Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,684
2,000
Upuuzi mwingine Kama wa ajira portal,
Watoto wa maskini ndio hujiandikisha ajira portal,
Mtoto wa waziri,Mbunge,anaperekwa tu,akaanze ajira.
Pinda alikuwa Waziri mkuu,Mara papa,tunasikia jina Godfrey Pinda,Mbunge!!jimbo lile lile aliloongoza baba yake,
Mgimwa alipofsriki,wakaleta mtoto wake awe Mbunge,mara hii kapigwa chini,Abdala Bulembo kada wa ccm,aliteuliwa kuwa Mbunge,mtoto wake Halima,akapewa viti maalum,sasa hv wote nje,
 

logan007

Member
Nov 22, 2020
8
45
Hawa TAESA kazi kuzalilisha watu tu, tunatuma maombi kila siku ila hata kujibiwa hawajibu
 

Ndolezi

Senior Member
Oct 15, 2019
107
225
Nilisajiri wakanipigia simu kuniinterview na kupewa tumaini la internship ndani ya muda mfupi ujao ikapita week, mwezi na sasa ni miezi kadhaa kimyaaaaaa.
 

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,306
2,000
Tengenezeni viwanda na kuweka mazingira mazuri kwa company binafsi kufanya biashara...itakuwa na afya kuliko hizo blaa blaa za TAESA.
 

Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
1,640
2,000
Asanteni kwa mrejesho. Tusilalamike tu. Tutaje na mazuri yaliyoko.
 

Godfirst

Senior Member
Dec 7, 2017
193
250
Mimi pamoja na vijana wenzangu 15fresh from uni tulipata intenship kupitia TAESA tena mm sikujiandikisha walinipigia simu wenyewe.
The thing is real kuweni wavumilivu mnajua graduates ni wengi plus inadepend na kozi uliyosomea na uhitaji wake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom