Watu 2,000 waripotiwa kufariki kwenye Tetemeko la Ardhi nchini Afghanistan

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Serikali ya Taliban imetoa taarifa hiyo baada ya Matetemeko Matatu yenye kipimo cha Richa 6.3, 5.9 na 5.5 kupiga upande wa Magharibi wa Nchi hiyo, umbali wa Kilomita 25 kutoka jiji la Herat

Tetemeko la kwanza lilipiga Jumamosi ya Oktoba 7, 2023 na kufuatiwa na mengine mawili ambapo awali Umoja wa Mataifa uliripoti waliofariki ni Watu 320

Utafutaji na uokoaji wa walionusurika unaendelea huku kukiwa na hofu ya Mamia ya Watu kufukiwa kwenye Vifusi. Msemaji wa Wizara ya Habari na Utamaduni ameomba msaada wa haraka kukabiliana na hali hiyo

=========

Almost 2.000 people have died after earthquakes in Afghanistan on Saturday, according to the Taliban.

The figure is a significant jump from yesterday when the UN gave a preliminary figure of 320.

The 6.3-magnitude quake hit the west of the country, according to the United States Geological Survey.

The epicentre was about 25 miles northwest of the city of Herat.

It was followed by three strong aftershocks, measuring 6.3, 5.9, and 5.5, the USGS reported.

Search and rescue operations are ongoing for hundreds of civilians feared to be buried under the debris.

Abdul Wahid Rayan, spokesman for Afghanistan's Ministry of Information and Culture, has called for urgent help.

SKY NEWS
 
Teknolojia ina uzurina ubaya wake
 
Back
Top Bottom