Hii nchi bado ina rule of law ila watu wachache ambao wana maslahi binafsi wanashindwa kufata na kusimamia sheria kwa personal benefits zao.
Tunaomba Waziri Mkuu Majaliwa, mtumishi wa watu uende Arusha ukamalize mgomo ulioanza tarehe 14/8 na ambao utaendelea bila kikomo hadi madereva wa...
Hii ni aina mpya ya pombe ambayo kwa sasa inapatikana jijini hapa, katika baadhi ya maeneo haswa yenye mkusanyiko wa watu wengi wa hali ya chini
Aina hii ya pombe inatengenezwa hapa hapa Arusha haijulikani mchanganyiko wake unatokana na nini na wala haina nembo yoyote yenye kuonyesha asilimia...
Tukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?
Tulishuhudia mgomo wa daladala za kutoka Morombo kwenda mjini Arusha, wakaahidiwa kulishughulikia. Wakiwa ktk mchakato wa kulishughulikia bajaji wakaandamana, serikali ikawagwaya, imewaogopa maana waliitishia serikali kuwa watarudia kazi yao ya kuvunja na kuiba. Nafikiri Rais angewaondoa hao...
Kwa mara nyingine tena daladala zote zinazoenda katikati ya jiji. zimegoma kufanya biashara ikiwa ni mgomo wa pili ndani ya kipindi kisichozidi mwezi na nusu.
Mussa njuga ambae ni katibu wa daladala amesema mgomo huo hauna kikomo hadi wapate kauli kutoka kwa waziri Mkuu au Makamu wa Rais...
NOAH CUP 2023 KUANZA KUTIMUA VUMBI UWANJA WA ILBORU ARUSHA
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Jijini Arusha, Mhe. Noah Lemburis Saputu Tarehe 12 Agosti, 2023 katika Uwanja wa Michezo wa Ilboru Jijini Arusha amefanya Uzinduzi wa Mashindano ya Michezo yaitwayo NOAH CUP 2023
Michuano ya Mpira...
Mfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha, Dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha, ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower Arusha na mtumishi wa benki hiyo.
Taarifa ambazo zimethibitishwa na Mfanyabiashara huyo amedai kuwa siku...
Mimi Nina Bajaji RE 250 Nimeinunua Mwezi Wa 3 ipo Arusha, Kazi Zangu Nyingi Zinanifanya Nisiwepo Arusha Hivyo Usimamizi Unakua Mdogo Na Madereva Wakishajua Haupo Wansumbua kutoa Hesabu Ya Day
Hivyo Nahitaji Dereva Anayetaka Bajaji Ya Mkataba
1) Awe Na Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
2)...
Kunahitajika PROGRAMU ya dharura kuliokoa hili jiji.
Sina maana ya kusema vijana wote wa Arusha ni wahuni na waalifu ama kusema Arusha si salama kabisa, La Hasha! ni kwamba uhuni ni kama umefumbiwa macho usambae mithiri ya kansa ya kidole inavyosambaa mwilini kwahio sio jambo la kufumbia macho...
WanaJF ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kuhusu kinachoendelea huko Arusha. Kwanza kabisa niseme mimi ni mzaliwa wa Arusha na nimekulia huko. Kilichonitoa Arusha ni elimu ngazi ya chuo kikuu. Nitakachoandika hapa sio stori za kuhadithiwa au kuona kwenye media.
Kwa miaka...
Habari.
Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha.
Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni na kukagua gari wanachukua hadi dakika 10 wamekusimamisha bila kujali umetoka wapi na unaratiba gani...
Habari wakuu, mimi ni mwanaume ninayehitaji msaada wenu, mambo yamekwama na hayaendi kabisa.
Nimejaribu kupita huko na huko lakini bado sijafanikiwa, mdau yoyote atayeweza nisaidia nipate mahali pa kufanya kazi nitashukuru sana.
Nina uzoefu na mambo ya migawaha ya kimataifa, pia naweza...
Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara...
Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome.
Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo.
UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha...
Hellow
Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023 jijini Arusha.
===
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo barani Afrika ni...
Ameandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram
"Tunakwenda kujenga kituo kikubwa cha mikutano Jijini Arusha kitakachoitwa MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER."
"Kitakuwa na sifa zifuatazo;
1. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 3,000
2. Eneo la maonesho lenye...
Mwanariadha wa kimataifa, Gabriel Gerald Geay anogesha mashindano ya majaribio ya Uwanjani leo 8/7/2023 kwa kutoa zawadi ya pesa kwa baadhi ya wanariadha washindi na wenye muda mzuri kwa baadhi ya michezo hiyo.
Mashindano hayo yamefanyika kwa mara ya pili mfululizo na kushirikisha wanariadha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.