Matamko ya viongozi kuhusu ajira hayatekelezwi

kahembe

Member
Mar 22, 2015
74
53
Viongozi wengi hasa wale wakubwa wamekuwa na tabia ya kusimamia na kuahidi Mambo mbali mbali lakini hayatekelezwi ipasavyo.

Mambo mawili; la Kwanza ni ahadi nyingi za ajira kwa vijana lakini utekelezaji wake ni hafifu.

Pili ni swala la kushugulikia gharama za vifurushi vya kupiga simu utekelezaji wake ni hafifu.
 
Kesho jitahidi kwenda tena kushinda Dukani umeona leo ulivyoshinda jumla zimekuwa nyingi, hlafu huu ni muda wa sikukuu jitahidi unakwenda Dukani wateja ni wengi.
 
Marehemu alichoifanya hii nchi ni janga zito, aliilawiti nchi. Mama Samia asilaumiwe kabisa maana anakazi nzito ya kusafisha kinyesi cha marehemu, na itamchukua miaka 5 kukisafisha kinyesi cha Marehemu.

Miezi miwili iliopita, Marehemu alikua akihubiri na kujitapa hakuna ufisadi chini ya utawala wake, ila baada ya kufa tu ndani ya week moja kuapishwa Mama Samia, CAG aliweka wazi ufisadi wa kiwango cha SGR uliofanyika.

Mpaka leo inatafuta Mikataba ya kununua ndege, stiegler's na SGR haijulikani ilipofichwa na Marehemu. Marehemu kasepa na kibubu cha taifa kuzimu.

Ukiendelea kuamini au kusubiri matamko ya viongozi wa nchi hii, utakuwa mwehu, na imekula kwako. Fanya mishe upeleke mkono kinywani tu.
 
Binafsi nilikuwa simwelewi hata kidogo bora hii nchi angerudishiwa mzee Kikwete kuliko yule
 
Back
Top Bottom