Arusha Note 1. Biashara ambayo haitahitaji usimamizi wangu wa karibu 2. Itakayonipa urahisi wa kumu-monitor nitakayemuweka kusimamia biashara
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Arusha

    Habari zenu Natafuta kazi ya ofisini lakini pia nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,mimi ni mwanamke,naishi arusha,nina miaka 33, elimu yangu ni certificate of human resource. Natanguliza shukrani zangu.
  3. JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Naibu Waziri kuhusu ujenzi wa stand kuu Arusha wapuuzwa

    Ujenzi wa stand kuu Arusha bado ni kizungukumkuti hadi sasa licha ya maelekezo ya mara kwa mara kutoka serikalini kuwa ujenzi huo uanze mara moja. Naibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo mh. Geofrey Pinda alitoa maelekezo mwezi wa tatu mwaka huu kuwa ujenzi huo uanze ndani ya siku 30 lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto adaiwa ‘kupooza’ mkono baada ya adhabu ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Miririni Wilaya ya Meru

    Mwalimu anayefahamika kwa jina la Nkya mtumishi katika Shule ya Msingi Miririni iliyopo Wilayani Meru Mkoani Arusha anatuhumiwa kufanya ukatili kwa Mwanafunzi ambao umesababisha mkono wa kulia wa mtoto 'kupooza' hasa sehemu ya vidole. Mwanafunzi aliyejeruhiwa ametambuliwa kwa jina la Milcah...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Arusha ni tofauti na inavyozungumziwa kwenye mitandao

    Habari wakuu. Jiji la Arusha lina tatizo gani? Viongozi inabidi wajitafakari sijuwi ni wanafanya kazi kwa mazoea (kwa kukaa kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu) au hakuna ubunifu wa kiutendaji. Hadi leo huu mkoa ni aibu na fedhea ya karne wameshindwa kujenga stand ya mabasi ya kisasa...
  6. JamiiForums Tanzania Arusha moja hiyo

    Chuma hicho
  7. JamiiForums Tanzania Arusha: Hekari 101 na Magunia 482 za Bangi zateketezwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya imeteketeza jumla ya hekari 101 za mashamba ya bangi sawa na kiasi ya kilo 550 za bangi mbichi pamoja na magunia 482 ya aina hiyo ya dawa za kulevya katika eneo la Kisimiri juu kata ya Uwalu, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Ukamataji huo...
  8. JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyejeruhi mke anyimwa dhamana

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limemfikisha mahakamani mtuhumiwa Isaack Mnyangi (45)Mkazi wa Sombetini Jijini Arusha na kusomewa shtaka moja la shambulio la Kudhulu Mwili. Mbele ya Hakimu ,Jenifa Edward wa mahakama ya wilaya Arusha,katika kesi namba 80 ya mwaka 2023,mwendesha mashtaka wa...
  9. JamiiForums Tanzania RC wa Arusha, Mongella: Aliyemfanyia ukatili Jackline atashughulikiwa haijalishi ni Mwana-CCM

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo wamefika nyumbani kwa mwanamke aliyedaiwa kupigwa na mume wake kwa kung’olewa jino kwa praizi pamoja na kutobolewa jicho kwa bisibisi. Mongella amesema “Viongozi wote wakuu wa Nchi wameshtushwa na taarifa...
  10. JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyemng'oa jino na kumjeruhi mke wake akamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha Mei 27, 2023 limefanikiwa kumtamata mtuhumiwa aitwaye Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi mke wake aitwaye Jackline Mkonyi (38) mkazi wa Sombetini jijini humo. Akitoa taarifa hiyo leo Mei 28, 2023 Kamanda wa...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke Mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Jackline Mnkonyi mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa Sombetini Jijini Arusha mei 23 mwaka huu majira ya saa 5 usiku alipata kipigo kikali kutoka kwa mume wake ikiwa ni pamoja na kung’olewa meno mawili na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Arusha kupumzika/kuenjoy

    Wapendwa nahisi dunia imesimama, nina mawazo sana nahisi kila kitu kimesimama, nataka nije Arusha kupumzika.... Nipo jij la Chalamila Niandae bajeti ya shingap Nishakuja huko zamani sana... Sihitaj kwenda mbugani, nahitaji kukaa hapo hapo mjini.
  13. JamiiForums Tanzania Ni miaka saba imepita tangu niage Arusha 2016, kipi kimebadilika hadi sasa?

    Nilikuwepo Atown 2011 hadi 2016 - Maendeo niliyoishi ni Njiro mitaa ya double B karibu na kituo cha polisi, Lemara, Relini karibu na bwawa la maji taka na Njiro Tanesco. hali ya usafiri imeboreshw ? Muda huo wote nilikuwa napanda vifodi na hiace, sikuhizi kuna mabadiliko ? ile stendi kuu ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna Barber shop nzuri Arusha mjini

    Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Kuvuka daraja hili utalazimika kulipia shilingi 400

    Daraja hili limejengwa na vijana wawili wa kata ya Sinoni katika halmashauri ya Arusha mjini, baada ya eneo hilo Kukosekana daraja kwa miaka mingi. Daraja hilo hulipiwa kiasi cha shilingi 200 kila avukapo mtu. Hivyo basi wananchi hulazimika kutumia kiasi cha shilingi 400 kila siku kupita juu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aipongeza CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama kwa watalii Arusha

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie jicho mkoa wa Arusha, kuna tatizo kubwa!!!

    Kwanza vuta picha ya tukio lenyewe kisha sikilizeni hawa vijana, wote hao; wanaoongea na mwandishi na hao wengine wanaoreact! Mkishamaliza poromosheni matusi kama kawaida yenu, nimekaa paleeeeee nayasubiri!
  18. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Watanzania wengi ni kufika Arusha

    Najua hapa wengi mtabisha but ukiacha watu wa mataifa mengine, watanzania wengi wanatamani wafike Mkoani Arusha tofauti na mikoa mingine. sio kwa sababu ni kuzuri sana but kuona kile kinachozungumziwa., watu wa aina yake, mandhari nzuri na ya kuvutia.. mji wenye idadi kubwa ya wageni...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Cassian Nyandindi: Arusha na Mara zinaongoza kwa bangi

    Dkt. Cassian Nyandindi, Kamishna Msaidizi wa Tiba na Huduma za Utengamao akiwa kwenye mahojiano East Afrika Radio amegusia mambo mengi kuhusu madawa ya kulevya. Akifafanua kuhusu kukithiri kwa matumizi ya bangi katika baadhi ya mikoa nchini Tanzania amesema "Kutokana na ukamataji na jinsi...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Wanawake wawili watuhumiwa kwa kutapeli pesa za Halmashauri

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…