ajira

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ukipata ajira kijijini furahi

    Ni ndoto yakila mtu kuwa na mahali ambapo patampatia ujira ambao utaweza kuyamudu maisha yake, mara nyingi tunapozungumzia neno ajira huwa tunazungumzia watu waliopata elimu juu ya jambo fulani inaweza kuwa ni udaktari, Ualimu, Uanajeshi na taaluma nyinginezo ijapo ajira huwa zinalenga watu wa...
  2. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Ni maumivu gani ulipitia kipindi huna ajira?

    Da maisha haya! Leo nimeamka asubuhi nikiwa na simanzi kubwa moyoni. Mpenzi niliye naye kanipiga chini kisa Sina pesa za kutosha, Sina kazi Nina vyeti na kazi ndogo ndogo za kitaa zinazosababisha nilipe Kodi. Mdogo angu wa mwaka 2002 kaajiliwa jeshini JWTZ (form four) muda huu anakula mshahara...
  3. OLS

    JamiiForums Tanzania Kazi na ajira ni tofauti

    Katika lugha ya kawaida, maneno "kazi" na "ajira" mara nyingi hutumiwa kwa namna ambayo inafanana. Tunatumia maneno hayo kuelezea jinsi tunavyopata kipato chetu. Katika mazingira ya kawaida, hatuhitaji kutumia maneno sahihi kila wakati. Tunajaribu tu kufahamika. Hivyo, hatuhitaji kufuatilia...
  4. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye imani ya Rasta anaweza kupata ajira serikalini?

    Wadau naomba kujuzwa hili maana nina mjukuu wangu anasoma, ndoto yake aje kuwa Dokta na sisi ni rastafari. Je, anaweza pata ajira?
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na suala la Ajira

    Utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika suala la ajira katika nchi yetu. Ajira ni muhimu sana katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa maisha ya wananchi. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala bora na uwajibikaji katika suala la ajira...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Serikali iungwe Mkono Kutengeneza Ajira Milioni 8 Sekta ya Kilimo

    JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira. Kauli hiyo aliitoa bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Felix Kavejuru aliyetaka kujua mkakati wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuhalalisha usumbufu: Baada ya kuitwa kwenye ajira, unasubirishwa kwa kwa takriban mwezi ili vyeti vihakikiwe, bila kuwezeshwa kujikimu!!

    Huwezi kuamini kuwa watu wenye akili zao timamu walioaminiwa na Taifa kushughulikia ajira, wakaamua kuweka utaratibu usio rafiki wa kuajiri kwanza kabla ya kujiridhisha na uhalali wa vyeti vya waajiriwa. Halafu akiisha kuitwa kwenye kituo chake cha kazi, ndipo huambiwa subiri kwanza uhakiki wa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ajira zilikuwa kipindi Cha jk toka hapo ajira imekuwa ni za kubeep!!

    Kuna watu wanamdiss jk lakini ukweli ni kwamba kipindi Cha jk kila kitu kilifunguja na ajira kila mahala.hata jeshi hakukuwa na haja ya kupita jkt kila mtu aliyekuwa na passion basi jeshi ilikuwa easy. Walimu na madaktari wote wanaopenda kuajiriwa serikalini walipata ajira bila kunakiza mtu. Jpm...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Kati ya Ajira 10 ajira 7 ni za sekta ya Kilimo

    Wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya Kilimo leo Bungeni, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alielezea maendeleo ya sekta ya kilimo nchini na kusema sekta ya kilimo imetoa wastani wa asilimia 65 za ajira kwa vijana ambayo ni takribani sawa na watu saba kwenye kila watu kumi wanaoajiriwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

    Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015. Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
  11. Doz m

    JamiiForums Tanzania Kwanini PSSR siku hizi wanaita watu kazini kwa awamu badala ya mkupuo kama ilivyozoeleka?

    Kwanini PSSR siku hizi wanaita watu kazini kwa awamu, badala ya kuita wote kwa mkupuo kama ilivyozoeleka? Yaani mfano, tumeomba kazi mwezi wa 5 mwaka jana, tukaitwa interview mwezi wa kwanza na wa pili, placement ndio inafanyika sasa lakini kwa awamu. Watu tumefanya usaili siku moja, halafu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanaoshauri vijana wajitolee ili wapewe kipaumbele kwenye ajira, onyesheni mfano wa ninyi kujitolea kwanza!

    Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii itatesa sana wale watakaoingia kichwa kichwa kujitolea wakati wako nje ya kundi hili la wateule...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma inafanya kazi nzuri: Isiingiliwe, mapungufu tuyaainishe ili wayarekebishe.

    Mazuri ya sekretarieti ya ajira kwenye utumishi wa umma: 1. Imejitahidi kuweka uwanja sawa kwa wote wanaotafuta ajira. Kama ni ugumu basi huo ugumu uko kwa wote!! Kinachotafutwa kwa sasa ni kutaka kuboreshwa uwanja kwa baadhi ya watu almaarufu kama "watoto wa wakubwa". Wanataka kuwapitishia...
  14. plagiarism

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tafuta pesa

    Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili, 1: WATU WENYE AJIRA 2: WATU WASIO NA AJIRA 1: WATU WENYE AJIRA. Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili...
  15. jastertz

    JamiiForums Tanzania Ni vipi akili bandia kama ChatGP inaweza kuathiri kazi miaka ijayo?

    'Ubunifu huu umefanya wakati wetu wa burudani kufurahisha zaidi. Lakini haijafanya wakati wetu wa kufanya kazi kuwa muhimu zaidi. Imeondoa uzoefu wa kibinadamu wa kuchoka. Lakini je, imekufanya uwe na manufaa zaidi kazini? Wataalamu fulani wa teknolojia wanasema kwamba 'huenda usiwe na akili ya...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    Wadau nipo kwa niaba. Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuzijadili changamoto wanazopambana nazo waombaji wa ajira kupitia Recruitment Portal

    Ama kwa kweli kila hatua ina changamoto zake, japo makali ya hizo changamoto yanaweza kutofautiana!! 1. Changamoto moto kwenye hatua ya application: *Mtandao kusumbua wakati deadline ya application imekaribia *Application kugoma kwenda kwa kigezo kuwa huna sifa, wakati sifa zako ni hizo hizo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya wahitimu wa zamani (2019 kurudi nyuma) kufanya usaili wa kuandika (written interview) pamoja na wahitimu wapya (2022-2021)

    Siyo siri, kuwa mtu akikaa miaka mingi baada ya kuhitimu huku kila siku anapambana na maisha akili huwa inachoka. Halafu unapambanishwa na vijana fresh toka vyuoni akili bado inacharge hasa. Ila hamna jinsi, itabidi mpambane tu. Tatizo ni kwamba unakuta mtu steam ishakata, baada ya kufanya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kazi kwenye nchi za Kiarabu

    Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko. Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tudadavue ukubwa wa tatizo la ajira nchini: Ni wangapi wanaingia kwenye soko la kutafuta ajira kwa mwaka? Uwezo wa kuajiri (serikali & private)?

    Je ni waalimu wangapi kwa mwaka wanaingia kwenye soko la ajira kutafuta ajira wakiwa na certificate, diploma na degree? Je ni kwenye sekta ya afya kwa kada mbalimbali ni wangapi wanaingia sokoni kwa mwaka kusaka ajira wakiwa na certificate, diploma, degree nk. Hali kadhalika kwa wanasheria...
Back
Top Bottom