Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,608
93,374
JF be the first to know,

Hatimaye mafuta na maji vimeanza kujitenga na ukweli unawekwa wazi ingawa si rahisi Kwa media za Bongo kupata hizi taarifa, tunazipata wa ndani tuliopo kwenye Circe za Kibaharia.

Ukweli ni kwamba kuna Watanzania watu wakiongozwa na msela Mavi mmoja wa Mbagala anaitwa Ndevu hawa ndio chanzo cha Ajali ya bus hilo kutoka Johannesburg kwenda Dar es salaam.

Kuna ushahidi wote unaowahusisha hao Watanzania watu ambao njiani Safari nzima walikuwa wanapiga mitungi na kuvuta tumbaku ndani ya gari, na ushahidi unaonesha wazi dreva alisumbuliwa kwa muda mrefu mpaka Ajali inatokea halikuwa kosa la lori bali ni bus la Mkombe baada ya dereva kubughuziwa na hawa wahuni wakiongozwa na huyu Ndevu, nitamuweka picha zake hapa hadharani maana nimejiridhisha katika hili, na kama hii haitoshi ilifikia hatua huyu Jamaa basi la Pili la Mkombe liliwafuata Zambia Selenje baada ya ajali kuwachukuwa kuwafikisha Dar baada ya kufika Shekilango Ndevu anataka kuiba begi la abiria ambaye ni marehemu, confirmed death ni watu wanane wakiwemo madereva wote wawili wa Mkombe luxury.

Hapa chini hii ni text nimetumiwa, hukumu yake tutamsomea kwenye group la WhatsApp.

KIONGOZI HILI SUALA NI SUALA LA KISHWAINI SANA. MKOMBE NDIO KATOA TAARIFA HIZI NA VOICE NOT ZA DEREVA KASEMA ANAZO MIMI KESHO NITAOMBA ANITUMIE VOICE NOT KISHA PIA NITAOMBA HUYU NDEVU TUMLETE HUMU NDANI. KWANZA TAYARI ANA CASE MOJA YA KUTAKA KUIBA BEG LA MAREHEMU YEYE NA MASELA MAVI WEZAKE. Mwisho wa kunukuu.

Picha 1 na 2 huyo ndio Ndevu kwao Mbagala na picha ya 3 ni dereva ambaye amepoteza maisha.

Cc: Pascal Mayalla
 

Attachments

  • IMG-20231231-WA0001.jpg
    IMG-20231231-WA0001.jpg
    74.1 KB · Views: 16
  • IMG-20231231-WA0000.jpg
    IMG-20231231-WA0000.jpg
    22.2 KB · Views: 16
  • IMG-20231231-WA0002.jpg
    IMG-20231231-WA0002.jpg
    53.7 KB · Views: 14
JF be the first to know,

Hatimaye mafuta na maji vimeanza kujitenga na ukweli unawekwa wazi ingawa si rahisi Kwa media za Bongo kupata hizi taarifa, tunazipata wa ndani tuliopo kwenye Circe za Kibaharia.

Ukweli NI kwamba kuna Watanzania watu wakiongozwa na msela Mavi mmoja wa Mbagala anaitwa Ndevu hawa ndio chanzo cha Ajali ya bus hilo.

Kuna ushahidi wote unaowahusisha hao Watanzania watu ambao njia Safari nzima walikuwa wanapiga mitungi na kuvuta tumbaku ndani ya gari, na ushahidi inaonesha wazi dreva alisumbuliwa Kwa muda mrefu mpaka Ajali inatokea halikuwa kosa la roli bali ni bus la Mkombe baada ya dreva kubughuziwa na hawa wahuni wakiongozwa na huyu Ndevu, nitamuweka picha yake hapa hadharani maana nimejiridhisha katika hili, na kama hii haitoshi ilifikia hatua huyu Jamaa basi la Pili la Mkombe liliwafuata Zambia Selenje baada ya ajali kuwachukuwa kuwafikisha Dar baada ya kufika Shekilango Ndevu anataka kuiba begi la Abiria ambaye ni marehemu, confirmed death ni watu wanane wakiwemo madereva wote wawili wa Mkombe luxury.

Hapa chini hii ni text nimetumiwa, hukumu yake tutamsomea kwenye group la WhatsApp.

KIONGOZI HILI SWALA NI SWALA LA KISHWAINI SANA.......MKOMBE NDIO KATOA TAARIFA HIZI NA VOICE NOT ZA DEREVA KASEMA ANAZO MIMI KESHO NITAOMBA ANITUMIE VOICE NOT KISHA PIA NITAOMBA HUYU NDEVU TUMLETE HUMU NDANI......KWANZA TAYARI ANA CASE MOJA YA KUTAKA KUIBA BEG LA MAREHEMU YEYE NA MASELA MAVI WEZAKE. Mwisho wa kunukuu.

Picha 1 na 2 huyo ndio Ndevu kwao Mbagala na picha ya 3 ni dreva ambaye amepoteza maisha.

Cc: Pascal Mayalla
Sijaelewa..
 
Wao wenye basi lazima wanamjua huyo ndevu...ndo maana Hadi jina wanamjua ..
Utashangaa wanamuacha asumbue tena mabasi mengine....

Why hawakumshusha?
Nina orodha ya Abiria wote, Mkombe mwenyewe amethibitisha wanamfungulia mashtaka Tanzania.
 

Attachments

  • IMG-20231227-WA0136.jpg
    IMG-20231227-WA0136.jpg
    74.8 KB · Views: 15
Kwani dereva hakuona police huko Zambia ulevi na sigara anaviruhusije kwenye basi.
Pana abiria alitaka kuvuta fegi kwenye basi nikaichomoa nikaizima nikaitupa nje
Madereva wote wawili wa bus la Mkombe hawa hapa wamepoteza maisha, kuna Wakenya walikuwa ndani ya bus ila wameshaenda Nairobi wangetujibu swali hili.
 

Attachments

  • IMG-20231231-WA0002.jpg
    IMG-20231231-WA0002.jpg
    53.7 KB · Views: 12
  • IMG-20231227-WA0044.jpg
    IMG-20231227-WA0044.jpg
    59.8 KB · Views: 15
alisumbuliwa Kwa muda mrefu mpaka Ajali inatokea halikuwa kosa la roli bali ni bus la Mkombe baada ya dreva kubughuziwa na hawa wahuni wakiongozwa na huyu Ndevu
Kusumbuliwaje? Kwamba walikuwa wanamuongelesha? Wanamtia misingi? Ama ni vipi?

Abiria walikuwa hawaoni? Dereva alishindwa kupack na kumpa vitasa huyo Ndevu?

Wanajuana hao,,
 
So dereva wameshindwa wadhibiti abiria.
Dereva asiyedhibiti mawazo yake kwa KERO za abiria afai.
 
Back
Top Bottom