ajira

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa sina ajira ningefanya jambo moja ambalo lingenipelekea kuajiriwa haraka na kwa urahisi

    Hii njia ambayo nitaianika hapa si njia rasmi na si njia ya kuweza kutumiwa kichwakichwa. Hakikisha suala la ajira na sifa kedekede unazitupa mbali, let's say vitakuja automatically. Ningefanya upelelezi kwa kina, ningeweza hata kufanya jambo kwa muda wa mwaka mmoja ili nikusanye taarifa za...
  2. Midimay

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walimu wapitishwe Sekretarieti ya Ajira kama kada zingine

    Huu utaratibu wa kuwaambia watu kuomba ajira kisa tu wamesoma na wamemaliza ngazi zao elimu sio sawa, na umeshapitwa na wakati hapa nchini. Na uchumi hauna tena uwezo wa ku-accomodate majority ya walimu na hata kada za afya. Njia pekee ambayo itaisaidia kwa asilimia kubwa utapeli, rushwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hatua za dharura za kuchukua kupambana na janga la ajira nchini

    Pamoja na kwamba Mimi ni mshabiki wa Magu, lakini hilo haliniondolei kuona madhaifu yake. Jamaa aliacha kuajiri wahitimu ambao serikali zilizopita ziliwaandaa, na kuwapa kipaumbele katika kupata mikopo ya elimu ya juu ili kuweza kukidhi mahitaji ya waalimu na watumishi wa afya Lakini miaka...
  4. Mathayo Christopher

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha ajira kwa waalimu iwe GPA

    Kwako mheshimiwa waziri wa OR-TAMISEMI napenda wizara yako itambue kuwa mfumo wa waalimu Tanzania wanaandaliwa kwa mitihani na kufaulu kwa Madaraja tofauti hivyo wizara yako kupendekeza kigezo cha kujitolea kama kipaumbele cha kuajiri hamtatenda khaki kwa waliotuma maombi. Mosi,uongozi awamu...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

    Siku ya leo palikucha sina ramani na sielewi natoboaje, nikaona ngoja nizame viwandani. Nikapiga moja moja mpaka ubungo garage kiwanda cha sabuni cha mo nikakuta raia kiasi nikasubiri nje, watu wakaanza kuchaguliwa wale wakongwe na wapya wachache, tuliobaki tukakosa. Nikona fresh sio zali...
  6. msovero

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inawambia watu ambao haiwezi kuwaajiri waombe nafasi za ajira?

    Kwenye tangazo la ajira kada ya afya na ualimu kigezo ni wahitimu waliomaliza kati ya 2012-2019. Lakini leo bungeni waziri Ummy anasema wataajiri waliomaliza kati ya 2012 na 2015. Sasa kulikuwa na maana gani ya kuwambia waliomaliza kati ya 2016 hadi 2019 kuomba hizi ajira ikiwa kipaumbele ni...
  7. Twinawe

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna watu waliitwa interview ajira za mahakamani

    Mwezi february tume ya mahakama ilitangaza ajira katika kada tofauti. Naomba kufahahamishwa kama kuna watu washaitwa interview.
  8. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira Tanzania sio kubwa ila wanohusika na wizara ndio wanalifanya lionekane kubwa

    Habari wadau! Nimewaza sana baada ya kutangazwa zile ajira elfu tisa na za walimu na kada ya afya huku waliotuma maombi ni zaidi ya 80,000 inatia kinyaa sana kuona ajira elfu tisa tu zinajadiliwa mpaka bungeni. Nilikuwa na mapendekezo kwamba ili tatizo la ajira linachagizwa na mambo mengi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Utumishi mmefunika kombe? Kwanini Watumishi wa ajira 2014 - 2017 wawekwe daraja moja?

    Mnachokifanya sasa sio sawa kuwaweka ajira 2014, 2015, 2016, 2017 kwenye daraja moja bila kuangalia umri kazini. Mnachokifanya sasa ni kusahau miaka watumishi waliopotezewa kwenye masuala ya uhakiki na vyeti feki. Pia kuna ajira 2012 na 2013 walikaa miaka 6 bila kupanda kwa sababu za kilichoitwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aache kupotosha umma kwamba ajira zinatolewa kwa upendeleo wa kikabila na kikanda

    Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amepotosha umma mchana kweupe kudai ajira za ualimu zilizopita zilitolewa kwa misingi ya kikanda na ukabila kwa sababu ukiachilia mbali jina moja lililojirudia kila ukurasa, mchakato wa ajira zilizopita ulifanyika kwa haki...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Ajira ziwe zinazingatia usawa wa Kijografia

    Spika ndugai alinena hiyo jana akiwa bungeni alitahadharisha sana kama taifa tuna hitaji ajira zinazo serikalini zizingatie uwiano ulio sawa yaani kimikoa, na hata Kidini. Ametahadharisha endapo ajira zitaelemea kuajiri au hata kuteua watu wa aina mmoja kwa maana ya kimaeneo hata kiimani moja...
  12. Beberu

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani naweza kupata kazi za Afya nchi za Ulaya?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu zangu wa Tanzania naomba kuuliza kwa wenye uzoefu juu ya kupata kazi za afya (uuguzi) katika nchi za ulaya Mimi nina degree ya Uuguzi (bachelor of Nursing) sasa nataka kwenda kufanya kazi nje ya nchi hususani ulaya, marekani na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ajira za watu waliosomea Human Resource Management

    Nijulisheni kuhusu Ajira za watu waliosoma Human Resource Menagment na pia kwa aliemaliza degree ajiendeleze na Kozi zipi? Au asomee skills ipi?
  14. zebedayo musibha

    JamiiForums Tanzania Matakwa ya Spika Ndugai kuhusu Kamati za Bunge kufuatilia mchakato wa ajira za walimu. Je, Serikali inafanya udanganyifu?

    Mapema leo 24/05/2021, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai amezitaka kamati kufatilia mchakato wa ajira za walimu zilizotangazwa kwa uwazi na ukweli. Pia ameonyesha kutoridhika na ajira zilizotolewa mwaka jana huku ikionyesha kanakwamba hakuna uwazi katika kuajiri...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Tamisemi toeni vibali vya kuajiri kwa waliojitolea kwenye ajira za mikataba ndani ya Halmashauri

    Mh. Waziri wetu,tunaomba muliangalie hili kwa jicho la kipekee,Vijana wamekubali kulitumikia Taifa Lao kwa uzalendo wa hali ya juu.Vijana kila mwaka wanapata ajira za mikataba,hii inaonyesha Kuna uhaba wa wafanyakazi ndani ya Halmashauri zetu. Hivyo Kuna vijana wengi wanapewa ajira za mikataba...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuomba ajira za walimu na watu wa afya waongezwa

  17. jobtz

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya Wizara ya Afya

    (Ajira mpya Wizara ya Afya) May 2021. As for MoHCDGEC announces vacancies for graduates to apply through the website www.moh.go.tz and other media like magazines based on the cadres as per employer requirements. The applicant will then apply through www.ajira.moh.go.tz and fill their...
  18. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Dhana ya teknolojia kudidimiza ajira imekaa kinjama

    Lets say tuna nchi yenye watu 60m. Wananchi wanaendelea kufanya shughuli zao kama kawaida. Kuna watu wanasaga mahindi kwa kutumia mawe, watu wanatumia vibatari kwa ajili ya mwanga, watu wanatumia usafiri wa punda. Kila kitu kikawa kiko slow na watu kutumia nguvu nyingi kuzalisha kutokana na...
  19. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Kutokana na utoaji hafifu wa Elimu nchini, kuna hatari ya nusu ya ajira zilizopo kutoweka ifikapo mwaka 2050

    Rais mstaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete ameonya tusipobadilika namna tunavyofundisha watoto wetu basi ajira zote zitatoweka ifikapo mwaka 2050. My take. Hii elimu yetu ya kuwafanya chadema washangilie kila baya linaloipata nchi yetu ikiwemo kukamatwa ndege, miradi kukwama ...
  20. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

    Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly. Points you should consider au ku-note kabla hujaapply kwa hizo kazi. 1) Apply to your skills related jobs...
Back
Top Bottom