amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Niger: Makao makuu ya chama tawala yashambuliwa baada ya Rais Bazoum kuondolewa madarakani

    CHANZO CHA PICHA,EPA 28 Julai 2023 Wafuasi wa mapinduzi ama watu wanaounga mkono mapinduzi nchini Niger wameyashambulia makao makuu ya chama cha rais aliyepinduliwa na kuyachoma moto, kurusha mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje. Kikundi kidogo cha wachomaji moto kilikuwa kimejitenga na kundi...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa 'msaada usio na kikomo' kwa rais aliyeondolewa madarakani Niger

    CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo ya picha, Rais wa Niger Mohamed Bazoum Maelezo kuhusu taarifa Author,By Tchima Illa Issoufou & Cecilia Macaulay Nafasi,BBC News, Niamey & London 29 Julai 2023, 10:27 EAT Marekani imetoa "uungaji mkono wake usio na kikomo" kwa rais aliyepinduliwa nchini Niger...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Urusi na Afrika: Putin anataka kuongeza ushawishi

    Mkutano wa Urusi na Afrika: Putin anataka kuongeza ushawishi CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES 28 Julai 2023 Wakati Rais Vladimir Putin akifungua mkutano wa kilele wa Urusi na Afrika mjini St Petersburg leo Alhamisi, orodha ya waliohudhuria inatazamwa kwa karibu - huko Paris, Washington, London, na...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ikiwa nyoka ataingia nyumbani kwako, fanya hivi

    Na Murugesh Madkannu, BBC Tamil CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Nilipokuwa mtoto, kulikuwa na miti na vichaka vingi kuzunguka nyumba yetu. Jioni moja kulitokea tukio. Umeme ulikatika wakati tunakula. Baada ya kumaliza chakula kilichobaki tukiwa gizani, nilienda kwenye bomba lililokuwa karibu na...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bandari Tanzania itaendelea kuwa ‘kaa la moto’?

    Na Beatrice Kimaro Mchambuzi, Tanzania CHANZO CHA PICHA,HABARI LEO Ikiwa na bandari tatu kubwa upande wa bahari ya Hindi na nyingine kadhaa upande wa maziwa, Tanzania imekuwa kiungo muhimu kwa nchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati. Bandari zake za Dar es Salaam...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya ya kivita ya Kituruki Model tf-x iko katika hatua ya mwisho kuundwa

    Turkish 5th Gen Fighter TF-X prototype on the final assembly line. 20+ meters in length and powered by 2 GE F110 engines. This puts the TF-X in the same league as F-22 Raptor, J-20 Mighty Dragon and Su-57 Felon in terms of size. source. Military Tactics Ndege ya 5 Kivita ya Kituruki TF-X ipo...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Zifahamu mbaazi na faida zake

    Jinsi ya kuiandaa dawa ya Mbaazi Chukua Majani, au maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (Ni vizuri kama utachanganya vyote) Pondaponda na uloweke kwenye maji safi kiasi cha lita mbili (2) kwa muda wa masaa ishirini na nne au siku moja. Chuja na uweke dawa hii mbali na jua/joto ni vizuri kama...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Lori la mafuta lalipuka na kusababisha vifo vya watu wanane Kusini Magharibi mwa Nigeria

    Lori la mafuta lalipuka na kusababisha vifo vya watu wanane kusini magharibi mwa Nigeria AFPCopyright: AFP Takriban watu 8 wamethibitishwa kufariki kutokana na mlipuko wa lori la mafuta katika jimbo la Ondo Kusini Magharibi mwa Nigeria baada ya wakaazi kuchota mafuta kutoka kwa lori hilo...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania "Sote watatu ni wapenzi na tunalala kitanda kimoja"

    Na Humpo Lakaje, BBC CHANZO CHA PICHA,NHLANHLA MOSHOMO Maelezo ya picha, Kuanzia kushoto ni Lithabo, Fletcher na Lunia. Na mtoto huyo ni wa Fletcher na Lithabo Mtindo mpya unaoitwa 'Polyamory' unaibuka miongoni mwa vijana wa Afrika Kusini. Polyamory inamaanisha kuwa katika uhusiano wa...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Tafsiri na uchambuzi Mkataba wa Bandari Tanzania na Dubai

    MKATABA NDIO HUO KWA LUGHA YA KISWAHILI USOME NA UELEWE. TAFSIRI NA UCHAMBUZI MKATABA WA BANDARI TANZANIA NA DUBAI. UTANGULIZI; Februari 28, 2022, Rais Samia alipokwenda UAE kuhudhuria Maonesho ya Dubai 2020, ilisainiwa hati ya makubaliano (MoU), baina ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania ADC yamtaka Msajili wa Vyama kuchukua hatua kwa vyama vinavyokiuka katiba

    Mwenyekiti wa Chama cha ADC, Hamad Rashid. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Chama cha Alliance for Democrating Change (ADC ), kimetoa rai kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kuchukua hatua kwa vyama ambavyo vitashindwa kufuata katiba yake. Akizungumza na MTANZANIA DIGITAL Julai 20, 2023...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kamasi ni sababu ya magonjwa yote

    Kamasi ni sababu ya magonjwa yote. RIP DR.SEBI Hili ndilo swali nililoulizwa mahakamani, kwamba kwa nini tunatoa madai haya na kwa nini tulifanikiwa sana na kinachoendelea ni kwamba ugonjwa huo haukutambuliwa kwetu. Ikiwa ingetambuliwa swali lisingeulizwa sasa na kisha sisi sote, sisi wote...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wakenya, Waganda na Watanzania wanalala nje katika mitaa nchini Canada

  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Kolombia ameruhusu lugha ya kiswahili itumike mashuleni hongera zake

  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Gari la kwanza la umeme lazinduliwa Tanzania

    Dar es Salaam. Mchoraji katuni wa Tanzania, Masoud Kipanya amezindua rasmi gari lake ambalo ni la kwanza la umeme kutengenezwa hapa nchini. Kipanya, amesema gari hilo la umeme ni wazo lake binafsi la ubunifu ambalo lilimchukua miezi 11 kukamilika. Gari hilo ambalo ni rafiki kwa mazingira kwa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi amvua madaraka Mganga Mfawidhi hospitali ya Kivule

    Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Jomari Satura, amemvua madaraka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya Kivule kwa kushindwa kusimamia majukumu yake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Julai 8, 2023 na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano, Tabu Shaibu, hatua hiyo imefikiwa baada ya kushindwa...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wabeba maboksi wa Ulaya wakijishaua wakati kwao Afrika wamesahau hata kujenga banda la Makuti

  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Turkey's President Erdogan gives green light to Sweden's NATO bid, says Stoltenberg

    Speaking to reporters in Vilnius, ahead of the NATO leaders summit, Stoltenberg said President Erdogan and Swedish Prime Minister Kristersson had agreed to terms to advance Sweden's NATO application. Turkey has decided to lift its veto on Sweden's NATO membership, NATO Secretary General Jens...
Back
Top Bottom