arusha

  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

    Kuna clip zinatembea zikionesha vijana wa mkoa wa Arusha wakiwa mochwari kwaajili ya kuchukua mwili wa mwenzao aliyefariki kwa ajali ya pikipiki. Namna ya maisha ya vijana wa Arusha wanavyoishi, kuvaa, kuongea, ku-behave nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa. Yaani wanafanya mambo ya kizamani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale TECNO POP4 inauzwa Arusha

    TECNO POP4. 32 Gb storage, 2Gb RAM. Nipo Arusha, Njiro. Haina tatizo lolote. Bei 95,000. Simu 0768174862
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Askari Polisi atuhumiwa kumuua raia Arusha kwa kumpiga risasi 3, Wananchi wamtuhumu kwa mauaji ya mara kwa mara

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe kuingia shambani. Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Olaresho, Kata ya Olasiti katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Akizungumzia tukio...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA kuanza kupiga Mnada Bajaj korofi Arusha

    “Kama mnavyojua awali waliokuwa wanatoa leseni za usafirishaji ni halmashauri ya Jiji la Arusha, lakini tangu mwaka jana tulikaa na tukaamua tufunge usajili baada ya kuonekana zimekuwa nyingi, lakini nashagaa pamoja na kufunga, bado kuna baadhi ya wafanyabiashara wameendelea kuzinunua na...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Wakazi wa Arusha wailalamikia TASAF kuwapa vijana pesa huku wazee na masikini wakiachwa

    Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee wasiojiweza, na kaya maskini. Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Dizeli, Petroli yashuka Bei Dar, Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 5 Julai 2023 saa 6:01 usiku. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo: (a) Bei za rejareja za mafuta...
  7. Msingida

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha Gari dogo toka Dar es Salaam kupeleka Arusha

    Wadau wa usafirishaji, nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo. Naombeni mwongozo, ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana? Ni salama kwa gari dogo? litafika limebonyezwa na mizigo mingine? gharama inaweza fika kiasi gani? NB:Lina hitilafu...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Usafiri wa daladala kurejea, madereva wamaliza mgomo

    Mgomo huo ulioibuka asubuhi ya leo Julai 3, 2023 baada ya madereva Daladala kudai kuingiliwa ruti na wenzao wa Bajaj, hatimaye wameyamaliza na usafiri unaratijiwa kurejea kama kawaida kuanzia asubuhi ya Julai 4, 2023. Baada ya mazungumzo hatimaye maridhiano yamefikiwa kati ya Mamlaka ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Usalama wa wasafiri Arusha siku ya leo, Julai 3, 2023

    Ninaanza kwa masikitiko makubwa sana sina muda wa salamu. Kila Mtanzania anajua kinachoendelea Arusha leo sitaki kuelezea hilo, ila nitaenda moja kwa moja kwenye mada, mnisamehe kwa uandishi mmbovu. Leo hii jiji kubwa la Arusha liko kwenye kadhia kubwa ya usafiri wa umma kutokana na mgomo wa...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Daladala Jijini Arusha asubuhi hii ya Julai 3, 2023

    Madereva wa Daladala Mkoani Arusha wamegoma leo Kwa kile wanachodai kuwa ni Bajaji kufanya Kazi kama daladala. Idadi kubwa ya wanafunzi na watu wazima wamekuwa wakitembea kwa miguu na wengine wakiwa tu vituoni wakiwa hawajui cha kufanya. Mamia ya wakazi wa jiji la Arusha wakiwemo wanafunzi wa...
  11. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Arusha kufanya mkutano mkubwa wa Hadhara 4/07/2024

    MKUTANO WA HADHARA CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana. Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Bar (Barmaids) Arusha wamezidi kuwa Omba Omba na wanapenda kunywa Heineken na Windhoek beer

    Wasalaam JF, Arusha ni kiboko Kila bar ukienda wahudumu hawa Barmaids ni Omba Omba wa hatari, hawa mademu wanaringia matako, kuvaa vimini skirts uniform wanadhani ndio silaha kuu, ukitumia uungwana tu wa kucheka na au ukampa ofa siku moja basi anataka akufanye danga mshika pembe siku zote hadi...
  13. E

    JamiiForums Tanzania NEMC soko la Kilombero Arusha makelele mpaka Mto wa Mbu

    Mjipime....sio kukurupuka jikiteni huko Magomeni na Unga ltd
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatima ya maelfu ya hotel za kitalii zilizopo jiji la Arusha?

    Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani: 1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park. 2. Wakitoka National...
  15. Siku Hazifanani

    JamiiForums Tanzania Nilivyowahi kutapeliwa na aliyejitambulisha ni polisi nikiwa jiji la Arusha

    Utapeli hauna mjanja, hata mawaziri, maprofesa, wafanya biashara wakubwa, wanatapeliwa. hawa watu walaaniwe!! Nimekuwa msomaji sana wa visa na mikasa inayowatokea watu na nimeweza kupata experience, mafunzo, kujua kujitahadhari, n.k. Leo nimeoamua na mimi niweze kuwaletea mkasa uliowahi...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

    Helloww Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
  17. G

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wadogo wanauzwa, Arusha

    Wakuu habari? Kama title inavyosema, maelezo zaidi ni kama ifuatavyo. Idadi: 10 Umri: Miezi miwili na nusu. Bei: @120,000/= (Maongezi yapo) Eneo: Arusha, Themi Hill. Karibuni wakuu! UPDATES: Done deal..! Shukrani kwa ushirikiano wenu.
  18. Miki123

    JamiiForums Tanzania Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma. Moja ya mkoa huo ni Shinyanga. Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%. Kinachoshangaza ni...
  19. plan z

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANESCO Arusha inawanyanyasa Wafanyakazi Wake

    Lengo la uzi huu ni kuitaka serikali iwe makini na utendaji wake, na pia kuwataka wananchi wazinduke na kupinga matendo maovu yanayoendelea nchini. Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kule mkoani Arusha limekuwa na historia kwa muda mrefu sasa ya kutojali wafanyakazi wake pamoja na maslahi yao...
  20. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

    Uchache na ubovu wa miundombinu ya barabara ni changamoto sana hapa Arusha japo tumejaaliwa milima ya moramu na korongo la mchanga huko mirongo. Ukija kwenye masoko ya jiji hayako organised na masoko mengine yaliyo chini ya halmashauri. Ukiondoa utalii na madini, economic activities zingine...
Back
Top Bottom