Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,908
- 4,771
Nimeona tangazo la nafasi za kazi kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa nafasi mbali mbali.
Maswali langu ni:
1. Imekuwaje TRA wamejipa(kama ni kweli) jukumu la kuanza mchakato wa ajira(recruitment process)?
2. Ni lini sheria imebadilika kutoka PSRS(Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma) kufanya mchakato wa ajira kuwa wa Taasisi husika?
3. Je, changamoto zilizofanya kuundwa na kukasimiwa madaraka ya mchakato wa ajira kwa PSRS zimeisha?
4. TRA wana haraka gani kama taasisi ya umma kukimbilia kutangaza ajira kama wao?
5. Ni nini wataka kukificha hadi wakiuke "establishment" ya kitaifa?
6. Je, huko siyo kurudi nyuma kule tulikotoka ya ndugunization katika idara mbalimbali za serikali?
7. Je, maslahi ya Taifa hayahatarishwi na dharau hizi za TRA?