amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa kufanya mkutano wa dharura kuhusu 'ongezeko la tishio' kwa uchomaji moto wa Quran Ulaya

    Umoja wa Mataifa unasema visa vya uchomaji Quran vinaongezeka barani Ulaya. Picha: AFP Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura katika siku zijazo kujadili matukio ya hivi karibuni ya kuchomwa moto kwa kitabu kitakatifu cha Quran barani Ulaya, msemaji wa...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Papa Francis alaani kuchomwa kwa Quran

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunaini, Papa Francis, amelaani kwa matamshi makali vitendo vya kuchomwa kitabu kitakatifu kwa Waislamu, Qur'an. Papa Francis pia ametoa wito wa kuheshimiwa kwa vitabu vitakatifu vya dini kama njla ya kuonesha heshima kwa Watu wanaoviamini, katika mahojiano na gazeti...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Erdogan ameapa kujenga upya mji uliokumbwa na Tetemeko

    erdogan / Photo: AA Archive Rais wa Uturuki ameapa kulijenga upya eneo la kusini mwa nchi hiyo kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 50,000 mwezi uliopita. "Lengo letu ni kuinua eneo la tetemeko la ardhi," Recep Tayyip Erdogan alisema Jumapili baada ya chakula...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa Uturuki 'yamkata makali' mkuu wa kijasusi wa Iraq wa PKK

    Ankara imekuwa ikifanya mashambulizi kadhaa ya kupambana na ugaidi kaskazini mwa Iraq ili kuwaangamiza magaidi. / Picha: Jalada la AA Hasan, kwa jina maarufu Celal Kaya, aliyetambuliwa kama 'afisa wa Ujasusi' na kundi la kigaidi la PKK nchini Iraq, "amekatwa makali " katika operesheni...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria ya kupambana na ugaidi ya Sweden yanapaswa kuonyeshwa kwa vitendo

    Maafisa wakuu kutoka nchi hizo tatu wanachunguza pingamizi la Uturuki dhidi ya uanachama wa Uswidi katika muungano wa kijeshi, na kuona ni nini zaidi kifanyike ili kuvunja mkwamo huo. Mkutano wa Alhamisi unakuja kabla ya mkutano wa kilele wa NATO huko Vilnius, Lithuania utakaofanyika Julai...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Erdogan asema Ukraine inastahili nafasi katika NATO. Zelenskyy asifu Uturuki kwa usaidizi wake

    Erdogan amefanya mazungumzo na Zelenskyy Istanbul / Picha: AA Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amemueleza mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kuwa Kiev ilistahili kujiunga na NATO, lakini pia ameiambia ifanye mazungumzo ya amani na Moscow. "Hakuna shaka kwamba Ukraine inastahili...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Hizi ni sababu 7 kwa nini ule ndizi leo

    dizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini. Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi ni pamoja na: 1: Inasawazisha maji ya mwili "homoni": ndizi ina kiasi kikubwa cha potasiamu na vitamini B6...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ama kweli huduma ya afya ya Zanzibar haitokuwa na tofauti na Uingereza

    Haya mambo mengine bora mtu ucheke tu upate thawabu. Hakuna Watu waongo katika Dunia hii kama Wanasiasa.
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa masikini na mtoto wa tajiri

    Mtoto wa maskini na mtoto wa tajiri.
  10. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mitindo ya kujamiiana Inaweza kuvunja Uume Wako

    Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa. Utafiti wa...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Korti yazidi kumweka kifungoni Fatma Karume

    Dar es Salaam. Hatima ya wakili wa kujitegemea, Fatma Karume kufanya kazi ya uwakili Tanzania Bara bado iko njiapanda baada ya Mahakama ya Rufani kutupilia mbali shauri lake la kupinga kusimamishwa. Wakili Karume maarufu kama Shangazi, alisimamishwa kwa muda kutoa huduma hiyo na Mahakama Kuu...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha yangu ya leo Jioni

    Hebu niambie ukweli jinsi ugumu wa maisha yako unavyolalamika na unayachukia maisha yako jinsi alivyokupangia mungu. Halafu uje ufananishe na huyu mtoto maisha yake jinsi yalivyo. Je muko sawa na wewe unayelalamika ovyo?
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi tajiri lakini wananchi wake ni masikini, ajabu sana

    Hifadhi kubwa zaidi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania Wataalumu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika. Hifadhi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache duniani yaliyojaliwa...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Msikilize Lusinde ishu ya Bandari kukodishwa

    MSIKILIZE LUSINDE ISHU YA BANDARI KUKODISHWA.
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa asema zuio la maandamano sakata la bandari ni kinyume cha sheria

    Dkt. Slaa: Leo naomba kuzungumza nanyi kidogo kwa mujibu wa katiba yetu ibara ya 20. Nina taarifa kwamba kesho asubuhi majira ya saa mbili vijana wataandamana kutoka Temeke kwenda kukabidhi maoni yao, hoja zao, kwa mpendwa Rais wao kule Magogoni. Vijana hao ambao wanaandamana walipeleka barua...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Dalili kubwa 20 za mtu kuwa na uchawi mwilini

    DALILI KUBWA 20 ZA MTU KUWA NA UCHAWI MWILINI Watu wengi wamekuwa wakirudishwa nyuma kimaisha na kujikuta wakiangukia pua bila kujua chanzo nini. Wachawi wana mbinu kali hasa wanapotaka kutekeleza jambo lao. Nimekuwekea dalili za kufahamu kama una uchawi mwilini mwako. Kuota mara kwa mara...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Trilioni zetu 360 zipo wapi? Leo Bunge zima linapiga makofi kwa Trilioni 1.3!

    Luhaga Mpina: Trilioni Zetu 360 Zipo Wapi? Bunge zima linapiga makofi kwa Trilioni 1.3. "Tunazo trilioni 360 zimeshikiliwa na Mahakama uamuzi haujatoka, nilitegemea kwenye mpango hapa isemwe hela hizo ziko wapi. Leo bunge zima linapiga makofi kwa Trilioni 1.3 tulizopewa na IMF mpaka mikono...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mpina akiwasha tena Tsh. Trilioni 2 za SGR ataka mkandarasi atimuliwe. Naibu Waziri amjibu

    Mpina akiwasha tena Sh2 Trilioni za SGR ataka mkandarasi atimuliwe; Naibu Waziri amjibu
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha Yangu ya leo

  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila akitoa Mawaidha kwa Wakristu

    Msikilize Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila akitoa mawaidha wa Wakristu.
Back
Top Bottom