Viongozi mbalimbali wanatoa ushauri mbovu kwa Rais kuhusu suala la Bandari

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,591
17,712
Aliyewahi kuwa Waziri asiye na Wizara Maalum na pia Waziri wa Ardhi, Maliasili na Utalii, Pia Katibu Mkuu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Wanawake Na Rais wa kwanza wa Bunge la Umoja wa Mataifa, Balozi Dkt Getrude ibengwe Mongela Ameshauri Rais kuwasikiliza wananchi na kuacha kuwasikiliza wapambe wengine wanaume ambao wanataka kumpotosha..

Lakini pia baadhi ya wazee wameanza kujitokeza kushauri serkali hasa nini kifanyike na kutoa ushauri jinsi ya kufanya...ili tuweze kusonga mbele..


Nini Maoni yako wewe?
 
Tuache unafiki jambo la serikali likifanikiwa sifa zote kwa rais na wala huwezi sikia machawa wakiwapa sifa washauri,jambo likiwa la hovyo lawama kwa washauri huu ni uwendawazimu na upumbavu.

"Mtu yoyote akikupa ushauri wa kipumbavu nawe ukajua niwa kipumbavu basi anakudharau"Mwl.Nyerere
 
Back
Top Bottom