Kutoka Ajira 40,000 hadi ajira 9,000; hii imekaaje?

tzkwanza

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
1,576
2,000
Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Cha kushangaza wametangaza ajira 9000.

Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000.

Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
 
SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
141,662
2,000
Wanaajiri kwa awamu. Unafikiri fedha za kuwalipa mishahara zinaokotwa barabarani hasa ukizingatia ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii; na mamiradi haya makubwa yaliyoachwa na Marehemu?

Mmekaa miaka mitano+ bila ajira. Huyu angalau kaanza kuajiri na penyewe povu tu. Mnataka nini sasa? Kuongoza Wabongo shida sana yaani!
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
2,767
2,000
Wanaajiri kwa awamu. Unafikiri fedha za kuwalipa mishahara zinaokotwa barabarani hasa ukizingatia ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii?

Mmekaa miaka mitano+ bila ajira. Huyu angalau kaanza kuajiri na penyewe povu tu. Mnataka nini sasa? Kuongoza Wabongo shida sana yaani!
Hamna mijitu ya ajabu kama mibongo, jana wanamlaumu Mama kumpa nyumba Kikwete, wanashindwa kujua kwamba nyumba alijenga Jiwe, na alishapanga tarehe ya kumkabidhi JK, bahati mbaya majanga yakampata. Sasa hili jamaa linafikiri wanaposema ajira elfu 40 basi zitatangazwa kwa pamoja, now naanza kumuelewa Jiwe why alikuwa kauzu sana, wabongo ukiwachekea ni pasua kichwa.
 
Mwaka wa fedha 2021/2022. Bajeti ikipita ndio imeisha hiyo
 
Kazakh destroyer

JF-Expert Member
Nov 16, 2017
907
1,000
Wanaajiri kwa awamu. Unafikiri fedha za kuwalipa mishahara zinaokotwa barabarani hasa ukizingatia ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii; na mamiradi haya makubwa yaliyoachwa na Marehemu?

Mmekaa miaka mitano+ bila ajira. Huyu angalau kaanza kuajiri na penyewe povu tu. Mnataka nini sasa? Kuongoza Wabongo shida sana yaani!
yaani wanalalamika kila kitu mpaka nimetamani tufungiwe huu uhuru unaotulevya, kiukweli mtu kama jiwe ndo alikuwa saizi yetu..
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,964
2,000
Wanaajiri kwa awamu. Unafikiri fedha za kuwalipa mishahara zinaokotwa barabarani hasa ukizingatia ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii; na mamiradi haya makubwa yaliyoachwa na Marehemu?

Mmekaa miaka mitano+ bila ajira. Huyu angalau kaanza kuajiri na penyewe povu tu. Mnataka nini sasa? Kuongoza Wabongo shida sana yaani!
Ni kweli au ni hasira tu?

Miaka 5 hakukuwa na ajira? Rejea tena taarifa zako.

Mnyonge mnyongeni......
 
TASK FORCE

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
2,481
2,000
Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Chakushangaza wametangaza ajira 9000.

Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000.

Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
Wasukuma mmevurugwa, kwaiyo unataka waajiri wote kwa mkupuo au, kwaiyo ni makosa wakiajili kwa awamu ?;!;!
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,111
2,000
Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Chakushangaza wametangaza ajira 9000.

Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000.

Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
Mdogo mdogo kumbuka kuna issue bajeti na makusanyo watafikia hizo walizoahidi lakini sio kwa mara moja....jiongeze usisubiri 200k za serikali ukikomaa unapata hata huhitaji ajira....serikali haiwezi kutoa ajira kwa kila mhitimu never......tufungue nchi sekta binafsi ifufuke...
 
Beef lasagna

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
16,954
2,000
Wanaajiri kwa awamu. Unafikiri fedha za kuwalipa mishahara zinaokotwa barabarani hasa ukizingatia ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii; na mamiradi haya makubwa yaliyoachwa na Marehemu?

Mmekaa miaka mitano+ bila ajira. Huyu angalau kaanza kuajiri na penyewe povu tu. Mnataka nini sasa? Kuongoza Wabongo shida sana yaani!
Hawaelewi hayo mamiradi aliyoyaacha mwendazake yanatakiwa yaishe.
 
At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,888
2,000
Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Chakushangaza wametangaza ajira 9000.

Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000.

Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
Kwani mwaka mpya wa Fedha Tayari..?
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
42,576
2,000
Hamna mijitu ya ajabu kama mibongo, jana wanamlaumu Mama kumpa nyumba Kikwete, wanashindwa kujua kwamba nyumba alijenga Jiwe, na alishapanga tarehe ya kumkabidhi JK, bahati mbaya majanga yakampata. Sasa hili jamaa linafikiri wanaposema ajira elfu 40 basi zitatangazwa kwa pamoja, now naanza kumuelewa Jiwe why alikuwa kauzu sana, wabongo ukiwachekea ni pasua kichwa.

Mkuu relax ,watu walikuwa wanatoa maoni juu ya hizo sheria za kuwapa nyumba na magari wastaafu wazibadilishe maana si kweli kwamba wastaafu hao hawana nyumba.

Two wrongs dont make it a right ,Jiwe aliharibu na hauwezi kumfananisha kabisa na Mama SSH ,Yes ajira zinatoka in phase.
 
tzkwanza

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
1,576
2,000
Ajira 40000 ziliahidiwa katika mwaka fedha ujao ikumbukwe mwaka wa fedha wa serikal huanza June mpka may mwaka unaofuata kwahyo hiz ajira ni za kuziba kma Mhe. Alivyoahid mwanzon wala si ajira mpyaw
Hili ndio bunge la bajeti. Hakuna bajeti nyingine ya mishahara hadi Mei 2022.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom