Mmoja afariki katika ajali ilitowatokea Chino na wenzake

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Produza Abbah ameeleza kuhusu taarifa za kifo cha mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea jana Novemba 11, 2023 kwa gari lililokuwa limeibeba crew ya Msanii Chino kugongana uso kwa uso na Lori la mafuta.

Abbah anaeleza aliyefariki ni Nabeel, Kaka wa Dancer @poshboy_yd ambaye yeye ndiye alikuwa Dereva wa gari hilo na alifariki wakiwa njiani kurejea Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi!
22.JPG

Capturedd.JPG

Chi.JPG

Chanzo: Clouds FM
 
Produza Abbah ameeleza kuhusu taarifa za kifo cha mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea jana Oktoba 11, 2023 kwa gari lililokuwa limeibeba crew ya Msanii Chino kugongana uso kwa uso na Lori la mafuta.

Abbah anaeleza aliyefariki ni Nabeel, Kaka wa Dancer @poshboy_yd ambaye yeye ndiye alikuwa Dereva wa gari hilo na alifariki wakiwa njiani kurejea Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi!

Chanzo: Clouds FM
Kumbe jana ilikuwa ni Oktoba 11😳😳😳
Aiseee
 
Itoshe tu kusema mwendo mkali ndio chanzo Cha ajali
 
Na wengi wao ni kina seleman...kichwa kikubwa hata kusikitika anashindwa...wanakunywa sana na kuvuta wakiwa safarin....anyway R.I.P
 
Back
Top Bottom