arusha

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zaytun Swai amuomba Rais Samia mashamba yafufuliwe ili kuinua uchumi wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AMUOMBA RAIS SAMIA MASHAMBA YAFUFULIWE ILI KUINUA UCHUMI WA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum CCM - Arusha na Mjumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge Mhe. Zaytun Swai amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufufua Mashamba ya Maua na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa usafirishaji (Bodaboda) wakimsindikiza Rais Samia Arusha

    Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akielekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri Chanzo: Ikulu
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lema amuomba Rais Samia kurejesha biashara ya Tanzanite Arusha

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu kurejesha biashara ya madini ya Tanzanite ili ifanyike katika Jiji Arusha. Lema amesema hayo leo Machi 4, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa lengo ni kukuza uchumi, ajira na...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania WanaCCM Arusha wamtaka Mrisho Gambo naye aitishe mkutano wa hadhara kujibu mapigo ya Lema

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Arusha kumekucha upya baada ya Godbless Lema kutua nchini na kulitikisa jiji lolote la Arusha kwa kishindo cha mapokezi, shamrashara mitaani na mkutano mkubwa wa hadhara. Sasa makundi mbalimbali ya wanaCCM yameamua kupiga kelele kwa mbunge wa Jimbo la Arusha mjini...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Hello! Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana. Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa? Nyie wafuasi wa CHADEMA...
  6. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Nini umuhimu wa semina ya viongozi inayofanyika Arusha?

    Wakati wananchi wakiendelea kuteseka na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali pamoja na gharama za maisha kiujumla, inasikitisha kuona jicho la serikali linazidi kuelekea katika matumizi ya hovyo ya fedha za umma. Mpaka kiongozi anateuliwa, maana yake anafahamu majukumu ya kiuongozi na mambo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Arusha wanataka Roma Mkatoliki arudi nchini. Je, atakubali kurejea?

    Baada ya Lema kupata mapokezi makubwa Arusha nimependezwa na Kauli ya wananchi wa Arusha kutaka Roma arejee home. Ikumbukwe Roma siyo mkazi wa Arusha Bali ni Mtanzania aliyetoroka nchi. Wananchi wa Hali ya chini wanamkumbuka Roma na kumwombea usalama arejee nyumbani lakini wasanii wenzake...
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Kituo kikuu cha Mabasi ya kwenda mikoani chawa kero kwa watumiaji wake, hakilingani na hadhi ya jiji

    Kituo kikuu cha mabasi ya kwenda mikoani kilichopo jijini Arusha kimekuwa kero kwa watumiaji wake kutokana na adha mbalimbali zinazowakabili abiria pamoja na wanaowasindikiza. Kituo hicho kikuu cha mabasi kipo hapo tangu uhuru hadi na sasa kitu ambacho hakiendani na hadhi ya leo hii kutokana...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai akemea vitendo vya ukatili wa kijinsia - Mkoa wa Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Mhe. Zaytun Swai ametoa salamu za pongezi kwa WanaCCM katika hafla ya kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Ndugu Halima Mamuya. Mhe. Zaytun Swai amempongeza Ndugu Halima Mamuya na amesema ni heshima kubwa kwa wanawake wa Tanzania na...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali wa Magereza akabidhiwa Detention Centre na ICTR Arusha

    Hii imefanyika Feb 23,2023. International Criminal Tribunal for Rwanda ambayo imemaliza kazi yake, imekabidhi Detention Centre kwa Kamishna Jenerali, kuitumia anavyopenda. Ni Detention Centre ya watu mia moja(100). Kila chumba kina choo. Lipo jiko pale. Haiitwi jela. Inaitwa Detention...
  11. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Kumpokea Lema mkoani Arusha imekuwa ni Biashara kwa CHADEMA? Hii Michango ya nini?

    Tumesikia na kuona maandalizi ya Kumpokea Lema ambae kwa utashi wake aliamua kwenda kuishi huko Canada. Lema ameamua kurudi kwa sababu anazojua yeye huenda huko alipo wememchoka n.k. lema ameamua kurudi kwa style ya aina yake ya kupatiwa mapokezi. Sina tabu na yote hayo, tabu yangu ni kwa nn...
  12. ambiliki

    JamiiForums Tanzania Idara ya maji Arusha, hawapo makini katika utendaji wao wa kazi

    Idara ya maji Arusha, hawapo makini katika utendaji wao wa kazi na pia hawajali wateja wao, wanacho juwa ni kusoma meta za maji na kutuma bili, hiii siyo sawa. 1: Maji ya arusha Kwa sasa ya Latha ya chumvi niliwapigia simu na kusema watafanyia kazi Hadi Leo ni kimya 2: Bomba limepasuka hii ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mafuru adai heshima ya AICC ilipotea, atairejesha upya

    MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru ameahidi kufanya kazi kwa bidii, ili kurudisha heshima iliyopotea ya kituo hicho. Mafuru ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati akiripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi na kusisitiza...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi sita wafukuzwa kazi Arusha

    JESHI la Polisi Mkoani Arusha limewafukuza kazi askari wake sita katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya jeshi hilo. Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake jana,bila kuwataja majina ya askari hao, Kamanda wa polisi mkoani...
  16. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha acheni ushamba na ujinga

    Kiukweli hapo awali nilikuwa nikijua kuwa vijana wa Kisukuma ni washamba, kiukweli ni washamba lakini uzuri wao wanapenda kuelekezwa na kujifunza na kujikubali pia. Lakini sasa katika uchunguzi wangu nimekuja kugundua vijana wa Arusha ndio washamba na ni wajinga zaidi kwa sababu; 1. Ni...
  17. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

    Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu. Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wakazi wa Arusha, ni kuhusiana na watendaji wasio waaminifu na wazembe kazini

    Hivi karibuni vimeongezeka visa vingi vya uzembe, utovu wa nidhamu kazini, kunakofanywa na baadhi ya watendaji wa kata zilizopo Arusha. KERO kuu ya kwanza kabisa, ni kuchelewa kufika ofisini bila sababu za msingi, jambo linalosababisha wananchi kushindwa kupata huduma kwa haraka na inavyopaswa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mradi wa REA umekuwa ukitukosha, Lakini iweje TANESCO wanatuuzia nguzo Tzs 500,000 Arusha Vijijini?

    Rais wetu, unastahiki kila aina ya pongezi kwa maono yako ya kuondoa giza kwenye kila kona ya nchi kwa miradi ya umeme vijijini. Lakini kwa sasa TANESCO Arusha wanatoza zaidi ya sh. 500.000 iwapo utahitaji nguzo moja, na hadi 600,000 kwa umbali wa nguzo mbili. Sasa huyu maskini anayeishi...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyemuua mwanaye kwa kugomea Jando ahukumiwa Kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watatu wakazi wa mkoani Arusha akiwemo baba aliyemuua mwanaye wa kidato cha pili baada ya kugomea jando. Hukumu hizo zimetolewa leo Jumatano Februari 15, 2023 baada ya watuhumiwa hao kutiwa hatiani na mahakama hiyo katika...
Back
Top Bottom