ajira

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo ya kuzingatia ili kupandisha uchumi wa nchi na wananchi pamoja na kupandisha thamani ya pesa ya Tanzania

    Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee. Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau jinsi ambavyo thamani ya pesa yetu itakavyoweza kupanda na kuwa moja kati ya pesa zenye thamani...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kuomba ajira kwa aliyeajiriwa bila kupitisha kwa mwajiri inawezekana kuitwa interview?

    Habari JF. Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote. Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatangaza nafasi za ajira 524

    MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imetangaza nafasi za ajira 524 ili kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na nafasi 206 za maofisa wasimamizi wa kodi. Tangazo la TRA limeorodhesha idadi ya nafasi hizo na vigezo kwa waombaji na kwa ujumla waombaji wanapashwa kuwa tayari kufanya kazi popote pale...
  4. Born_T0WN

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja. Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
  5. Joshua Deus

    JamiiForums Tanzania SoC03 Suluhisho la ajira wahitimu wa Vyuo Vikuu/ Kati, Veta

    Umaskini ni hali ya kukosa kumudu mahitaji ya msingi kwa binadamu,mfano Chakula,mavazi na malazi. Janga hili kwa sehemu kubwa bado Lina ikumba bara la Africa,Mwalimu Nyerere,alisema "taifa lina adui watatu ambao wanapaswa kuwatokomeza ambao ni Ujinga,maradhi,na umaskini".Kwa kiasi kikubwa ujinga...
  6. Mirio

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu na Afya

    Habarini ndugu hakuna kipindi kigumu Kama hiki miaka 7 mtaani bila ajira kisaikolojia ni kipindi kigumu endapo watakosa tupeni ushauri jamaan 😭😭😭😭
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Ajira hizo msijesema ni za watoto wa wakubwa ti ilihali zinatangazwa

  8. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuomba ajira wa TRA hauna sehemu ya namba ya NIDA

    Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO..... Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
  9. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha mahojiano ya ajira kwa vijana: Chachu ya maendeleo ya Taifa

    Mahojiano ya ajira (Interviews) ni mchakato wa kawaida katika upatikanaji wa ajira ambapo waajiri hutathmini uwezo na sifa za waombaji kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo upimaji wa maarifa kupitia maswali mbalimbali pia upimaji wa ujuzi kupitia uoneshaji wa vitendo. Leo hii ninapenda kuangaza...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Inaelezwa kwamba Mbali na Mtaala Mbovu, Ajira za Kujuana ni chanzo kingine cha Elimu Mbovu Nchini

    I. Utangulizi Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na taasisi za juu za elimu zina jukumu kubwa katika kutoa elimu bora na kuandaa wahitimu wenye ujuzi na uwezo wa kuchangia katika maendeleo ya nchi. Hata hivyo, nchini Tanzania, mbali na mtaala mbovu unaohitaji kuboreshwa...
  11. Midimay

    JamiiForums Tanzania Je, Tangazo la Ajira TRA ni la kweli?

    Nimeona tangazo la nafasi za kazi kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa nafasi mbali mbali. Maswali langu ni: 1. Imekuwaje TRA wamejipa(kama ni kweli) jukumu la kuanza mchakato wa ajira(recruitment process)? 2. Ni lini sheria imebadilika kutoka PSRS(Sekretariat ya Ajira katika Utumishi...
  12. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ajira 800 za afya kumwagwa

    wizara ya afya jana imetangaza kumwaga ajira 8000 na hii ni kutokana na uhaba mkubwa wa watumishi katika hospital za rufaa, kwa hiyo vijana jiandaeni tena kufanya maombi ili mlambe asali
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bomba la mafuta EACOP watoa ajira 3,000 Tanzania

    Mradi wa Bomba la mafuta ghafi unaojengwa kutoka Hoima nchini Uganda kupitia Tanznaia hadi Chongoleani mkoani Tanga umetajwa kutoa ajira zaidi ya 3,000 ikiwemo 300 za kudumu hapa nchini Mradi huo utakaokuwa na urefu wa zaidi ya Kilometa 1147 mbali na ajira utatoa pia fursa mbalimbali za ajira...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hakuna mantiki kutoa ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia unabaki kwa mwanaume

    Haina mantiki, na hakuna logic yeyote kwa kutoa nafasi za ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia pamoja na huyo mwanamke mwenye ni la mwanaume kwa 100%. USHETANI! Haina mantiki, na hakuna logic yeyote ya kumuongezea mwanaume mzigo wa kulipa house girl...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ussi Salum Pondeza - Tukiimarisha Suma JKT na Kiwanda cha Nyumbu wataweza kutengeneza ajira rasmi na zisizo rasmi

    MBUNGE USSI PONDEZA - TUKIIMARISHA SUMA JKT & KIWANDA CHA NYUMBU WATAWEZA KUTENGENEZA AJIRA Mbunge wa Jimbo la Chumbuni, Mhe. Ussi Salum Pondeza akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa iliyosomwa na Waziri Mhe. Innocent Bashungwa bungeni jijini Dodoma amesema...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uhasibu

    Nnnnnn
  17. C

    JamiiForums Tanzania Watu 8,476 kusaka nafasi 42 za ajira zilizotangazwa na Bunge

    Hii habari iko kwenye gazati la Nipashe, kama ni kweli hiyo hali anatupa taswira gani katika soko la ajira? Hi ni timing bomb, kuna haja ya vyuo kubadili mitaala ya kozi zisizokuwa na soko kwenye market yetu. ====== Tume ya Utumishi ya Bunge imetangaza ajira za kada mbalimbali ambapo walioitwa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Katoliki mnawaambia vijana wa Kitanzania waliopo Italia warudi nyumbani wakimaliza masomo, mna ajira za kuwapa?

    Maaskofu Katoliki wamemaliza hija Roma na pia mkutano wao na Baba Mtakatifu. Baada ya hapo wamekutana na watanzania waishio Italia hasa katika jiji la Roma wakiwepo wanafunzi. Wakiongozwa na askofu mkuu Nyaisonga, maaskofu wamewaasa vijana hao kurudi nyumbani Tanzania mara wamalizapo masomo...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kwezi Ataka Ajira kwenye Miradi Zizingatie Vijana wa Maeneo yao

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATAKA AJIRA KWENYE MIRADI ZIZINGATIE VIJANA WA MAENEO YAO Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoa wa Tabora, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2023-2024 ya Shilingi Trilioni 3.554 iliyosomwa na...
  20. houstony

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Ajira Dar es Salaam

    Habari wanajamii, Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME, Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta kujikwamua kimaisha naombeni msaada wenu niweze kupata kazi yoyote ya halali kwa maana hali imekuwa ngumu...
Back
Top Bottom