amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Afya ya mwanamke: Vitu vitano mwanamke anatakiwa kujua katika sehemu zake za siri

    kuna imani potofu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sehemu za siri za wanawake, mwanamke mmoja ameamua kujitoa kuelezea masuala hayo. Dr Jen Gunter amekua daktari wa kina mama huko Marekani na Canada kwa miaka 25. Ametoa kitabu hivi karibu kinachoitwa biblia ya sehemu za siri za wanawake...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Bakteria wa mdomo wanaohusishwa na kuwashwa kwenye uke

    Bakteria wanaosababisha ugonjwa wa kuwashwa kwenye uke waliozunguka seli Tendo la ndoa kwa kutumia kinywa kunaweza kusababisha mazingira ya maambukizi ukeni, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye jarida la bailojia la PLoS Kuwashwa kwenye uke sio ugonjwa unaotokana na ngono. Badala yake...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Fahamu sababu, tiba ya muwasho sehemu za siri

    Sehemu ya uke iliyoathirika kwa viuvimbe kutokana na ugonjwa unaosababishwa na na virusi ujulikanao kama Human Papillomavirus (HPV). Ni moja ya magonjwa yanayosababisha muwasho sehemu za siri. Picha kwa hisani ya Taasisi ya Mutrition Facts. Muktasari: Gazeti hili limepokea maswali mengi kuhusu...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Hongera madaktari wa Tanzania kwa kazi nzuri mnazozifanya kuwaokoa wagonjwa

  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya asili hatarini kutoweka

    VYAKULA VYA ASILI HATARINI KUTOWEKA Aina 26 za vyakula vya asili nchini Tanzania vipo hatarini kutoweka kutokana na watu wengi kukimbilia vya kisasa ambavyo baadhi vina athari kwa afya. Mratibu wa Mradi wa Shirika la Slow Food Kanda ya Kaskazini, Lyne Ukio alisema hayo jana katika kilele cha...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki amfundisha Lema Alifu kwa kijiti

  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Milk And Garlic Is A Cure For Asthma, Tuberculosis, Pneumonia, Insomnia, Heart Issues, Cough, Arthritis And More

    Milk And Garlic Is A Cure For Asthma, Tuberculosis, Pneumonia, Insomnia, Heart Issues, Cough, Arthritis And More! This food combination sounds really strange we know but, it is worth a try. Many fruits, veggies or spices are used as cures when combined right and there won’t be any other need...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Herbs for natural flat tummy

    HERBS FOR NATURAL FLAT TUMMY Belly fat is stubborn and clings on and around the stomach, giving an odd look to your figure. Dieting is not the only solution to losing belly fat, as this might harm your body in one way or another. Just by following some home remedies and cutting junk food from...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wajua Sinema ya "The Gods must be Crazy Movie"

    Je, wajua "The Gods must be Crazy Movie" Muigizaji mkuu wa "The Gods Must Be Crazy", N!xau Toma, alilipwa $300 pekee, ingawa filamu iliyotayarishwa mwaka wa 1980 ilitengeneza zaidi ya $200 milioni. Alikufa akiwa maskini mnyonge licha ya kutengeneza mamilioni ya dola kwa ajili ya watu wengine...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Vitu 8 ambavyo hakuvijua kuhusu rais huyo wa zamani wa Marekani

    CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Donald Trump 5 Oktoba 2022 Kuna vitu vya ajabu ambavyo vimejitokeza kuhusu rais huyo wa zamani kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Confidence Man cha Maggie Haberman kilichozinduliwa siku ya Jumanne. Kitabu hicho kinaangazia muda wa Donald Trump...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Donald Trump 2024: Mambo sita yanayoonesha kwanini ni vigumu kushinda uchaguzi safari hii

    Donald Trump ametangaza azma yake ya kuwania urais kwa mara ya tatu, katika jaribio nadra sana la kiongozi wa zamani wa Marekani kutaka kuingia tena Ikulu ya White House baada ya kushindwa katika uchaguzi. Wasaidizi wa rais huyo wa zamani wanasema tangazo hili - na kampeni hii - itaonekana zaidi...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Trump awaambia wafuasi wa Republican ni yeye pekee anayeweza kushinda uchaguzi wa 2024

    ReutersCopyright: Reuters Wawaniaji wa urais wa chama cha Republican wameshiriki jukwaa moja kwa mara ya kwanza katika kinyang'anyiro cha Ikulu ya Marekani 2024 kwenye hafla ya kampeni ya Iowa. Wapinzani wakuu Donald Trump na Ron DeSantis waliongoza hafla ya wa kila mwaka ya chama cha...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wagner wanaweza kujifanya kama wahamiaji kuingia EU - Waziri Mkuu wa Poland

    Wapiganaji wa Wagner nchini Belarus wanaweza kujifanya wahamiaji na kuingia EU, Waziri Mkuu wa Poland Mateusz Morawiecki ameonya. Wagner pia wanaweza kunaweza kuchangia uhamiaji haramu kutoka Belarus, ambayo Poland inaelezea kama "vita vya mseto", anasema. Takriban wapiganaji 100 wa Wagner...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Niger: Makao makuu ya chama tawala yashambuliwa baada ya Rais Bazoum kuondolewa madarakani

    CHANZO CHA PICHA,EPA 28 Julai 2023 Wafuasi wa mapinduzi ama watu wanaounga mkono mapinduzi nchini Niger wameyashambulia makao makuu ya chama cha rais aliyepinduliwa na kuyachoma moto, kurusha mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje. Kikundi kidogo cha wachomaji moto kilikuwa kimejitenga na kundi...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa 'msaada usio na kikomo' kwa rais aliyeondolewa madarakani Niger

    CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo ya picha, Rais wa Niger Mohamed Bazoum Maelezo kuhusu taarifa Author,By Tchima Illa Issoufou & Cecilia Macaulay Nafasi,BBC News, Niamey & London 29 Julai 2023, 10:27 EAT Marekani imetoa "uungaji mkono wake usio na kikomo" kwa rais aliyepinduliwa nchini Niger...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Urusi na Afrika: Putin anataka kuongeza ushawishi

    Mkutano wa Urusi na Afrika: Putin anataka kuongeza ushawishi CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES 28 Julai 2023 Wakati Rais Vladimir Putin akifungua mkutano wa kilele wa Urusi na Afrika mjini St Petersburg leo Alhamisi, orodha ya waliohudhuria inatazamwa kwa karibu - huko Paris, Washington, London, na...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ikiwa nyoka ataingia nyumbani kwako, fanya hivi

    Na Murugesh Madkannu, BBC Tamil CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Nilipokuwa mtoto, kulikuwa na miti na vichaka vingi kuzunguka nyumba yetu. Jioni moja kulitokea tukio. Umeme ulikatika wakati tunakula. Baada ya kumaliza chakula kilichobaki tukiwa gizani, nilienda kwenye bomba lililokuwa karibu na...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bandari Tanzania itaendelea kuwa ‘kaa la moto’?

    Na Beatrice Kimaro Mchambuzi, Tanzania CHANZO CHA PICHA,HABARI LEO Ikiwa na bandari tatu kubwa upande wa bahari ya Hindi na nyingine kadhaa upande wa maziwa, Tanzania imekuwa kiungo muhimu kwa nchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati. Bandari zake za Dar es Salaam...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya ya kivita ya Kituruki Model tf-x iko katika hatua ya mwisho kuundwa

    Turkish 5th Gen Fighter TF-X prototype on the final assembly line. 20+ meters in length and powered by 2 GE F110 engines. This puts the TF-X in the same league as F-22 Raptor, J-20 Mighty Dragon and Su-57 Felon in terms of size. source. Military Tactics Ndege ya 5 Kivita ya Kituruki TF-X ipo...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Zifahamu mbaazi na faida zake

    Jinsi ya kuiandaa dawa ya Mbaazi Chukua Majani, au maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (Ni vizuri kama utachanganya vyote) Pondaponda na uloweke kwenye maji safi kiasi cha lita mbili (2) kwa muda wa masaa ishirini na nne au siku moja. Chuja na uweke dawa hii mbali na jua/joto ni vizuri kama...
Back
Top Bottom