Natafuta ajira, nina shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini (Bsc Mining Engineering) nina uzoefu wa miaka 3

bulugujoseph

New Member
Oct 5, 2015
2
1
Habari wana jamii, natafuta ajira yeyote inayohusiana na maswala ya madini.

Elimu yangu ni shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini(Bsc Mining Engineering), nimesajiliwa ERB kama graduate engineer, nina uzoefu wa miaka mitatu nimefanya kazi quarry mine na gypsum mine, na uwezo wa kutumia design software ya Surpac, pia Microsoft office, excel na AutoCad.

Mawasiliano yangu ni:
Simu: 0763378786/0714620806
Barua pepe:
bulugujoseph@gmail.com
Nimeambatanisha CV
 
Back
Top Bottom