Anahitajika Dereva Bajaji Arusha

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,324
1,377
Mimi Nina Bajaji RE 250 Nimeinunua Mwezi Wa 3 ipo Arusha, Kazi Zangu Nyingi Zinanifanya Nisiwepo Arusha Hivyo Usimamizi Unakua Mdogo Na Madereva Wakishajua Haupo Wansumbua kutoa Hesabu Ya Day

Hivyo Nahitaji Dereva Anayetaka Bajaji Ya Mkataba

1) Awe Na Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
2) Mdhamini Anayeeleweka (Mwenye Makazi Ya Kudumu)
3) Awe Ana Jitambua
4) barua Ya Serikali Ya Mtaa
5) Awe Mzoefu Na Kazi Ya Bajaji

Namba Yangu Ni 0767812325
 
Back
Top Bottom