Kuomba ajira kwa aliyeajiriwa bila kupitisha kwa mwajiri inawezekana kuitwa interview?

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Dec 13, 2013
142
165
Habari JF.

Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote.

Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV yangu kwa sababu naamini itaniongezea nafasi nzuri ya ushindani? hivi naweza kuitwa? kuna yoyote aliwahi kufanya hivyo na akafanikiwa? nazungumzia ajira za TRA.

Naombe maoni maana mwajiri wangu kazingua.
 
Ni vigumu kukuita kwenye interview bila ya barua yako kupitishwa na mwajiri wako wa sasa.Bora angepitisha kwa kucomment chochote na kugonga muhuri. Nashauri useme hujaajiriwa popote kwenye barua.Ila hata ukifaulu usaili wao watakuja kukukamata wakati wanapeleka majina utumishi sababu tayari una check number.Unless hao TRA wawe na uhitaji mkubwa au wakupende kutokana na sifa zako wakupambanie wao kukuombea uhamisho utumishi.
 
Habari JF.

Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote.

Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV yangu kwa sababu naamini itaniongezea nafasi nzuri ya ushindani? hivi naweza kuitwa? kuna yoyote aliwahi kufanya hivyo na akafanikiwa? nazungumzia ajira za TRA.

Naombe maoni maana mwajiri wangu kazingua.
Hawa maboss wanajionaga miungu watu sana aisee

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Haha utaambiwa ,tuna upungufu wa watu wa kada yake....... 😃🙌
Bongo hatupendi kuona mtu anatoboa aisee🙌🙌
 
Kwa wasio na cheki no imekaaje wadau mana kuna mamlaka nyingine hazitumii cheki no kuna ulazima kweli wa kupitisha kwa mwajiri?
 
Tuoneane huruma, mtu umeajiriwa unataka tena kugombea nasafi nyingine ya ajira, sio poa
Mkuu hujui tu watu wanayopitia huko maofisini. Acha tu watu wahame wakatulize nafsi zao jobless wanaweza kupata huku wanakotoka hao wengine
 
Back
Top Bottom