Mradi wa bomba la mafuta EACOP watoa ajira 3,000 Tanzania

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mradi wa Bomba la mafuta ghafi unaojengwa kutoka Hoima nchini Uganda kupitia Tanznaia hadi Chongoleani mkoani Tanga umetajwa kutoa ajira zaidi ya 3,000 ikiwemo 300 za kudumu hapa nchini

Mradi huo utakaokuwa na urefu wa zaidi ya Kilometa 1147 mbali na ajira utatoa pia fursa mbalimbali za ajira na uwekezaji nchini ukitajwa kuongeza fedha za kigeni kwa zaidi ya asilimia 6 ya

Akizungumza wakati wa warsha kwa Wabunge, Mkurugenzi Mkuu wa EACOP Martin Tiffen amesema mbali ya ajira hizo mradi pia unatoa fursa mbalimbali za kijamii na mafunzo ufundi kwa waajiriwa.
 
Back
Top Bottom