Uturuki yatoa Hati ya Kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia kutokana na ajali mbaya ya barabarani

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Uturuki imetoa Hati ya Kimataifa ya kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kudaiwa kumgonga msafirishaji wa pikipiki, ambaye alifariki baadaye.

Ripoti ya Polisi imesema Mohamed Hassan Sheikh Mohamud alipata ajali hiyo Mchana Jijini Istanbul aipokuwa akiendesha gari ambalo inasemekana lilikuwa la ubalozi mdogo wa Somalia.

Uturuki iliweka marufuku ya kusafiri kwa Mohamud lakini maafisa wanaamini tayari ameikimbia Nchi.

Meya wa Istanbul, Ekrem İmamoglu ameonesha picha za CCTV za tukio hilo la Novemba 30, 2023 ambapo gari linaonekana likigonga nyuma ya pikipiki kwenye makutano ya barabara yenye njia nyingi.

Mwendesha pikipiki, baba wa Watoto wawili Yunus Emre Göçer, 38, alipelekwa hospitalini lakini alifariki kutokana na majeraha yake siku sita baadaye.

Ripoti ya awali ya Polisi imeonesha kosa lilikuwa upande wa Göçer na ndio maana Mohamud akaachiwa lakini picha za CCTV zimeonesha uhalisi tofauti.

Mohamud hajatoa tamko lolote.

Hati ya Kimataifa ya Kukamatwa ilitolewa na Waongoza Mashtaka wa Uturuki, ikiwa ni baada ya Askari Polisi kutembelea nyumbani kwake na kutompata ikielezwa hayupo kwa muda wa wiki nzima.

==============

Turkey issues arrest warrant for Somali president's son over fatal traffic crash

Turkey has issued an international arrest warrant for the son of Somalia's president, after he allegedly ran over a motorcycle courier, who later died.

A police report said Mohammed Hassan Cheikh Mohamud collided with the courier in broad daylight in Istanbul.

Police say he was driving a car which reportedly belonged to the Somali consulate there.

Turkey imposed a travel ban on Mr Mohamud but officials believe he has already fled the country.

In a post on X, formerly known as Twitter, Istanbul's mayor Ekrem İmamoğlu shared grainy CCTV footage of the 30 November incident.

A car can be seen appearing to hit the back of a motorcycle at a junction on a busy multi-lane road.

The motorcyclist, father-of-two Yunus Emre Göçer, 38, was taken to hospital but died from his injuries six days later on Wednesday.

An initial police report had said that Mr Göçer had been at fault and therefore Mr Mohamud was released, according to Mr Göçer's lawyer quoted by Turkish media outlets.

But a review of the security footage suggested there may have been another explanation.

Mr Mohamud, who is the son of Somali President Hassan Sheikh Mohamud, has not commented.

An international arrest warrant for Mr Mohamud was issued by the Turkish prosecutor on Friday.

This was after police had visited his home to find that he had not been there for almost a week, the AFP news agency says, citing local reports.

Turkey and Somalia have enjoyed growing diplomatic relations over the past decade, with Turkey providing infrastructure investment, military training and humanitarian aid.

Source: BBC
 
Itakuwa "Interpol Red Notice" na most likely huyo jamaa atakuwa alikuwa na makosa mengine. Mambo ya mtoto wa rais huwa yanaishaga kiujanjaujanja ubalozini.
 
Back
Top Bottom