arusha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Logde nzuri maeneo ya Moshono Arusha

    Wakuu naomba mniambie Logde nzuri maeneo ya Moshono Arusha..au yoyote ya karibu na maeneo haya. Bajeti yangu 30k-40k
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mti umekauka, wananchi waomba wahusika waukate kabla haujaleta Madhara makubwa

    Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles). Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi watishia kugoma kudai lami, wachoshwa na ubovu wa barabara

    Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto. Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Jela miaka 120 kwa ubakaji, kizimbani kwa kumchoma pasi mwanae wa miaka saba na mwingine jela miaka 7 kwa kuiba toyo

  5. S

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari Uraki Halmashauri ya Meru mkoani Arusha yenye wanafunzi chini ya 400 ina walimu kama 50

    Shule tajwa hapo juu ina wanafunzi chini ya 400 lakini ina walimu wanaofikia 50 kiasi wengine wanakosa vipindi vya kufundisha. Mkurugenzi yupo anafahamu yote haya walimu wako busy na biashara zao maeneo ya Arusha mjini, ktk miji midogo ya Usa-River na Tengeru. Wakati hali ikiwa hivi ktkt shule...
  6. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Afrika Haki za Binaadamu yakutanishwa na wahuni wa Arusha?

    WAKUU, Tangu asubuhi leo Watu wa haki za binaadam wamejifungia wanaojiita The commission on human and peoples' rights wamejifungia chumbani na baadhi ya watu waliookotwa na wanaharakati wanaotumika kulichafua taifa letu na kumchafua Rais Samia kuhusiana na masuala mbalimbali yenye tija kwa...
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ongezeko kubwa la omba omba mjini, je ni mradi wa watu?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita. Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu. Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania HR & Businesss Intern - Arusha

    1. General Information A Consulting firm located in Arusha is looking for an HR & Business Intern to serve, learn and grow in HR and business consulting service delivery. 2. Position: HR & Business Intern 3. Location: Arusha 4. Report to: Manager 5. Duties and Responsibilities Prepare...
  9. bucho

    JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP tuokoe na wizi ulioibuka Arusha unatisha

    Kumeibuka wizi mkoa wa Arusha unaotishia usalama wa wananchi wa kawaida na wafanyabiashara mbalimbali kuvamiwa na kuibiwa either kwa ujambazi wa kutumia pikipiki (tatu mzuka) ama kuibiwa manyumbani na wezi wa kawaida. Wezi wa pikipiki ama tatu mzuka wamekuwa wakiwaibia watu kwa nguvu huku...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako ndio mtu maarufu kutoka Arusha toka tupate Uhuru

    Ni wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha. Umaarufu na ushawishi wa Nabii Mkuu umefanya sasa hata wanasiasa wa mkoa wa Arusha...
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Wananchi Meru walalamikia maghala ya Serikali kuwauzia mahindi ya chakula. Serikali yasema utaratibu utabadilika, kupelekwa kila tarafa

    Wananchi wilayani Arumeru, wametoa malalamiko yao dhidi ya serikali baada kuuziwa mahindi kilo moja kwa sh. 885. Baadhi ya wananchi wameshindwa kununua mahindi hayo kutokana na hali ngumu ya maisha iliyotokana na ukame kwa madai kuwa serikali ilitakiwa itoe mahindi hayo bure kwa wahanga na sio...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wanafunzi Shule ya Msingi Unga Limited wakaa chini kwa kukosa madawati

    Wanafunzi wanaosoma shule ya Msingi Ungalimited Jiji la Arusha wamelazimika kukaa chini kutokana na uhaba wa madawati huku uongozi ukidai ni kutokana na ukarabati wa vyumba vya madarasa unaoendelea katika shule hiyo kongwe. Hata hivyo Ofisa Elimu Msingi Jiji la Arusha,Hosseni Madengale amesema...
  13. marundoo

    JamiiForums Tanzania Kazi za viwandani Arusha connection

    Habari wanajamii forums. Kwa wakazi wa Arusha mjini na maeneo ya jirani, Mwenye kufahamu au connection jinsi ya kupata kazi za viwandan iwe kibarua au ajira ya kudumu. Ni viwanda vipi vinatoa ajira na siku na muda wa kwenda kuomba kazi pia nini kinahitajika uendapo maeneo hayo Naomba...
  14. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Train Dar - Arusha ni fedhea

    Habari wana Jf Kuna changamoto kadhaa kwenye tren zetu za Dar to Arusha/ Arusha to Dar la kuhusu huduma kwa ujumla hususani kwa watalii ambao wanatumia huu usafiri ni la kulifanyia kazi haswa ukizingatia Kwa sasa wazungu /watalii wengi wanapanda hizi tren kama sehemu ya utalii au budget...
  15. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

    Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa. Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya...
  16. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Social hobbies Clubs- Arusha

    Wasalaam Kwa wakazi wa Arusha town naomba kufahamu ni zipi na wapi zinapatikana social clubs mbalimbali kama Books club, Hiking/adventures clubs, Dogs owner’s club na club nyinginezo za kijamii. Natanguliza shukrani, Wasalaam. Mla bata.
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi waomba kujengewa daraja

    Wananchi wa kata ya sinoni na Themi katika halmashauri ya jiji la Arusha, wameiomba serikali kuwajengea daraja linalounganisha Kata ya Themi na Sinoni kutokana na Kuwa ni miaka zaidi ya mitano sasa imepita tangu kuvunjika kwa daraja la awali lilokuwepo. Wakazi hao Wamekuwa wakipata shida...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni kweli au uzushi kuhusiana na bei za vocha za simu kupanda bei?

    Wakuu niko huku a town lakini kuna habari zinaendelea kuenea kuwa utapoenda dukani kununua vocha ya buku itakulazimu utoe buku na Mia au vinginevyo ununue kupitia huduma za simu au kama ni vocha ya tsh 2000 itabidi ulipie 2200,imekuwa wiki nzima nikisikia habari hii na kuna jamaa...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

    Nilipata demu nikiwa kijana kijana, tukatoka kwenda naye Ngwasuma, 2007 hiyo Ngwasuma wanapiga Makumbusho Village. Ukumbi ulikuwa unajaza sana, Ngwasuma walikuwa wanapendwa sana. Watu walikuwa wakitoka Tunduma, Mwanza, Kahama etc kuja kuwaona Ngwasuma, hivyo ni lazima uingie ukumbini mapema...
  20. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Toba: Naombeni wana Mwanza mnisamehe

    Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu . Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza. Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
Back
Top Bottom