Kwa ujio wa Jerry Silaa Wizara ya Ardhi, Open Spaces zitakiona cha Moto

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa.

Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni.

Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.

Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili sina hakika kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
 
Namshangaa Samia anavyotoa zawadi za uwaziri kwa watu wanaofanya kazi za kijinga sana, ina maana yeye ndie anaona huo ujinga wao ni ujanja, huyu kiongozi wa aina hii ni balaa kwetu, badala arekebishe pale alipokosea, ajabu yeye ndie anawazawadia wale wanaopaka mafuta ujinga wake!
 
Namshangaa Samia anavyotoa zawadi za uwaziri kwa watu wanaofanya kazi za kijinga sana, ina maana yeye ndie anaona huo ujinga wao ni ujanja, huyu kiongozi wa aina hii ni balaa kwetu, badala arekebishe pale alipokosea, ajabu yeye ndie anawazawadia wale wanaopaka mafuta makosa yake!.
Watanganyika Wote mnafanana kwa upigaji labda Kabudi tu!
 
Mama Samia ni mtu wa kushangaza sana lawama zote anabeba kifuani pake mama wa watu wakati mpangaji na mpanguaji wa mawaziri watanzania wote wanamjua,, ajabu hakuna hata mmoja anayethubutu kumsema,, kama kuna sehemu kahusika yeye kama yeye basi ni asilimia zisizozidi 20 tu, lakini remote iko Msoga
 
Tunataka ushahidi dhidi ya hiking unachokisema.
Mama Samia ni mtu wa kushangaza sana lawama zote anabeba kifuani pake mama wa watu wakati mpangaji na mpanguaji wa mawaziri watanzania wote wanamjua,, ajabu hakuna hata mmoja anayethubutu kumsema,, kama kuna sehemu kahusika yeye kama yeye basi ni asilimia zisizozidi 20 tu,, lakini remote iko Msoga
 
Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.

Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakka kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
Huyu ni fisadi papaa haswa
 
Namshangaa Samia anavyotoa zawadi za uwaziri kwa watu wanaofanya kazi za kijinga sana, ina maana yeye ndie anaona huo ujinga wao ni ujanja, huyu kiongozi wa aina hii ni balaa kwetu, badala arekebishe pale alipokosea, ajabu yeye ndie anawazawadia wale wanaopaka mafuta makosa yake!.
Huna akili
 
Wivu tu
 
Mama Samia ni mtu wa kushangaza sana lawama zote anabeba kifuani pake mama wa watu wakati mpangaji na mpanguaji wa mawaziri watanzania wote wanamjua,, ajabu hakuna hata mmoja anayethubutu kumsema,, kama kuna sehemu kahusika yeye kama yeye basi ni asilimia zisizozidi 20 tu,, lakini remote iko Msoga
Rostam Azizi ndiyo anapanga
 
Namshangaa Samia anavyotoa zawadi za uwaziri kwa watu wanaofanya kazi za kijinga sana, ina maana yeye ndie anaona huo ujinga wao ni ujanja, huyu kiongozi wa aina hii ni balaa kwetu, badala arekebishe pale alipokosea, ajabu yeye ndie anawazawadia wale wanaopaka mafuta makosa yake!.
Una mimba ya Samia wewe sio bure
 
Back
Top Bottom