Umoja wa Wazawa wa Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, waishio ndani na nje ya wilaya hiyo Kyela Ibasa Festival, wametoa msaada wa mafuta ya kupakaa na miwani kwa ajili ya watu wenye Ualbino.
Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii, Vanessa Nyesyenge kwa niaba ya wanaibasa ambao kwa...
Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya?
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Mafuta ya kupikia ni kiungo cha msingi sana jikoni.
Lakini kuna habari nyingi zinazokinzana kuhusu kila aina ya mafuta na afya.
Pamoja na mengi kwenye rafu unapokuwa dukani – kuanzia yale ya nazi hadi mizeituni...
Niseme kuwa hizi taarifa anazozitoa mara Kwa mara kuhusu tahadhari mbalimbali za afya ...ni nzuri Sana lakini pia zinaibua maswali mbalimbali..
Ni vizuri Dkt Janabi au Muhimbili kama Taasisi waweke mfumo nzuri wa taarifa......ili mtu akihitaji source iwepo...na asitokee mtu akapotosha ..hizo...
Vituo vya afya vya kibinafsi sasa vinatishia kuacha kuwahudumia wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakipinga viwango vipya vya malipo ya huduma mbali mbali vinavyotarajiwa kuanza kutekelezwa Januari 2024. NHIF ilisema mapema mwezi huu kuwa imeboresha viwango hivyo vya malipo...
Wasalaamu wanaJF
Herini ya Krismasi na maandalizi ya funga mwaka 2023.
Leo tena ninarudi jamvini nikija na ushauri kuntu kwa wizara zote zinazohusika na afya pamoja na wadau wa sekta ya afya.
Utambulisho
Nirejee kwa kujitambulisha kuwa kwa miaka kadhaa kama raia, mwanaJF, mdau wa maswala ya...
IGUNGA: "WAZEE WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE"
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwasikiliza Wazee wa Kata ya Isakamaliwa kwenye Kikoa cha Wazee.
Mhe. Ngassa (MB) ametumia siku ya Sikukuu ya Noeli (Krismasi) kuongea na Baraza la Wazee wa...
Watumishi wa afya Hanang tumesainishwa karatasi za malipo ambazo hazioneshi kiasi tutakacholipwa matokeo yake wengine wamelipwa half per diem na wengine wamelipwa kwa extra duties na wengine mkurugenzi amegoma kutulipa lakini wote tumesaini karatasi za malipo kwa kazi hiyo moja ila malipo...
Anonymous
Thread
afya
hanang
malipo
mkubwa
upigaji
wahanga
watumishi
watumishi wa afya
DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE UJENZI WA KITUO CHA AFYA MALENGAMAKALI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI anayeshughulikia Afya mhe. Dkt. Festo Dugange ameielekeza ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa kuunda timu ya uchunguzi kukagua matumizi ya fedha nza...
Chama cha Madaktari Nchini Tanzania (MAT) kimepinga na kusema kuwa hakikushirikishwa kwenye mchakato wowote wa kuandaa,Kutoa maoni au Kushiriki katika njia yoyote ile ya mchakato huo.
kinyume cha serikali inavyojinasibu kuwa Chama hicho kilishirikishwa kama Mdau Rasmi wa Afya..
Aidha Dr...
Habari za mda ndugu zangu.
Moja kwa moja kwenye mada
Kumwaga mbegu za kiume au za kike ni hatari kwa afya.💪💪💪💪💪💪
Nayaandika haya nikitumia Biblia Kama Mwongozo wa maisha,Kwani kwa kuamini yaliyoandikwa ndipo tunakuwa na maisha marefu.
Maisha marefu Kwasababu kuna ufufuo kwa wale watakaoishi...
Ni jambo la kushangaza kidogo lakini hali halisi ndiyo iko hivyo. Wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi kada za afya wamenyimwa "Ada" huku wale wanaosoma kada zingine mfano ualimu wakipewa japo kitu kidogo.
Ndiyo mmewapa pesa ya kujikimu lakini kama mwanafunzi hawezi kujilipia ada yafaa nini...
Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili.
Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu?
Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
Salamu ziwafikie nyote,
Naandika kwa wino unaovuja damu pia nitajitahidi kukosoa kwa staha, baada ya hosipitali ya amana kupewa hadhi ya rufaa, kuna hosipitali ilijengwa huku kivule ambayo inajulikana kama hosipitali ya wilaya ya kivule, mgonjwa anatakiwa aanzie hapo ndipo apewe rufaa ya kwenda...
Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam.
Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI)
Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika...
Mkurugenzi huyo Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo amesema Watu wenye uzito mkubwa wanapaswa kuchukua hatua za haraka kupunguza miili kabla hawajaingia kwenye hatari ya Magonjwa Yasiyoambukiza.
Amesema kasi ya ongezeko la Wagonjwa wa Figo inaonesha wazi...
TAARIFA KWA WIZARA YA AFYA, NACTEVET,SERIKALI NA WANANCHI WOTE KUHUSU CHUO CHA ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE KILICHOPO MOROGORO MANISPAA.
Nikiwa kama mdau wa elimu napenda kueleza mambo mchache juu ya mwenendo mzima wa chuo cha ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE...
Hali ya vyoo vya IFM inahatarisha kwanza kumekuwa hakuna maji na usafi sio wa mara kwa mara vyoo ni vichafu sana. Uongozi wa chuo tunaomba mliangalie hili ili kuepuka mlipuko wa magonjwa chuoni.
Habari wana jamvii, msaada wa aina ya vifaa navyotakiwa kuwa navyo kabla sijafungua clinic ya macho mtaani!
Msaada wa mawazo juu ya machine na mitambo ya kuwa nayo kama clinic ya macho
Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00.
Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.