Ajira 800 za afya kumwagwa

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,582
10,715
wizara ya afya jana imetangaza kumwaga ajira 8000 na hii ni kutokana na uhaba mkubwa wa watumishi katika hospital za rufaa, kwa hiyo vijana jiandaeni tena kufanya maombi ili mlambe asali
 
wizara ya afya jana imetangaza kumwaga ajira 8000 na hii ni kutokana na uhaba mkubwa wa watumishi katika hospital za rufaa, kwa hiyo vijana jiandaeni tena kufanya maombi ili mlambe asali
Hilo tangazo la ajira amelitoa nani na source ipi?

Mbona wizara ya afya ilitangaza ajira 247 tu mwezi April.
 
Puuzeni hii taarifa ambayo mleta mada amemnukuu Naibu waziri wa Afya Juzi bungeni akijibu swali kuhusu uhaba wa watumishi, ndipo waziri akajibu kwamba Serikali ina mpango wa kuajiri watumishi wengine 8,000.

Hivyo mleta mada kaleta taarifa bila kujua Tamisemi na wizara walishatoa Tangazo la Ajira toka Mwezi April na watu walishagaomba hizo Ajira na sasa wanasubiria kuchaguliwa na kupangiwa kazi Mwezi ujao JUNE 2023.

Hakuna Tangazo jingine la kuomba Ajira bali Tamisemi walishatoa kibali cha Ajira Afya 8000 na Wizara Ajira 247 toka Mwezi APRIL.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom