Muuguzi aliyepona ajali tatu za meli ikiwemo titanic

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Screenshot_20201121-084758.png

Kuna kumbukumbu nyingine za maisha yetu tupitiayo ikiwemo misukosuko, ghadhabu, matatizo , mihemko, tabu na vilio, furaha na bahati, kuanguka na kuinuka tena.

Pasi na shaka vitakufanya umkumbuke Mungu wako.

Mungu wako ambaye kwa namna tofauti tofauti za mapitio ya maisha yako unakosa sababu ya kutokukufanya kuamini kwamba huyu Mungu wako anakutoa hapa na kukufikisha pale.

Violet constance Jessop mwanadada wa kiarjentina mwenye muonekano halisi wa kiamerika asiye na macho makubwa sana wala madogo mno, uso wake haukuwa mwembamba wala mpana sana ...mwanamke wa kati na kati hata mwenye kimo chake maridhawa... taswira ya kumbukumbu halisi ya picha zake zinaonyesha uangavu wa wajihi wa mwanadada huyo wa kiamerika....

Pengine wagonjwa na hata wateja wengine wa meli waliobahatika kumtamzama uso wake haikuwanyima wajihisi wenye bahati kama violet mwenyewe alivyotunukiwa bahati na Mwenyezimungu.

Na kama ujuavyo katika uchaguzi wa wafanyakazi mengi huzingatiwa.

Huyu ni Mwanadada alikuwa muuguzi ,

Na dunia ilipata kumpokea mwanadada huyu mnamo oktoba 2, 1887

Mwanadada ambaye historia ya maisha yake ingemsukuma mwanadamu mwingine kukumbuka kuwa kuna kuinuka tena pale utakapoanguka au kuteleza iwe kwa kuinuliwa au kwa kuinuka mwenyewe. haijalishi.

Na kama walivyosema wazee wetu zamani baada ya dhiki ni faraja.

Mdada huyu aliezaliwa huko bahia blanca Argentina taifa ambalo limejaliwa baadhi watu maarufu na wenye ushawishi kuwahi kuishi dunia hii, akiwemo ernesto che guevara na fundi admin wa Mpira kile kitoto njiti cha Rosario mtaalamu Lionel Messi... basi pasi na shaka violet nae alikuwa miongoni mwa waanadamu wenye bahati aliyezaliwa Taifa hilo

Alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya the 'white star line' kampuni hiyo ilikuwa inamiliki meli tatu za abiria za sistership ambazo ni Titanic, Britanic na Olympic . kama ilivyonenwa ,mwanamke huyu mwenye bahati zake alipona kwenye ajali maarufu ya meli ya Titanic 1912 iliyogonga mwamba wa barafu baharini

Violet alipona pia kwenye ajali ya meli ya Olympic 1911, iliyozamishwa na U-boat za kivita za ujerumani

pia aliokolewa kwenye meli ya Britannic , 1916 ilipozama.

Waliotunza kumbukumbu za violet na matukio yake mengine hawakuwa wajinga

Kama historia nyingi za watu duniani zitunzwavyo kwa lengo la kuenzi, kuelimisha , kujaza hamasa kwenye mioyo dhalili iliyojikatia tamaa pasi na matumaini.

Violet alifariki 1971 akiwa na Umri wa miaka 83.

Unaweza kuingia mtandaoni kumwangalia zaidi
 
View attachment 1631347

kwani TITANIC na OLIMPIC iliyoanza kuzama si TITANIC maana nimepitia waandishi mbalimbali wanasema TITANIC ilizama siku ya kwanza tu ya safari.
na wanasema kabla haijaanza safari ilikua ikiisubiria meli ya olimpic ambayo zilitengenezwa pamoja au mimi ndo nilisoma vibaya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom