Ikiwa nyoka ataingia nyumbani kwako, fanya hivi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,329
33,138
Na Murugesh Madkannu, BBC Tamil
Snake

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Nilipokuwa mtoto, kulikuwa na miti na vichaka vingi kuzunguka nyumba yetu. Jioni moja kulitokea tukio. Umeme ulikatika wakati tunakula. Baada ya kumaliza chakula kilichobaki tukiwa gizani, nilienda kwenye bomba lililokuwa karibu na ukuta wa mbele ili kuosha vyombo.
Wakati huo huo, nyoka mwenye urefu wa futi tano alitambaa kwenye ukuta huo wenye urefu wa futi tatu, akapanda na kuangukia ndani ya nyumba yetu. Unene na urefu wa nyoka pekee ndio ulionekana wazi katika mwanga hafifu wa mwezi. Sikujua ni nyoka wa aina gani.
Nilikuwa nimeganda kwa hofu. Maji yalikuwa yanamwagika kwenye bomba. Nilikuwa nimesimama palepale huku nikiwa na sahani ya chakula mkononi. Hata katika giza lile, macho yangu yalikuwa yamemtazama yule nyoka karibu na bomba la maji. Nyoka alikwenda mahali ambapo kulikuwa na mnazi kwenye kona ya ukuta.
Huu ulikuwa ni uzoefu wa kwanza wa kuona nyoka katika maisha yangu.

Hofu ya wanadamu inawajibika kwa kuwakimbiza nyoka​

Watu huanza kutetemeka wanapoona nyoka. Lakini kwa kweli hofu hii ya nyoka ndiyo sababu kuu ya kutoweka kwao.
Siku ya Nyoka Duniani huadhimishwa Julai 16 kila mwaka ili kulinda nyoka aina za nyoka.
Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, watu milioni 5 huumwa na nyoka kila mwaka. Uchunguzi unaonyesha kuwa nyoka husababisha vifo 81,000 hadi 138,000 kila mwaka.
India ina idadi kubwa zaidi ya vifo vya kuumwa na nyoka ulimwenguni. Kulingana na utafiti uliochapishwa mnamo Julai 2020, watu milioni 1.2 walikufa kutokana na kuumwa na nyoka nchini India kati ya mwaka 2019 hadi 2000.
Kutokana na ukosefu wa vifaa vya kutosha vya matibabu na kutumiwa kwa tiba za asili na waathirika, ni vigumu kupata idadi halisi ya kesi za kuumwa na nyoka.
Vifo vingi hivi hutokana na ukosefu wa uelewa na ufahamu kuhusu nyoka, wanasema watafiti.

Nyoka wakubwa wenye sumu​

Kuna aina 300 za nyoka nchini India. Lakini 60 tu kati yao wana sumu. Nyoka aina nne kati ya hawa wana sumu kali.
Manyar
Manyar au Maner ni mojawapo ya aina nne kuu za nyoka wenye sumu wanaopatikana nchini India. Pia kuna jamii zingine ndogondogo za Manyar. Kuna aina tatu zinazopatikana nchini India ambazo ni ,anyar plain au manyar, Manyar wenye mistari, na Manyar weusi. Urefu wa Manyar anakuwa hadi kufikia mita moja na nusu. Magamba yake hupungua kuelekea kichwa na mkia.
Ghonas
Ghonas inaonekana kama chatu hivyo watu wengi wanaweza kutoielewa. Alama kuu za kutofautisha za Ghonas ni mistari mitatu inayofanana-kama mnyororo kwenye mwili wake na mdomo wake unaofanana na chura. Huwa kukoroma kwake kunasikika kama filimbi au mlio wa kuku. Sumu ya nyoka huyu ni kali sana.
Snake

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Free time
Nyoka huyu mwenye sumu kali anapatikana karibu kila mahali nchini India. Rangi yao ni kahawia, rangi ya njano. Kila upande wa nyuma una mstari mweupe uliofifia. Urefu wa nyoka huyu ni mfupi sana, lakini sumu yake ni kali.
King Cobra
King cobra ndiye nyoka mkubwa zaidi mwenye sumu duniani. Nyoka huyu anaishi katika misitu minene. Rangi ya King cobra ni kijani kibichi, hudhurungi au nyeusi.

Uzembe au kutokujali kwa watu na kutochukua hatua ndio chanzo cha vifo​

Nyoka kwa ujumla huchukuliwa na binadamu kama viumbe hatari. Hata hivyo, SR Ganesh, Mkurugenzi wa utafiti wa Taasisi ya Kalinga inayojishughulisha na ulinzi wa mazingira, anasema kuwa nyoka wana tabia ya kuogopa binadamu, lakini vitendo vya binadamu na uzembe vinasababisha vifo vingi.
“Nyoka hawataki kuwagusa wanadamu kila mara. Cobra mwenye urefu wa futi 6 anaweza kuwa na uzito wa kilo 1. Hebu fikiria nini kinatokea wakati mtu mwenye kilo 60-70 anamkalia juu yake. Katika hali hiyo kuna mdomo tu wa kujitetea. Anautumia kama silaha. Hata mbwa ukimkanyaga atakuuma. Nyoka hufanya vivyo hivyo.
Kitu kimoja kinatokea katika mashamba. Wakulima kwa ujumla huchukulia mashamba kama Mungu. Kwa hiyo, wanatembea bila viatu, unaweza kumkanyaga nyoka kwa bahati mbaya na kumgusa.”
Alisema zaidi, nyoka wanaogopa wanadamu, wanataka kukaa mbali na wanadamu. Lakini katika hali kama hii ya hatari kwao hawawezi kukubali.
Snake

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Ganesha anasema, ikiwa nyoka huingia ndani ya nyumba yako, fungua madirisha na milango wazi na umpe muda wa kutoroka.
Lakini hakuna njia nyingine ya kujitetea ikiwa unafunga madirisha na milango yote ya chumba au nyumba na kujaribu kumpiga kwa fimbo mkononi.
Pia alisema kuwa nyoka walio karibu na makazi ya binadamu wanajua sifa zetu vizuri.
“Yaani wanatuona mara nyingi kabla hatujawaona wao. Katika baadhi ya nyumba, nyoka hutaga mayai na kuangua. Hili si jambo linalotokea kwa siku moja. Wanakaa katika eneo hilo siku nzima na wanajua nyakati ambazo hakuna harakati za kibinadamu.
Uchunguzi unaonyesha kwamba 70% ya nyoka nchini India wanatoka kwenye kundi la nyoka wasio na sumu na 30% kutoka nyoka wenye sumu. Vile vile, asilimia 90 ya matukio ya kuumwa na nyoka nchini India husababishwa na aina 4 maalum za nyoka.
Mara nyingi watu huwachanganya nyoka hawa. Na hii inaleta hatari kwa nyoka.

Nini cha kufanya ikiwa nyoka ameingia ndani ya nyumba?​

Vishwa, ambaye anahusika katika uokoaji wa nyoka, anasema kwamba mtu hapaswi kuogopa akiona nyoka. Anajihusisha na utegaji wa nyoka na mafunzo yanayohusiana nayo kupitia shirika la Urvanam.
Vishwa anasema, “Watu wengine wanapomwona nyoka, huziba njia zote za kutokea za nyoka, hivyo hawezi kutoka. Akifanya hivyo, ataenda kujificha mahali fulani ndani ya nyumba. Inaweza kuwa vigumu kumpata,” anasema Vishwa.
Ndivyo ilivyokuwa wakati wa uzoefu wangu wa kwanza na Cobra nikiwa mtoto. Siku hiyo niliamka kwa hofu na dakika chache zilizofuata nikawaambia wazee nyumbani. Mara moja, barabara nzima ilijaa watu waliobeba marungu na fimbo ili kumuua cobra.
Snake

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Njia zote za kuzunguka maficho ya nyoka huyo zilizuiwa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu karibu. Mara tu umeme ulipowaka, waliwasha taa zote na taa zikapangwa ili mwanga uwake kila kona.
Wakati huo kijana mmoja alikuwa jasiri sana akijaribu kumshika yule nyoka kwa mikono yake. Ulikuwa ujasiri wa kushangaza katika umri huo. Lakini Vishwa anasema kuwa hii ilikuwa hatua mbaya sana.
Vishwa anasema, "Baadhi ya watu hujaribu kukamata nyoka bila mafunzo na kisha kufa kwa bahati mbaya nyoka huyo anapowauma. Kwa hiyo ukiona nyoka unapaswa kuepuka kumkaribia iwezekanavyo."
“Kuna nyoka katika baadhi ya maeneo. Wakazi wa maeneo kama hayo wanapaswa kuwa na wataalamu wa nyoka na uokoaji kila wakati,” anasema.

Nini kifanyike kuzuia nyoka kuingia ndani ya nyumba?​

  • Takataka hazipaswi kuruhusiwa kujilimbikiza karibu na nyumba. Ikiwa kuna takataka, panya zitakuja. Ikiwa panya watakuja, nyoka watakuja kuwatafuta.
  • Nyumba inapaswa kusafishwa mara kwa mara
  • Ikiwa kuna mashimo ndani ya nyumba, yazibe.
  • Mabomba ya maji taka ya ndani yanapaswa kufunikwa na mfumo wa wavu.
  • Hakikisha kuna mwanga kuzunguka nyumba usiku
  • Ikiwa kuna bafuni au choo cha nje ya nyumba, kinapaswa kuwekwa katika hali ya usafi na chenye mwanga.

Nini cha kufanya ikiwa umeumwa na nyoka?​

Viswa anasema baada ya kuumwa na nyoka hali huwa mbaya kutokana na kukosa utulivu.
“Baadhi ya watu hufunga kwa nguvu sehemu iliyoumwa na nyoka na kukata sehemu hiyo. Hii inapaswa kuepukwa. Pia, wanapoteza muda kuua nyoka wakidhani kwamba itabidi wamuonyeshe daktari nyoka aliyemng’ata. Hii pia inapaswa kuepukwa. Nenda kwanza hospitali haraka iwezekanavyo.
Baadhi ya watu wanaumwa na nyoka wasio na madhara. Lakini tunapofikiri bila sababu kwamba tutakufa kutokana na kuumwa na nyoka, damu huongezeka. Inasababisha kifo.”
Kwa hiyo, ikiwa unaumwa na nyoka myenye sumu, unapaswa kuepuka hofu. Hata mtu wako wa karibu akiumwa na nyoka, unapaswa kuwa mwangalifu usiogope,” alisema.

Nyoka hawezi kuepukwa, ila kuumwa na nyoka kunapaswa kuepukwa​

"Maeneo yote karibu na nyumba zetu hapo awali yalikuwa ya wanyama, tukaenda kujenga nyumba juu yao. Watu wanapaswa kukubali kwamba nyoka watakuja, na babu zetu walielewa hilo."
Ndio maana hata wakimuona nyoka hawamuui wanawazoea na kuishi na uwepo wao, alisema S.R. Ganesha anasema.
“Aina nyingi za nyoka nchini India wako karibu kutoweka. Makazi yao yameharibiwa. Ikiwa tunataka kuboresha hili, watu wanapaswa kuelewa kuwa nyoka sio kero kwa watu."
Na, "Nyoka na wanadamu wanaweza kuishi pamoja. Je, tunaweza kuepuka magari kwa sababu yanasababisha ajali za magari?"
Ukichunguza ajali jinsi ajali zinavyoweza kuepukika. Ni sawa na nyoka. Tunapaswa kuachana na mawazo ya kuepuka nyoka. Kwa sababu haiwezekani. Unachotakiwa kufikiria ni jinsi ya kuepuka kuumwa na nyoka,” anasema Ganesh.
Huenda yule nyoka niliyemuona siku hiyo naye alikuwa amejificha chini ya mnazi kwa kuhofia kuwatoroka wanadamu.
Kuona hivyo niliganda kwa woga, laiti ningekaa vile vile angeondoka.
Hadi mwisho haijulikani Cobra alikuwa na hali gani siku hiyo na kwa nini alifanya hivyo. Kwa sababu watu wote walimzunguka na kumuua bila kumruhusu kutoroka. chanzo.BBC
 
Ni kumdaka kichwa na kubana Kwa nguvu.....Ila tusingekuwa na robo mbaya nyoka ni rafiki mzuri tu
 
Kwa mazingira ya Tanzania mtu haupaswi hata mara moja kujiuliza uliza ufanyeje pale mdudu nyoka anapoingia kwenye 18 zako ni wewe kumalizana nae tu,kama ana sumu au hana sumu itajulikana akishakufa.

Maana ikitokea akakuuma na akawa ni mwenye madhara makubwa (though Tanzania rat snake ndiyo wengi) ni either kifo au ubaki mlemavu,nasema hivi sababu bongo mpaka ukapate anti snake venom utakuwa umeshachakaa sana.
 
Kwa mazingira ya Tanzania mtu haupaswi hata mara moja kujiuliza uliza ufanyeje pale mdudu nyoka anapoingia kwenye 18 zako ni wewe kumalizana nae tu

Maana ikitokea akakuuma na akawa ni mwenye madhara makubwa (though Tanzania rat snake ndiyo wengi) ni either kifo au ubaki mlemavu,nasema hivi sababu bongo mpaka ukapate anti snake venom utakuwa umeshachakaa sana.
kweli kabisa nyoka si wa kujiuliza mara mbili eidha umbonde kichwa la asha mguu ukusaidie kwa kutimua
 
Ni kumdaka kichwa na kubana Kwa nguvu.....Ila tusingekuwa na robo mbaya nyoka ni rafiki mzuri tu

Inasemekana Binadamu anapomuona nyoka binadamu huogopa na hutoa homoni flan ambayo nyoka huihisi kwa haraka sanaa kwamba Binadamu ameniona na anataka kunimaliza sasa nyoka hufanya mawili ajihami kukudhuru Au akimbie
 
Kuna vitu vya kuzoea jamani snack hapana nishaapa bora niwe nakutana na simba humu polini kuliko gap jamaa maana unakutana na na pisi nene kama paja
 
Na Murugesh Madkannu, BBC Tamil
Snake

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Nilipokuwa mtoto, kulikuwa na miti na vichaka vingi kuzunguka nyumba yetu. Jioni moja kulitokea tukio. Umeme ulikatika wakati tunakula. Baada ya kumaliza chakula kilichobaki tukiwa gizani, nilienda kwenye bomba lililokuwa karibu na ukuta wa mbele ili kuosha vyombo.
Wakati huo huo, nyoka mwenye urefu wa futi tano alitambaa kwenye ukuta huo wenye urefu wa futi tatu, akapanda na kuangukia ndani ya nyumba yetu. Unene na urefu wa nyoka pekee ndio ulionekana wazi katika mwanga hafifu wa mwezi. Sikujua ni nyoka wa aina gani.
Nilikuwa nimeganda kwa hofu. Maji yalikuwa yanamwagika kwenye bomba. Nilikuwa nimesimama palepale huku nikiwa na sahani ya chakula mkononi. Hata katika giza lile, macho yangu yalikuwa yamemtazama yule nyoka karibu na bomba la maji. Nyoka alikwenda mahali ambapo kulikuwa na mnazi kwenye kona ya ukuta.
Huu ulikuwa ni uzoefu wa kwanza wa kuona nyoka katika maisha yangu.

Hofu ya wanadamu inawajibika kwa kuwakimbiza nyoka​

Watu huanza kutetemeka wanapoona nyoka. Lakini kwa kweli hofu hii ya nyoka ndiyo sababu kuu ya kutoweka kwao.
Siku ya Nyoka Duniani huadhimishwa Julai 16 kila mwaka ili kulinda nyoka aina za nyoka.
Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, watu milioni 5 huumwa na nyoka kila mwaka. Uchunguzi unaonyesha kuwa nyoka husababisha vifo 81,000 hadi 138,000 kila mwaka.
India ina idadi kubwa zaidi ya vifo vya kuumwa na nyoka ulimwenguni. Kulingana na utafiti uliochapishwa mnamo Julai 2020, watu milioni 1.2 walikufa kutokana na kuumwa na nyoka nchini India kati ya mwaka 2019 hadi 2000.
Kutokana na ukosefu wa vifaa vya kutosha vya matibabu na kutumiwa kwa tiba za asili na waathirika, ni vigumu kupata idadi halisi ya kesi za kuumwa na nyoka.
Vifo vingi hivi hutokana na ukosefu wa uelewa na ufahamu kuhusu nyoka, wanasema watafiti.

Nyoka wakubwa wenye sumu​

Kuna aina 300 za nyoka nchini India. Lakini 60 tu kati yao wana sumu. Nyoka aina nne kati ya hawa wana sumu kali.
Manyar
Manyar au Maner ni mojawapo ya aina nne kuu za nyoka wenye sumu wanaopatikana nchini India. Pia kuna jamii zingine ndogondogo za Manyar. Kuna aina tatu zinazopatikana nchini India ambazo ni ,anyar plain au manyar, Manyar wenye mistari, na Manyar weusi. Urefu wa Manyar anakuwa hadi kufikia mita moja na nusu. Magamba yake hupungua kuelekea kichwa na mkia.
Ghonas
Ghonas inaonekana kama chatu hivyo watu wengi wanaweza kutoielewa. Alama kuu za kutofautisha za Ghonas ni mistari mitatu inayofanana-kama mnyororo kwenye mwili wake na mdomo wake unaofanana na chura. Huwa kukoroma kwake kunasikika kama filimbi au mlio wa kuku. Sumu ya nyoka huyu ni kali sana.
Snake

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Free time
Nyoka huyu mwenye sumu kali anapatikana karibu kila mahali nchini India. Rangi yao ni kahawia, rangi ya njano. Kila upande wa nyuma una mstari mweupe uliofifia. Urefu wa nyoka huyu ni mfupi sana, lakini sumu yake ni kali.
King Cobra
King cobra ndiye nyoka mkubwa zaidi mwenye sumu duniani. Nyoka huyu anaishi katika misitu minene. Rangi ya King cobra ni kijani kibichi, hudhurungi au nyeusi.

Uzembe au kutokujali kwa watu na kutochukua hatua ndio chanzo cha vifo​

Nyoka kwa ujumla huchukuliwa na binadamu kama viumbe hatari. Hata hivyo, SR Ganesh, Mkurugenzi wa utafiti wa Taasisi ya Kalinga inayojishughulisha na ulinzi wa mazingira, anasema kuwa nyoka wana tabia ya kuogopa binadamu, lakini vitendo vya binadamu na uzembe vinasababisha vifo vingi.
“Nyoka hawataki kuwagusa wanadamu kila mara. Cobra mwenye urefu wa futi 6 anaweza kuwa na uzito wa kilo 1. Hebu fikiria nini kinatokea wakati mtu mwenye kilo 60-70 anamkalia juu yake. Katika hali hiyo kuna mdomo tu wa kujitetea. Anautumia kama silaha. Hata mbwa ukimkanyaga atakuuma. Nyoka hufanya vivyo hivyo.
Kitu kimoja kinatokea katika mashamba. Wakulima kwa ujumla huchukulia mashamba kama Mungu. Kwa hiyo, wanatembea bila viatu, unaweza kumkanyaga nyoka kwa bahati mbaya na kumgusa.”
Alisema zaidi, nyoka wanaogopa wanadamu, wanataka kukaa mbali na wanadamu. Lakini katika hali kama hii ya hatari kwao hawawezi kukubali.
Snake

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Ganesha anasema, ikiwa nyoka huingia ndani ya nyumba yako, fungua madirisha na milango wazi na umpe muda wa kutoroka.
Lakini hakuna njia nyingine ya kujitetea ikiwa unafunga madirisha na milango yote ya chumba au nyumba na kujaribu kumpiga kwa fimbo mkononi.
Pia alisema kuwa nyoka walio karibu na makazi ya binadamu wanajua sifa zetu vizuri.
“Yaani wanatuona mara nyingi kabla hatujawaona wao. Katika baadhi ya nyumba, nyoka hutaga mayai na kuangua. Hili si jambo linalotokea kwa siku moja. Wanakaa katika eneo hilo siku nzima na wanajua nyakati ambazo hakuna harakati za kibinadamu.
Uchunguzi unaonyesha kwamba 70% ya nyoka nchini India wanatoka kwenye kundi la nyoka wasio na sumu na 30% kutoka nyoka wenye sumu. Vile vile, asilimia 90 ya matukio ya kuumwa na nyoka nchini India husababishwa na aina 4 maalum za nyoka.
Mara nyingi watu huwachanganya nyoka hawa. Na hii inaleta hatari kwa nyoka.

Nini cha kufanya ikiwa nyoka ameingia ndani ya nyumba?​

Vishwa, ambaye anahusika katika uokoaji wa nyoka, anasema kwamba mtu hapaswi kuogopa akiona nyoka. Anajihusisha na utegaji wa nyoka na mafunzo yanayohusiana nayo kupitia shirika la Urvanam.
Vishwa anasema, “Watu wengine wanapomwona nyoka, huziba njia zote za kutokea za nyoka, hivyo hawezi kutoka. Akifanya hivyo, ataenda kujificha mahali fulani ndani ya nyumba. Inaweza kuwa vigumu kumpata,” anasema Vishwa.
Ndivyo ilivyokuwa wakati wa uzoefu wangu wa kwanza na Cobra nikiwa mtoto. Siku hiyo niliamka kwa hofu na dakika chache zilizofuata nikawaambia wazee nyumbani. Mara moja, barabara nzima ilijaa watu waliobeba marungu na fimbo ili kumuua cobra.
Snake

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Njia zote za kuzunguka maficho ya nyoka huyo zilizuiwa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu karibu. Mara tu umeme ulipowaka, waliwasha taa zote na taa zikapangwa ili mwanga uwake kila kona.
Wakati huo kijana mmoja alikuwa jasiri sana akijaribu kumshika yule nyoka kwa mikono yake. Ulikuwa ujasiri wa kushangaza katika umri huo. Lakini Vishwa anasema kuwa hii ilikuwa hatua mbaya sana.
Vishwa anasema, "Baadhi ya watu hujaribu kukamata nyoka bila mafunzo na kisha kufa kwa bahati mbaya nyoka huyo anapowauma. Kwa hiyo ukiona nyoka unapaswa kuepuka kumkaribia iwezekanavyo."
“Kuna nyoka katika baadhi ya maeneo. Wakazi wa maeneo kama hayo wanapaswa kuwa na wataalamu wa nyoka na uokoaji kila wakati,” anasema.

Nini kifanyike kuzuia nyoka kuingia ndani ya nyumba?​

  • Takataka hazipaswi kuruhusiwa kujilimbikiza karibu na nyumba. Ikiwa kuna takataka, panya zitakuja. Ikiwa panya watakuja, nyoka watakuja kuwatafuta.
  • Nyumba inapaswa kusafishwa mara kwa mara
  • Ikiwa kuna mashimo ndani ya nyumba, yazibe.
  • Mabomba ya maji taka ya ndani yanapaswa kufunikwa na mfumo wa wavu.
  • Hakikisha kuna mwanga kuzunguka nyumba usiku
  • Ikiwa kuna bafuni au choo cha nje ya nyumba, kinapaswa kuwekwa katika hali ya usafi na chenye mwanga.

Nini cha kufanya ikiwa umeumwa na nyoka?​

Viswa anasema baada ya kuumwa na nyoka hali huwa mbaya kutokana na kukosa utulivu.
“Baadhi ya watu hufunga kwa nguvu sehemu iliyoumwa na nyoka na kukata sehemu hiyo. Hii inapaswa kuepukwa. Pia, wanapoteza muda kuua nyoka wakidhani kwamba itabidi wamuonyeshe daktari nyoka aliyemng’ata. Hii pia inapaswa kuepukwa. Nenda kwanza hospitali haraka iwezekanavyo.
Baadhi ya watu wanaumwa na nyoka wasio na madhara. Lakini tunapofikiri bila sababu kwamba tutakufa kutokana na kuumwa na nyoka, damu huongezeka. Inasababisha kifo.”
Kwa hiyo, ikiwa unaumwa na nyoka myenye sumu, unapaswa kuepuka hofu. Hata mtu wako wa karibu akiumwa na nyoka, unapaswa kuwa mwangalifu usiogope,” alisema.

Nyoka hawezi kuepukwa, ila kuumwa na nyoka kunapaswa kuepukwa​

"Maeneo yote karibu na nyumba zetu hapo awali yalikuwa ya wanyama, tukaenda kujenga nyumba juu yao. Watu wanapaswa kukubali kwamba nyoka watakuja, na babu zetu walielewa hilo."
Ndio maana hata wakimuona nyoka hawamuui wanawazoea na kuishi na uwepo wao, alisema S.R. Ganesha anasema.
“Aina nyingi za nyoka nchini India wako karibu kutoweka. Makazi yao yameharibiwa. Ikiwa tunataka kuboresha hili, watu wanapaswa kuelewa kuwa nyoka sio kero kwa watu."
Na, "Nyoka na wanadamu wanaweza kuishi pamoja. Je, tunaweza kuepuka magari kwa sababu yanasababisha ajali za magari?"
Ukichunguza ajali jinsi ajali zinavyoweza kuepukika. Ni sawa na nyoka. Tunapaswa kuachana na mawazo ya kuepuka nyoka. Kwa sababu haiwezekani. Unachotakiwa kufikiria ni jinsi ya kuepuka kuumwa na nyoka,” anasema Ganesh.
Huenda yule nyoka niliyemuona siku hiyo naye alikuwa amejificha chini ya mnazi kwa kuhofia kuwatoroka wanadamu.
Kuona hivyo niliganda kwa woga, laiti ningekaa vile vile angeondoka.
Hadi mwisho haijulikani Cobra alikuwa na hali gani siku hiyo na kwa nini alifanya hivyo. Kwa sababu watu wote walimzunguka na kumuua bila kumruhusu kutoroka. chanzo.BBC
Waambie BBC Hakuna nyoka anaitwa Free time.. wangetaja majina Yao halisi kidunia wangeeleweka zaidi
 
Vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom