Biomedical Engineering ni moja ya idea muhimu kwenye sekta ya afya. Ni idara kama Pharmacy, Radiology, Medical Laboratory, Dental n.k
Kwa Tanzania ni Idara changa sana katika hospitali zetu,Ilianzishwa na chuo cha DIT mwaka 2012 kwa ngazi ya diploma na wahitimu wake wa kwanza ni 2014, baadaye Arusha Technical collage waliofuata. Kwa sasa tuna wahitimu wa Bachelor of Engineering in Bio-medical and Electrical Engineering kutoka Arusha Technical college.
Tunavyo vyuo vitatu vinavyo toa ordinary diploma kwa sasa
1. DIT
2. MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (MUST)
3. ARUSHA TECHNICAL COLLEGE
Tunavyo vyuo viwili vinatoa shahada za awali za uhandisi wa vifaa tiba(Bachelor of Engineering in Bio-medical Engineering
Tunaowahitimu wengi tangu mwaka 2014 wameajiliwa na serikali intake tatu tu. Leo tuna zaidi leo hii tuna Intake zaidi ya 5 mitaani ajira za Leo za Afya zaidi ya 2000 Kada zote za Afya zimo isipo kuwa mafundi na wahandisi wa vifaa tiba.
Tatizo ni nini?