Wamama wamekuwa wakali na ajali za barabarani

Wamama wamekuwa wakali na ajali za barabarani

Nimecheka sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kelele za piga kabisa zimekua na nguvu kuliko hata kipigo chenyewe
 
Wamama most of them are ignorant they don't understand what they claims is dupe dupe
 
Kuliwekwa mahakama siwez jua yupi mwenye kosa sipaswi kushuhudia chochote ila nachojua derevaz wa basis wako rafu sana na haka kamama mwandish wa habar wa kujitegemea kanafoka sana mpaka kero "muue" hapo ukute kalikaa siti ya nyuma haelew hata tukio limeanzaje.Umrushe wapi angalia wasije wakakurusha wewe[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hapo jamaa anaona bora traffic kuliko traffic Hawa wa hiari! Traffic wanaojua uchungu wa uhai wao..๐Ÿ˜…
 
Seems like basi lilimuovertake fuso vibaya then fuso akawachomekea kwa hasira, ikambidi basi atoke nje ya barabara
 
Kwenye kusafiri kwangu kwa kweli wamama ni wakali sana kwenye tabia za madereva hasa mwendokasi na kuovertake hovyohovyo.

Huwa wanaanza kulalamika chinichini baadae taratibu joto linapanda kisha mmoja anafyatuka huko. Kinachofuata hapo ni kelele tu.

Wamama nawapongeza sana kwenye hili.
 
Back
Top Bottom